Kwa hakika mwanamke ana thamani ndogo mnoooo.... Ukiachana na talaka halali pale mwanamke akikosea, kuna muda mwanaume anaweza kutaka tu kumfukuza mke wake, hapo akitamka tu Talaka mara 3 basi mwanamke anarudi kwao huko ndoa imeisha
Baada ya Madereva wa taksi za mitandao wameandamana mpaka makao makuu ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Jijini Dar es Salaam kudai kupandishwa kwa bei elekezi ambazo licha ya kupandishwa bado kuna wahusika awazifanyii kazi hali hiyo inatokana na kuendelea kupanda kwa bei ya mafuta...
Wanajukwaa wenzangu kama yupo mwenye majibu ya tatizo naomba maelekezo,
Ukweli tanzania tunasafari ndefu kwani ukosefu wa maabara za mifugo umewafanya ma afisa mifugo kuwa wapiga ramli chonganishi kwenye matibabu ya mifugo yetu.
Natanguliza shukrani!
Fikiria kutokula au kunywa wakati wa mchana kwa siku 30 mfululizo moja kwa moja sio jambo jepesi. "Mtazamo wa mwezi huu kimsingi sio kujizuia au kufunga, bali ni mkusanyiko wa nguvu na akili ya Muislamu juu ya utambuzi wa Mwenyezi Mungu na maisha ya ibada ya uchamungu."
Haipendezi bint wako wa...
Miaka ya 2000 niliishi Jiji la Mbeya eneo la Mbalizi. Nilikaa kwenye jiji lile kwa miaka 4
Humu JF nimekuwa mkosoaji mkubwa wa Jiji la Mbeya Hasa kwa namna lilivyojengwa hovyo na nimekuwa nikisema humu halistahili kuwa jiji
Nimekuwa pia mkosoaji sana wa watu wa Mbeya kwamba sio watu wa...
Hii hospitali inayoitwa Dr. Mzena iko wapi na inamilikiwa na nani, na huyo Dr Mzena ni nani hasa? Yupo au alikuwa hospitali gani?
=========
Kwanini hospitali ya Usalama wa Taifa inaitwa Mzena?
Emilio Mzena, alikuwa Mkurugenzi wa kwanza wa Idara ya Usalama wa Taifa, na aliongoza idara hii...
Mzungu aligeuza Ngorongoro kuwa Hifadhi mwaka 1959 kabla ya hapo mbona Wamasai hawakuiharibu? Kama Wamasai ni waharibifu wa mazingira kwa nini Mzungu aliikuta ikiwa intact?
Kwa wasiojua Mkoloni Mjerumani alikuwa anaitumia Ngorongoro kama sehemu ya kufugia Wanyama, na kulikuwa na mpango wa...
Habari wadau,
Naomba kama una taarifa ya bei (prices) za vyakula vya kuku maeneo ulipo. Unaweza kutueleza pia bei hizo ni kwa kipimo gani, labda gunia, debe au hata kilo.
Lengo ni hasa kutambua wapi kuna fursa za kununua vyakula hivyo na kuuza. Mfano: Kwa Arusha bei ya gunia moja la Pumba...
Kuna kipindi fulani nilienda Kahama kwa shughuli za kimiangaiko; kutokana na kuwa na marafiki wengi, nikaomba si vibaya kuomba 'appointment' na mwenyeji wangu mmoja anayeishi katika mji huo.
Alipofika, tukabadilishana mawazo, kula kunywa na hatimaye tukaelekea mapumzikoni.
kufika...
Hali wadau wa JF, habari zenu.
Naomba kujua idadi ya Madarasa yaliyojengwa huko wilayani Ngorongoro. Ni kwa upande wa elimu ya Msingi na secondary.
Ikumbukwe hivi Sasa Kuna fukuto la kuwahamisha wananchi wa huko kwenda maeneo mengine. Lengo ni kuokoa hifadhi ya Crater ya Ngorongoro.
Lengo...
Katika vitu vinaumiza ni mtu kudai malimbikizo yake ya kazi aliyoitolea jasho halafu Fomu zinajazwa hapo wizarani unazikuta zinazagaa mpaka zinapigwa mateke kwa kukosa utaratibu mzuri
Ukiingia chumba cha Approvers ni aibu mafomu yametupwa kila mahali na kupelekea kupoteza haki za watu
Kuna...
Lazima kuweka maneno ambayo yanaamsha hisia za watu kuwa hil ni la kwetu na si la serikali kama wanavyotaka kufanya kuuteka tena mchakato wa katiba.
Napendekeza
1. Wananchi Ndio wenye Nchi Katiba Initiative au
2. Katiba ya wananchi Initiative
3. Or any other catching words one might think of...
Kocha Zubery Katwila Wewe ni Mwanangu kabisa tena tokea tukiwa tunacheza pamoja Soka pale Magunia Msasani ( japo baadae ukaniacha na kuendelea Kucheza Soka la Ushindani ) na akina Marehemu Ally Yusuf Tigana, Msela Monja Liseki Mawe na Fundi Gwakisa Mwandambo ( aishiye Mji Mpya Kawe ) na nakujua...
Habari za Ijumaa wikenda wapenzi wasomaji wa MMU.
Kwanza napenda nitoe maelezo kuhusu tabia yangu ya kimaisha.
Declaration; Mimi nimeoa mke wangu Mama wa nyumbani. Nimefanya hivi kwa kuwa napenda sana starehe. Yaani napenda ninaporudi nyumbani nikute nyumba imesafishwa, inang'aa, chakula...
Habari wakuu, inaonekana mara ya mwisho nchi zetu zilikutana mwaka jana kujadiliana kuhusu mgogoro wa mpaka wa ziwa nyasa, na kweli kwa mwendo huu inaonekana mgogoro huu hautapata ufumbuzi mpaka mwisho wa dunia na wote tutakufa masikini wakati kuna utajiri mkubwa wa mafuta kwenye ziwa hilo, sasa...
Hii habari ya Makonda kushitakiwa tuitazame kwa umakini hass kipindi hiki ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA,.Mh. Mbowe akiwa na kesi isiyoeleweka.
Na itakuwa ni utata zaidi iwapo Makonda atashitakiwa na mtu binafsi na si serikali kwa maana ya Jamuhuri. Yaani ushitakiwe na Jamuhuri kwa kesi kama hiyo...
Ndugu wanajamvi kwa kuwa wahaya wote wanapinga mkoa wa Chato kwa vigezo hapana sifa eti wilaya ni mpya basi mie napendekeza uundwe mkoa wa Biharamulo na maeneo yake iwe wilya ya Ngara, Biharamuo, Chato.
Je, Wahaya hili watalikubali? Kama watalikataa basi ina maana hoja ya kusema Chato bado...
Wanasheria na wadau mnaofahamu naomba mrejesho juu ya kichwa cha habari hapo juu. Kwanini Jaji hawezi kutoa maamuzi ya papo kwa hapo au ndio sheria inavyotaka?
Ili kufanya maamuzi madogo lazima ahirishe shauri kwa siku nzima?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.