Niwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia, uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehemu tulikua tunakutana kila siku ni sehemu ambayo Mimi nilikua nafanyia kazi, sasa kwenye iyo ofisi niliyokua nafanyia uyu kaka ambaye ni mpenzi wangu kwa sasa alikua anapenda sana kuja ofisini...