Wana JF,
Halmashauri ya Muleba ndiyo inaoongoza kuwa na utajiri mkubwa kuliko wilaya zote za Kagera kimapato. Wilaya hii ina majimbo mawili, Muleba Kaskazini na Muleba Kusini. Sehemu kubwa ya utajiri wake ni kutokana kilimo cha kahawa, ndizi, mihogo, Karanga, maharage na mtama, pia wilaya hiii...