Wengi tunakumbuka miaka ya nyuma Diamond ndie alikuwa msanii pekee aliekuwa ana promote video zake kwenye mitandao ya kijamii kwa kulipia, hiii ikapelekea kuongezeka kwa umaarufu mpaka sasa imefikia hatua kaacha ku promote kwa malipo maana kwa sasa anafaidi mavuno ya mashabiki wapya aliowapata...
Ninaomba ushauri. Nimechunguza nyumba zetu nyingi zina shida sana ya harufu toka msalani mtu akipiga tukio kubwa. Bora huko vyumbani mtapambana na hali zenu, hiki cha wote jirani na sebule ni changamoto jamani.
Ukute una wageni kisha mtu akaenda kutupia, kisha ukute ni wale watu "nya" inanuka...
Kwanza kabisa nakupongeza kwa ukipofikia. 1. Kwenye chanjo
2. Kwenye Makato ya Kodi
Tanzania ilipokuwa imefikia ilikuwa ni pabaya sana. Watu waliaminishwa ujinga na wakaendelea kuishi kwenye ujinga. Tumepoteza watu wengi sana kutokana na kuaminishwa kuwa Tiba asili inatibu Corona badala ya njia...
Nauliza tu.
Je, bei gani kunyoa style ya kawaida tu.
Na..
Naona mtandaoni wanatupia picha za warembo wamenyolewa je wananyoa na wanaume au?
Nakuja Dar karibuni, sehemu nilizopanga kutembelea moja wapo hapo.
JAMBO 1 KTK PESA
✍🏿 Leo naomba tugusie jambo dogo sana ktk pesa.
💧 Kinacho kufanya wewe kuwa Tajiri sio kiwango cha pesa ulicho nacho ila ni matumizi kwa kile unacho kipata.
🙏 Mfano : Kama unapokea laki 3 kwa mwezi na ukatumia laki 2 na 80 na ukatunza elfu 20 M-pawa. Baada ya miezi sita...
✍ KWA NINI HUJAFANIKIWA‼️
💧 Kwanza tambua jambo 1 mungu hawezi kukutoa hapo ulipo mpka akupe elimu ya kule unapo taka kwenda ( kila elimu inalipiwa )
Mfano: Kama wahitaji kufanikiwa kibiashara lazima uwe na elimu ya kufanikiwa hapa ndo utakuta mtu anataka kuwa kama Fulani ktk biashara ila...
Habari zenu wanajukwaa!
Tupeane namna ya kukwepa kutuma hela kwa simu Mana jamaa wanadai wazalendo Ila hata Mia Yao mbovu haikatwi pia hatunziwi hela wake kupewa wakizeeka Ila wewe ndiye wa kutunziwa pia ndiye wa kulipa Kodi ya kizalendo.
Jamaa wamelewa Kodi zetu,kumbuka yeye hajui kuwa Kuna...
Ndugu Mashabiki wa OPPO nipo katika savey ya simu tajwa. Ninalinganisha bei nipate uelewa. Je, kwa sasa simu hizi zikiwa mpyaa, OG zinacheza shilingi ngapi hapo mjini kwenu? Wale mliopo jirani na maduka makubwa tafadhali ninaomba msaada kufahamu.
Shukrani
Wakati Tundu Lissu kabla hajashambuliwa kwa risasi alikuwa analalamika kuwa kuna gari inamfuatilia. Sisi ambao siyo wanaintelijensia tulikaaa kimya kusubiri majibu ya wataalam na viongozi. Na haya yalinenwa na wakuu wetu:
Waziri wa mambo ya ndani, wakati huo Mwigulu Nchemba, alisema kwamba...
Habari ni kwamba mlikataa kulipwa hela sawa na utopolo (hapo nawaunga mkono kabisaaa) lakini milioni 200 kwa mwezi ni nyingi sana inaweza kutumika hata kuongeza mishahara ya wachezaji na technical benchi au hata kuanza kuelekezwa kujenga majukwaa uwanjani kule Bunju.
sababu ya pili ni kwamba...
Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa?
Je Rais aliyepo Madarakani alihusikaje katika mchakato wa Katiba?
Mnataka mchakato uendelee kuanzia wapi?
Kama kuna aliyeharibu mchakato achukuliwe hatua gani?
Vipi Raisi aliyeko...
Mama Samia Mtumbue A, Hapi atakuharibia na kutoa imani kwa Watanzania waliyonayo kwako. Alionyesha dhalau kubwa Sana kwa wazee wetu ambao ni Maraisi wasitafu, kumbuka hata wewe ni msitafu mtalajiwa.
Ukimwacha hata wewe ukimaliza muda wako atakuja kukutukana.
Kwani A.Hapi yeye ni nani kwenye...
Hebu wanaomshughulikia Mh. Mbowe kwa kumsababishia awe na hali ngumu ya kisiasa na kiuchumi waniambie ni Mzee gani alimpa mzee Nyerere makochi ya kukalia katika nyumba yake aliyopewa iliyopo magomeni wakati wa kudai uhuru?
Nyumba hiyo ipo magomeni imekuwa kama nyumba ya mkumbusho ukienda hayo...
Siku hizi kila ukiingia mtandaoni utakutana na uzi wa kupinga, kupongeza, kuelekeza au kufananisha na Mtangulizi wake.
Hivi haya yote ni kwa kuwa hatujawa na historia ya kuongozwa na Mama au tu ni tabia asilia ya Viumbe kulialia mbele ya Mama zao maana hata kwenye familia Watoto wanahisi uhuru...
Leo nimeona nimstue kidogo wakili msomi Silas Isangi ambae ndie rais wa RT.
Kiukweli tangu achaguliwe kua rais wa RT tumekua na matumaini mapya juu ya Riadha ya Tanzania. Lakini cha kusikitisha, tangu Silas achaguliwe, zaid ya kua mdandiaji wa mbio zinazoandaliwa na vyama vya mikoa mbalimbali...
La muhimu ni kwa Rais Samia kwa hii miaka minne, au mitatu, aipatie Tanzania katiba mpya. Asijikweze sana kutaka kugombea hapo 2025, hilo si lake. Awaachie wenyewe.
Zaidi ajikite kwenye kuwekeza utawala wa sheria, Katiba mpya na tume huru ya Taifa ya Uchaguzi, mambo matatu hayo yatamuweka...
Nipo Pwani ya Kawe na hali ni tulivu kabisa wanajamii wakiendelea na mishe zao.
Tupe taarifa hapo ulipo kama kuna dalili zozote za Jobo kuibuka.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Kazi Iendelee!
Ndugu yangu jobo kwanza salamu!
Pili napenda kukupa pole hasa kwa kuchagua siku isiyo rafiki kwa kufanya shughuli zako hapo Tanzania.
...aliyekudanganya uje kufanya shughuli zako siku ya Jumapili hakukujuza kwamba Tanzania kuna manabii na mitume wasiyo na idadi na kwalo siku hiyo ndiyo wao...
Hotuba ya Rais Samia hapo jana imeacha watu wengi nija panda. Binafsi naona kama ililenga zaidi kuyapooza makundi yaliyokuwa yanapiga kelele kama:
Vyama vya upinzani
Team Magufuli
Wafanyabiashara
Wananchi wengine kiukweli tumebaki njiapanda, maana hatujui ni upi uelekeo wa Rais hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.