Mahakama ya Wilaya Mbarali imemhukumu aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Joseph Werema Ndimila adhabu ya kulipa faini ya Tsh. 1,100,000/= au kwenda Jela mwaka mmoja na ameamriwa kurejesha kiasi cha sh. 4,000,000/= alichokifanyia ubadhilifu baada ya kukutwa na hatia katika...