Ndugu zangu watanzania,
Tegemeo la chadema miaka yote ilikuwa Ni kwa kundi la vijana,Hakika na kwa hakika vijana wa nchi hii walitumika na kutumikishwa Sana na chadema,wazazi wengi Sana wamebaki wanalia machozi kila Siku baada ya watoto wao na vijana wao kufukuzwa vyuoni kwa sababu ya utovu wa...
Mwigulu Nchemba anatambua kwamba amekosea, lakini anatambua kwamba Rais anamwamini Sana.
Upande wa pili hana taarifa kwamba hata kama Rais angemwamini na kumpenda Sana, kama wawakilishi wa wananchi (wabunge) wanadharaulika basi mpendwa wa Rais amewadharau wananchi.
Kuwadharau wananchi means ni...
Nimegundua miaka hii tunasikiliza mziki mbovu kuliko wazee wetu. Tunasikiliza mziki kutokana na umaarufu wa mwanamuziki na si talent yake. Na kama tujuavyo, umaarufu ni kujitangaza tu. Huyu msanii ni mkali sana. Vocals zake ni za kipekee sana.
Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary ambaye amekainishwa nafasi hiyo, Alhad Mussa Salim amesema ataendelea kuwa ndani ya baraza katika nafasi nyingine.
Amesema “Sijapewa taarifa rasmi lakini...
Rushyna wakati akitambulishwa kuwa Balozi wa Emish Beauty jijini Dar es Salaam amezungumzia pia kuhusu ndoa yake iliyovunjika kati yake na Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara.
Rushyna amesema kama unaona haupati amani sehemu using’ang’anie, mtangulize Mungu mbele kisha endelea...
Wasalaam.
Leo ilikuwa ni Ufunguzi wa Mikutano ya Hadhara kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), iliyofanyika uwanja wa Furahisha mkoani Mwanza.
Pamoja na mengine mengi, hotuba ya Mwenyekiti wa Chama, Mh Freeman Aikaeli Mbowe imebeba dira na mwelekeo wa Chama hicho.
Katika hotuba...
Lile Lengo la Serikali la kumpa kila Mwalimu kishikwambi limegonga mwamba katika halmashauri ya Manispaa ya Moshi. Ambapo sasa mwalimu ili upate kishikwambi lazima uwe kwenye categori ya uongozi. Yani uwe eitha:
1. Mkuu wa shule
2. Second masta
3. Mwalimu wa taaluma (Academic master)
4...
Habari za Jumapili?
Naomba niende moja kwa mona kwenye mada, hiko hivi, kuna kijana ambaye ametokea mkoa mmoja huko Kanda ya Kaskazini, huyu hakuwa na wazazi wote wawili kwani walifariki kipindi alipokuwa mdogo sana. Kwa kipindi kirefu cha Elimu yake alikuwa akiishi na bibi upande wa mama...
Mchezaji wa Manchester City Benjamin Mendy amekutwa hana hatia ya makosa sita ya ubakaji na moja la unyanyasaji wa kingono dhidi ya wasichana wanne.
Mahakama ilishindwa kufikia uamuzi juu ya shtaka moja la ubakaji na moja la jaribio la ubakaji na kesi itasikilizwa tena.
Majaji katika Mahakama...
Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kimesema kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii tarehe 05 January 2023, na kuzua taharuki kwa jamii ikiwahusisha Watumishi wa Kada ya Afya wawili ambao ni Rose Shirima (Muuguzi Mkunga) na James Getogo Chuchu...
ROSE SHIRIMA HANA KOSA LOLOTE, MWENYE MAKOSA NI JAMES GETOGO KUIBUA MAKOSA YA SERIKALI/MWAJIRI WAKE
Anaandika, Robert Heriel.
Watanzania Wengi tunapenda Sana mambo ya kudandia dandia mambo. Kufuata Mkumbo. Kwenye nchi hii ni rahisi Sana kumchafua MTU na watu wakaamini na kumuona MTU Fulani ni...
Mfano Leo tupo hai twachukiana Sana. Usoni twacheka hila ni rohoni vita vikali Sana.
Nasema hivi kwanini mwaka 2013 mtoto wa Mama Mdogo ambaye alitabiriwa kuja kuwa Mwangaza wa Maisha na aliyeonekana Kama Nyota ya Familiya, na aliyekuwa anaweka bidii kwa masomo na kuipambania future yake...
Binafsi tangu nianze kuwa karibu na wazazi na kuwa karibu na Mungu nimeona Mabadiliko Katika Maisha yangu.
Je Endapo ukifanya kinyume chake je ntarudi Kwenye msoto na kuanza kuishi Maisha ya bahati nasibu ?
Kufikia hatua ya kushindwa kulipa Bima
Kama Mwanzo na je ntarudi kupanga uswahilini na...
Nadhani tunaelewana kwamba kwenye ukumbi huu dj ni mmoja TU! Na muziki unaotakiwa kuchezwa humu ni taarabu TU au mziki wowote wenye mahadhi ya kingazija! Haiitajiki kelele au kutupatupa mikono ama kuruka majoka.
Ma dj wetu kutoka bara wamechemka wakapigwa benchi, si mnamkumbuka lukuvo na...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza imesema Washtakiwa 81 kati ya 84 akiwemo Diana Bundala maarufu Zumaridi katika kesi namba 12 ya kufanya kusanyiko lisilohalali na shambulio la kudhuru mwili hawana kesi ya kujibu.
Hakimu Mkazi Mwandamizi Clescensia Mushi akisoma uamuzi huo amesema...
Hello bosses...
Kipindi cha nyuma TerraUSD na Luna zilipopata anguko niliandika uzi humu kwa sababu hilo tukio nlikua nategemea lije kutokea kutokana na mechanics za namna hizo coins zilivokua zinafanya kazi uzi uko hapa CRYPTO-FUNZO KWA WAKURUPUKAJI: Luna coin ilikua ni sawa na $85 wiki...
Simba wana mpango wa kumsajili siza lobi manzoki, mchezaji wa Dalian Pro ya China, kwenye dirisha dogo la usajili linaloanza December 1, 2022. Ni jambo jema.
Hata hivyo, huyu Manzoki toka amejiunga na Dalian, amecheza mechi moja tu, na hajafunga bao lolote
Kwa muda mrefu sasa hajapangwa kwenye...
Kisa cha kweli,
Mtoto alikuwa analelewa na bibi yake Naye bibi kalundika vijana wasio na kazi wanakula bure na kulala bure, mmoja wa vijana ana tabia ya kuwalawiti watoto huyu wa sasa ni watatu.
Issue ikajulikana Mara kutahamaki bibi wa aliyelatiwa anamaliza tatizo kifamilia mwenye mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.