Nyie viumbe naamini mmeamka salama japo Mihogo FC wanatupigia sana kelele. Kwa wale mnaofatilia mpira wa Simba hivi karibuni mtaona kabisa Mgunda ana uwezo mdogo sana, kiufupi anabebwa na uwezo binafsi wa baadhi ya wachezaji.
Kabla hatujapata aibu zaidi naombeni uongozi wangu/wetu umtimue mara...
Bunge ni moto
Dr Kigwangala amesema Waziri wa Elimu Prof Mkenda amelidanganya Bunge kwamba Bodi ya Mikopo imekuwa inamdharau
Spika Tulia amzuia Dr Kigwangalla kwa sababu kabla ya kuongea Bungeni Kigwangalla ameshaliongea hili kwenye mitandao ya Jamii
Aidha Spika Tulia amesema inafahamika wazi...
ACT - Wazalendo haina wanachama wala jengo la ofisi inalomiliki Bara. ACT inategemea nguvu ya wanachama kutoka Zanzibar wengi wakiwa ni wale waliokuwa wafuasi wa CUF- Maalimu Seif.
ACT -Wazalendo haina Jengo la Chama kwa maana ya umiliki, jengo walilopewa na Maalimu Seif Foundation ni lile...
Nipo na ajira nashkuru mungu inayofanya nisogeze maisha. Nina mshahara mdogo tu lkn kwa ubachela wangu unanitosha.
Mdingi wangu (mzazi pekee nliyebaki nae kwa sasa) ana kipato cha uhakika na hana shida ya pesa ndogondogo. Kipato chake ni mara 5 zaidi ya changu kwa mwezi.
Nimekuwa nikiumiza...
Ukiona unaitwa mume wa dada fahamu kuwa wanakuchukulia poa yaani huna hela.
Masikini wanaongoza kwa dharau tangu Dunia kuumbwa kwake na wanaongoza kuita watu majina ya Ajabu mara tolu mara n.k
Mmesahau zile sauti zilipodukuliwa? Mmesahau alivyojifanya kujipendekeza kwa hayati JPM na kuomba msamaha.
Leo anajinasibu ni mwanasiasa msafi na anahuruma ya upinzani ili iweze kufanya mikutano. Huyu ni hyocrite politician mwenye roho mbaya.
Ana huruma gani na upinzani. Kwa nini hakusema hii...
Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika.
Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo...
Wakuu tangu niamue kuokoka nimepata changamoto kubwa sana, leo nimezini mara ya pili hata wiki haijaisha.
Yani ni kama kasi imeongezeka, halafu niliye zini naye leo ni demu aliye nipiga chenga muda mrefu sana nikakata tamaa nikaacha kumfukuzia.
Jana akanitafuta akaniambia yupo Moro nikamjibu...
Huku centre boulevards of Brussels bila shaka hii ni mitaa maarufu ambako Lissu anapendelea zaidi kutembelea!
Au Kama yupo nje na Brussels huko Antwerp au Le ROI centre hawezi kukumbuka tena kurudi kwenye siasa za Tanzania. Miezi michache nyuma kilio Cha tundu Lissu ilikuwa ni kulipwa stahiki...
Simba hana record nzuri na timu za Kusini na Magharibi mwa Africa kulinganisha na Kasikazini.
Kama ambavyo yanga hana rekodi nzuri na timu za Warabu.
Naongea kiufundi sio kiushabiki
Simba alitolewa na timu kutoka Msumbiji, akatolewa na timu kutoka Botswana, akatolewa na Pirate na Kaizer Chief...
Kila siku raisi wa Ukraine anapotaka kujisifu kuwa amekomboa eneo au tuseme anapopiga propaganda za vita hawachi kusifu silaha fulani aliyopokea karibuni kutoka Marekani au kwa washirika wake.
Na anaponyimwa chochote na nchi hizo hawachi kutoa lawama za wazi wazi na vitisho kwa taifa hilo kwa...
Huyu bwana mdogo anafeli sana, ametoa hit lakini hataki kutoa video. Sasa wimbo wake kidogo kidogo unapotea masikioni japo ni mkali sana.
Nashindwa kuelewa ni umasikini, kama ni hivo watu wenye fedha zetu hatuwezi kushindwa kumpa milioni 30 atoe video.
Sasa wimbo mkali anachelewa kutoa video...
Ndugu zangu huo ndio ukweli kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii ya Tanzania, Hata Kama angezaliwa kabla ya Uhuru na kuwepo wakati huo na ikatokea uchaguzi, bado Lisu asingepewa nafasi ya kuwa Mkuu Wa nchi Hii ya Tanzania, kwa kuwa anakosa sifa za kiuongozi anazopaswa kuwa nazo Mkuu Wa...
Yanayoendelea huko Ukraine na Russia nilifikiri ni mihemko na ujuaji mwingi tu wa wabongo.......kumbe ni kweli mzee mzima putin anakutana na wakati mgumu;
Vyombo vyote ninavyoangalia sasa, hata vile visivyo rafiki wa marekani, vinatangaza tu sasa kuyumba kwa urusi.
Nikikumbuka jinsi dunia...
Dunia nzima kiongozi wa namna hii huwa hana huruma.
Hawezi kujali kama wananchi wanahangaika juu ya ugumu wa maisha na ajira.
Atahakikisha wanakamuliwa kodi za kila namna bila ya huruma.
Wananchi huwa wananug'unika kama ilivyo kwa sasa Tanzania yetu. Ni manug'uniko kwa kwenda mbele.
Hakuna mtu alikuwa karibu na mzungu kama Raila, hakuna aliyekuwa ana ushawishi mbele ya mzungu hapa Afrika kama Raila mpaka hata walisema Obama ni cousin yake, lakini siku imefika na mzungu kapindua meza na Raila hatakiwi tena. Najua mtasema Ruto kashinda kidemokrasia lakini ukweli ni kwamba...
"Sisi ni watu ambao tunamtambua Mungu, maamuzi yatakayoenda kutolewa kesho tumemuachia Mungu na viongozi wa mahakamani waamue na kenya iweze kwenda mbele".
"Mimi naomba kwa heshima kubwa mumuombee Kenyatta hasa katika kipindi hiki cha transition, Mungu amsaidie ampatie hekima, kuwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.