hamis kigwangalla

Khamis Juma Suedi Kagasheki (born 30 August 1951) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bukoba Town constituency since 2005. He was the Minister of Natural Resources and Tourism.
Mr. Khamis J. Suedi, a career diplomat worked at the Tanzanian Permanent Mission to the United Nations in New York (1977-1982). Headed the Economic Section in the Department of Legal and International Organizations in the Ministry of Foreign Affairs, Dar es Salaam, Tanzania from 1982-1987. Also worked at the Tanzanian Permanent Mission to the United Nations Office in Geneva (1987-1990).
Mr. Suedi joined the World Intellectual Property Organization (WIPO) in January 1990 and in October of the same year, he became Director for Relations with International Organizations and Promotion of Innovations in Developing Countries. In 1995, he became Director, Industrial Property Human Resources Development and Inter-Agency Affairs Department. In 1997, he became Director for the Office of Strategic Planning and Policy Development.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla aongea kwa uchungu na huruma kuwa amekimbiwa na marafiki baada ya kupoteza Ubunge na Uwaziri. Alengwa na machozi

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Hamis Kigwangalla ambaye amewahi kuwa mbunge na waziri kwa nyakati tofauti tofauti Amejikuta katika maumivu na wakati Mgumu sana kila akikumbuka namna alivyoishi wakati akiwa mbunge na waziri na baada ya kupoteza vyote viwili yaani ubunge na Uwaziri juu...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Hamis Kigwangalla ni kama anataka Maandamano lakini hawezi kusema wazi, kaweka maoni yake Instagram

    Leo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Mwanasiasa Hamis Kigwangalla ametoa maoni yake kuhusu uchaguzi wa mwaka huu na maandamano yaliyopangwa kufanyika nchi nzima tarehe 29 Octoba, 2015. Ameandika Na kuchapisha post kama 7 hivi zikiwa na ujumbe ufuatao OKTOBA TUNATIKI VS OKTOBA TUNATOKA...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe walivyombeba Juujuu Kigwangalla kabla ya Kupiga Kura na Kumbwaga

    Wakuu! Waswahili wanasema uUsiamini vicheko! Hali ilivyokuwa kabla ya zoezi la upigaji wa kura za maoni kwa nafasi ya ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Nzega Vijijini, ambapo Neto Kapalata ameshinda kwa kura 2,570 dhidi ya kada mkongwe wa chama hicho na mbunge...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Mwigulu kama unakopa kuleta Umeme, Barabara wewe kopa. Sisi Bunge tutapitisha na tutawalinda

    Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla, leo Juni 18, 2025, amechangia katika Mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaoendelea jijini Dodoma. Katika mchango wake, amezungumzia Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 pamoja na Mpango wa Maendeleo wa Taifa na bajeti...
  5. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dr Kigwangala achangiwa fedha za fomu ya Ubunge na wapiga Kura wake aweka wazi risiti kutoka Wakala

    Mbunge wa nzega vijijini Dr Kigwangala amechangiwa fedha za kuchukulia fomu za kugombea tena Ubunge Fedha hizo zimechangwa na wapiga kupitia wakala wa M pesa na kila kitu kiko wazi Ukurasani instagram Kigwangala ameandika "Leo nimejikuta nikiwaza na kushukuru. Nimehemewa! Ubunge ni kazi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…