Viettel Tanzania Public Limited Company, trading as Halotel,is a mobile communications company, providing voice, messaging, data and communication services in Tanzania. It is owned by Viettel Global JSC which is the state-owned Investment Company from Vietnam investing in the Telecommunications market in several countries worldwide. It has invested up to $1 Billion into the Tanzania's telecommunications market. The Company was the first company in Tanzania allowed to lay its own fiber optic cable and has placed over 18,000 km of optic fibers, providing all 26 regions of Tanzania services.The Tanzanian telecom market is one of the most competitive markets in Africa and Tanzania has over 71% mobile phone penetration. The company aims to capitalize on the providing a very wide coverage as quickly as possible and the company claims to cover over 81% of the country's area soon to be the higher than any of the major providers.
Mtandao wa simu wa Halotel umekuja na njia rahisi ili kuripoti utapeli.
Piga *148*90# kisha chagua lugha.
Baada ya lugha chagua tena njia moja wapo
Baada ya hapo ingiza namba ya tapeli
Mfano 062xxxxxxx kisha tuma.
Sijui ni kwangu tu leo siku kama ya nne halotel wamekuwa na huduma mbovu kwenye Halopesa.
Naona kuna baadhi ya watu pia wanalalamika, unaweza kufanya muamala au kulipia bill halafu hawaleti msg za muamala na hela inachukuliwa.
Ukipiga hawapokei wanakuweka kinanda hadi simu inajikata.
Ndugu wana Jamuhuri ya Muungano,
Kwa mnaotumia halotel limewakuta hili?
Wiki iliyopita mpaka hii tuliyopo kuna uhuni halotel wanaufanya. Unajiunga GB 1 ndani ya dakika 30-60 unapata na huu ujumbe;
Mpendwa mteja! Umemaliza kifurushi chako cha intaneti. Kuendelea kutumia intaneti jiunge tena...
Wadau. Mimi ni mmoja ya watu ambao huwa tunapata muda wa kufikiri. Mara nyingi nikiwa nmeshamaliza kazi zangu za ujenzi wa Taifa. Nmekula na Kunywa napata angalau masaa kadhaa ya kufikiri.
Nmekuja pata ideas kadhaa za namna ya kufanya kazi na haya makampuni ya Simu. Sasa wasiwasi wangu ni je...
Bila shaka mpo vizuri
Tarehe 15 nililipia king'amuzi kupitia mtandao wa Halotel. Cha ajabu sikurudishiwa ujumbe na pesa kwenye account imeondolewa.
Nikapiga simu huduma kwa wateja. Wa kwanza akaniambia system iko chini kwa hiyo itakuwa accessed baada ya muda wa dk 20 mpaka 30. Siku ikapita...
Kwanza niwape hongera kwa kuwa moja ya mitandao inayotoa huduma nyingi kwa bei nafuu,kuanzia msg,dakika , kutoa na kutuma hela kwa Halopesa.
Ila sasa mmezingwa na jambo la Kasi ya intenet kuwa ndogo sana.
Mawazo yangu nadhani kwa vile kumekuwa na wigo kubwa na wahamiaji kwenye mtandao wenu...
Halotel halotel halotel
Nimewaita mara 3, please hebu acheni utapeli buana,hivi hii system yenu ya kifurushi cha data kukata internet makusudi kabla ya kifurushi kuisha muda wake ndio nini? Nime note hii kitu wiki inaenda ya pili sasa ukijiunga kifurushi cha siku (data) kwa mfano kifurushi...
HALOTEL WATABAKI JUU MAWINGUNI TSH 190=MB 100 MASAA 24
Hapa unakuta ndo usiku bundle limekata na kuna issue ya muhimu unataka kuwasiliana na ndugu au miamala fulani ya kifedha au kuperuzi watsaap na google kusoma soma bando limekata na simu haina hela labda 200 tu ipo na mawakala na maduka...
Niende Moja kwa Moja kwenye Hoja.
Baada ya tarehe mbili Mwezi huu Aprili kupewa onyo juu ya bei ya mabando, hawa watu halotel waliweka Gharama walizodai ni za kawaida accordingly kwa wao kuzingatia waliyoiweka ndio bei kabla ya offer. Mh Rais Alivyoendelea kuwaonya HALOTEL walirejea kama...
Naona mnajikosha sasa siku zote hizo mlikuwa wapi? Tushazoea vile vifurushi vyetu pendwa vya 2000- mb 700 leo hii mnavitoa? Hata hivyo vya usiku pack na 4g bundle bakini navyo tupeni tulivyozoea vya mwaka huu.
#kamati ya roho mbaya.
Mambo murua halotel vifurushi vimerejea mahali pake nilitseka sana siku chache hizi yani movie nilishndwa kabisa kuzipakua sasa swaaaaaaaafi apo kwenye usiku pack ndio mahali pangu zaidi Leo ni kushusha movie adi kieleweke
Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.
Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo...
Enyi mtandao wa halotel, network yenu leo haisomi kabisa. Shida ni nini au tatizo ni katelephone kangu.Au ndo maboresho ya vifurushi.
Naomba muongozo wenu katika hili.
Kwa mjibu wa TCRA, mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021.
Pia mitandao itawatarifu watumiaji wake mabadiliko hayo.
Baadhi ya mitandao unachanganya taarifa hizo kwa mfano rejea hapa.
Vodacom Tanzania
Habari, kuendelea kutoa huduma bora zaidi tutafanya marekebisho kwenye vifurushi...
Nilimtumia mtu fedha kutoka kwenye akaunti yangu ya halopesa Ile hela haikufika ila kwenye akaunti yangu wakaikata! Niliwasiliana na huduma kwa wateja bila mafanikio!
Ni wiki sasa ile hela bado hawajanirejeshea!
Wadau ninataka kwenda kuwashtaki.
Kwa muda sasa nimekuwa ninaexperience tatizo la internet, muda mwingi network iko slow na saa nyingine kunakuwa hamna kabisa network. Imekuwa kero sana huwezi kabisa kuenjoy kusurf mtandaoni, katika dakika 10, dakika 8 internet iko down na dakika 2 ndio angalau inafanya kazi.
Hali ikiwa hivi...
Sijui nifanyaje wadau maana simu yangu ina laini ya halotel na internet inasumbua hadi nisubiri usiku. Msaada kwa wataalam wa IT kama kuna cha kufanya ili irudi kuwa bomba.
Uki _ dial *102*01# ujue salio lako, DAKIKA hazionyeshwi. Wanaonyesha Mb, na SMS. Kwanini dakika hazionyeshwi? Ni system failure au ni makusudi? kama ni makusudi, Wanaficha nini kama siyo kuwaibia wateja?
Halotel rekebisha hilo!
Nimewapigia kuwatarifu kuwa kuna tapeli anataka kunitapeli kwa kukopi na kupaste ujumbe wenu wa Halo Win akitumia simu 0627205377
Mkaniambia niwatumie no iliyotuma ujumbe nawapigia hamtaki kupokea kwa hasira sasa nawatumia kupitia jamiiforum namba iliyotuma ujumbe hii hapa 0734269327 na Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.