hamza johari aapishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari aapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Rais Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 5, 2025, amemuapisha Hamza Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uapisho huo umefanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali. Hamza Johari aliteuliwa na Rais Samia kushika wadhifa huo Novemba 3, 2025. Kwa...
Back
Top Bottom