Yaani kuwa mtumishi Halmashauri ni kama laana, kimshahara chenyewe cha mtumishi ni kidogo, alipe Kodi ya nyumba.
Bado Serikali inashirikiana na vyama vya Wafanyakazi kukata pesa za mishahara ya Watumishi bila msaada, then kwenye kimshahara hicho hicho bado unatishiwa na kulazimisha kuchangia...
Katika miaka miwili ya uongozi wa awamu ya Sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Halmashauri nchini zimevuka malengo ya makusanyo ya mapato yaliyowekwa.
Mwaka 2021/22 halmashauri zilikusanya mapato ya ndani ya Sh bilioni 888.7 kati ya Sh bilioni 863.86...
Bandugu kama kichwa Cha juu kinavyojieleza nilitaka kufahamu mikopo ya halmashauri kwa ajiri ya vijana kujikwamua katika wimbi la ajira na umasikini.
Vipi ni nani aliewahi pata mkopo na taratibu zikoje
Wasalam
Kabla ya kuongezwa madarasa, yale ya covid 19 n.k, tayari kulikuwa na upungufu mkubwa. Wastani wa hadi walimu 8 kwa shule (wastani wa chini).
LEO, kuna wimbi kubwa la ujenzi wa mashule. Kuna halmashauri zina jumla ya shule hadi nane (primary na sekondari) zikiwa zimeshapata usajili na...
MHE. NANCY NYALUSI AFANYA ZIARA YA KIKAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO - IRINGA
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Nancy Nyalusi amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya Kilolo mkoani Iringa katika kijiji cha Ng'uruwe ambapo amachangia Shilingi Milioni 1 kwenye...
Kwa masikitiko makubwa naomba kuwasilisha taarifa hii kwenu uongozi wa halmashauri ya wilaya Hai, kuhusiana na namna watendaji ktk Kijiji cha Mungushi wanavyohujumu mapato ya Kijiji yanayotokana na uuzwaji wa viwanja ktk eneo la Kijiji.
Yameuzwa maeneo mengi sana na karibia Kijiji kinajaa...
Ninaangalia hapa kitindi cha Chetu ni Chetu kupitia ITV, naona malalamiko ya wafanyabiashara wadogo ndani ya stendi ya Igunga wakilalamikia agizo la Waziri wa Uchukuzi kuruhusu mabasi yanayosafirisha abiria kutotumia stendi za Halmashauri zilizojengwa kwa fedha ya kodi zetu.
Athari zake pamoja...
Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini wamedai kuna uonevu mkubwa wanafanyiwa na uongozi wa Halmashari ya Ubungo kwa kuwalazimisha kusaini mkataba ambayo hawajairidhia.
Baadhi ya Wafanyabiashara wamesema viongozi wa Halmashauri hiyo wakiongozana na Askari Polisi, Mgambo na Mwanasheria...
Huwa nawashangaa sana watumishi wa serikali. Hivi kwanini wanapenda kuandika vitu na kiviweka public bila kufanya uhakiki wa kilichoandikwa?
Huwa ni wavivu wa kusoma au ni nini? Nimekuta kibao hata Manispaa kwangu eti kameandika SEKONDALI Badala ya SEKONDARI hadi nimeona aibu!
Nyie watumishi...
Shule tajwa hapo juu ina wanafunzi chini ya 400 lakini ina walimu wanaofikia 50 kiasi wengine wanakosa vipindi vya kufundisha. Mkurugenzi yupo anafahamu yote haya walimu wako busy na biashara zao maeneo ya Arusha mjini, ktk miji midogo ya Usa-River na Tengeru. Wakati hali ikiwa hivi ktkt shule...
Baadhi ya Wafanyakazi wa kutoza ushuru wa maegesho ya magari Dar maeneo ya Posta na Kariakoo (zaidi ya 40) wamekamatwa na magari ya Halmashauri na kupelekwa Polisi kufuatia mkataba wa mzabuni kuisha.
Wafanyakazi hao wamehoji, kama issue ni mkataba wa mzabuni kuisha kwanini wanakamatwa...
Mimi ni mfanyabiashara, nwishoni mwa mwaka jana niliwekwa mahabusu kwa kukataa kulipa tozo ya kuzoa takataka za wamachinga!
Kukataa kwangu kulitokana na kuamini kodi hiyo ya huduma ni kwa ajili ya uzoaji takataka na huduma nyingine, hatahivyo niliambiwa kwa sasa kodi hiyo ni kwa ujenzi wa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo Jumamosi tarehe 14, Januari , 2023 Ikulu Jijini Dar Es Salaam.
Ndg Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa ni mwenye bashasha...
MADARASA YA RAIS SAMIA- JIMBO LA NAMTUMBO
Tunaishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutatua changamoto ya miundombinu ya Elimu yaani madarasa 102.
Wanafunzi Wameripoti...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete Jana Ijumaa Januari 06, 2023 amefanya ziara Jimboni kwake ambapo amekagua ujenzi wa madarasa 13 kata ya Msata ambapo Serikali ya Rais Samia imetoa milioni 280 kujenga...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameziagiza halmashauri zote mkoani humo kuzingatia usafi wa mazingira ili kujikinga na ugonjwa wa kipindupindu katika msimu huu wa mvua na eneo ambalo ugonjwa huo utalipuka, viongozi watawajibishwa.
Homera ametoa agizo hilo leo Jumamosi Desemba 31,2023...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua kiwanda cha kuchakata maziwa cha MSS kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo, Mkoani Katavi ambacho kina uwezo wa kusindika wastani wa lita 10,000 kwa saa.
Akizungumza baada ya kuzindua kiwanda hicho ambacho uwekezaji wake umegharimu shilingi milioni...
1.Summary
Katika ngazi ya wilaya, kuna viongozi wanne wazito. Mkuu wa wilaya, mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri na Mbunge. Na mara nyingi Kumekuwa na Mikanganyiko ya kutofautisha nafasi hizi na umuhimu wa kila mmoja katika nafasi yake.
Daima swali linakuwa ni nani kati yao mwenye...
Leo katika kujifunza masuala ya siasa, ningepeda kuwaelezea kuhusu NEC ya CCM. Kuna watu wengi hawaijui na hawawajui wajumbe wake. Baada ya marekebisho madogo ya katiba ya CCM kumekuwa na ongezeko la viti.
Ngoja nianze kulingana na KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI
Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.