Viettel Tanzania Public Limited Company, trading as Halotel,is a mobile communications company, providing voice, messaging, data and communication services in Tanzania. It is owned by Viettel Global JSC which is the state-owned Investment Company from Vietnam investing in the Telecommunications market in several countries worldwide. It has invested up to $1 Billion into the Tanzania's telecommunications market. The Company was the first company in Tanzania allowed to lay its own fiber optic cable and has placed over 18,000 km of optic fibers, providing all 26 regions of Tanzania services.The Tanzanian telecom market is one of the most competitive markets in Africa and Tanzania has over 71% mobile phone penetration. The company aims to capitalize on the providing a very wide coverage as quickly as possible and the company claims to cover over 81% of the country's area soon to be the higher than any of the major providers.
Nipo hapa nimeshajaribu kupiga huduma kwa Wateja lakini ninachokutana nacho, mtandao unasumbua Ata anayeongea humsikii, unaskiliza mikoromo tu mpaka masikio yanauma.
Internet ndo kabisa Kwenye kudownload utakesha Inaenda slowly sana, Mida yake mpaka uivizie saa nne usiku Mpaka saa mbili humo...
Masikitiko yangu kwa hawa Halotel kwa wanalowafanyia wateja wao sio jambo jema hata kidogo. Nashindwa kuamini mtandao unashindwa kudownload hata app ya 12mb inabaki kuload tu ila cha kushangaza zaidi nashuhudia data zikikimbia bila kuelewa wapi zinaenda na wakati task ndogo kama ya kudownload...
Kama kuna mtandao wezi wa bundle za internet basi halotel ni kiboko. Unaweza jiunga kifurushi cha GB kadhaa usiingie YouTube wala Instagram, uingie JamiiForums kwa masaa matatu ushangae kifurushi kimeisha.
Tena hapa nilipo mtandao wao uko slow kudownload mb 20 tu unaweza chukua nusu saa. Ni...
Habari za wakati huu,
Leo nilienda katika duka la halotel kubadilisha laini yangu kuwa ya 4G.
Sasa kutokana na simu janja yangu ninayoitumia ilikua ni ya laini moja ikabidi hii laini ya halotel niiweke kwenye simu ya hizi ndogo wengi wanaziita kiswaswadu kutokana na wakati huo nilikua sina...
Salaam wakuu,
Tafadhali naomba niulize kama miongoni humu kuna watu waliowahi kutumia huduma ya Haloyako kutoka Halotel.
Huduma hii inahusisha kutunza pesa na kupokea riba kidogo, kutoka haloyako. Naomba kujua kama kuna wadau wameweza kutunza na kupokea pesa zao bila matatizo.
Naomba uzoefu...
Ulikuwa ni mtandao mzuri kwa kweli kwa upande wangu, Bundle la data la sh 10,000 nilikuwa natumia mwezi mmoja lakini kwa sasa hata wiki halikatishi.
Nafkiria kuitupilia mbali kule halotel nihamie mtandao mwingine.
Halotel wana matatizo makubwa na huduma yao ya internet. Ni kwamba speed ya internet hubadilika kila siku, mfano leo na jana speed ni ndogo kiasi hata google webpage huwezi ku download. Mimi nina line ya chuo na huwa najiunga na vifurushi vya mwezi lakini haisaidii.
Ukipiga simu Customer Care...
Halotel mnawahi sana kureplace number.
I bet with you kwamba within a month or two mnakuwa mshagawa namba kwa mwingine kama muhusika haitumii, sielewi mna matatizo gani.
Unakuta umesajili simcard mpya na kisha unatafutwa na watu wanaodai wanaifahamu hiyo number ikiwa ni mtu wao Wa karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.