Kiberiti kimelowana. Jibu kama mzazi wa kiswahili ambaye hana hela

Kiberiti kimelowana. Jibu kama mzazi wa kiswahili ambaye hana hela

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Kuna namna wazazi wa kiswahili au uswahilini huwa na majibu yao ambaye mengine yanachekesha, kukera au walivurugwa zaidi hujibu bila kushirikisha ubongo yaani kutumia lugha nyeusi.

Mfano ukijiweka kwenye mazingira ya mzazi wa Kiswahili utajibuje mtoto akisema ameloweka kiberiki akitaka kuwasha moto na wakati huo huna hela.

Naanza mie, loweka tu baba yako si anafanya kazi ya kutengeneza hela.
 
Chomeka njiti kwenye shimo lako la haja kubwa halafu ipekeche itawaka tu,mbwa we...
Na nikija kuwasha mimi utafute pa kula leo...
 
Kiberiti kikilowa kinawekwa kwenye figa au jivu linaloeleka kupoa

AU pembezoni mwa jiko linalo Waka kwa wivu mkubwa kisilipuke
 
Back
Top Bottom