Yamebakia kama masaa 24 kabla ya mtanange muhimu kwa Yanga na Al Hilal hapo kesho.
Niwatahadharishe kitu kuwa, kesho inaweza ikatokea bahati mbaya Yanga wakafungwa goli la mapema sana. Sasa niwaambie ndugu zangu hawa kuwa, hawatakiwi kukata tamaa mpira ni dakika 90.
Goli la mapema linaweza...
Yaani masaa machache baada ya Putin kusheherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwake (birthday), wazalendo wa Ukraine wakamtumia salamu kwa kulipua daraja ambalo lipo moyoni mwake, alilotumia hela ndefu sana $4b kulijenga na kalizindua yeye mwenyewe, kwanza mkandarasi alikua swahiba wake wa utotoni...
Naomba kujua bei za frem na chumba kwa morogoro, na maeneo yote ya moro,sehemu palipo chagamka.
Sehemu ambapo unaweza kufanya bishara ya library ya movies,biashara ya nguo,gesi,n.k
Natanguliza shukrani👏👏👏
[Habari wanajukwaa!
Mwalimu mmoja amenifata kuniomba nimshauri kitu!
Kuna mwanafunzi kamfata leo, kamwambia Ana tatizo kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge.
Ila mwl. kagoma kunijua vidonge, na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya.
Ndio...
Habari wanajukwaa!
Mwalimu mmoja anaefundisha Jangwani girls, amenifata kuniomba nimshauri kitu!
Kuna mwanafunzi kamfata leo ,kanambia Ana tatizo ,kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge,
Ila mwl.kagoma na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya...
Habari wadau.
Kuhusu huu uzi naomba tuongelee sentesi ya hapo katikati muendelezo ie,
Jana nilikaa maeneo ya pale Picaso hapo katikati akaja jamaa kuniletea mazoea nikamkataa!
Niliitwa kituoni jana jioni kufika pale hapo katikati wakaniweka lokapu.
Kweli wanawake wote wa sasa hivi ni wazuri...
Wengine wanaona kura za maoni kama jaribio la Kremlin kuanzisha upya vita.
Ikiwa Urusi itachukua maeneo haya inaweza kupeleka mzozo katika kiwango kipya na hatari zaidi, huku Moscow ikionyesha juhudi zozote za Ukraine kuyarudisha maeneo hayo kama shambulizi dhidi ya eneo lake huru.
Kuunganisha...
Nakumbuka niliwaambia watu kitendo cha ACP Kungu Malulu kuteuliwa kuwa Mkuu wa Polisi Temeke hao watoto zenu wanaojiita Panya Road muwakanye huku mtaani kuna watu walinidhihaki.
Sasa kamanda Kungu Malulu ambaye alikuwa Kamanda wa Kipolisi Kanda Maalum ya Rufiji, ameanza kazi rasmi na ndani ya...
Jamaa anaishi maisha magumu sana kama kibaka, anaogopa hadi kivuli chake ndani ya nchi yake pamoja na utajiri wote ule. Anawindwa kuuawa kila siku tena ndani ya nchi yake supapawa ambapo ndiye rais.
Najaribu kuwaza maisha wanayoishi wahudumu wake wakiwemo wapishi, lazima wananyimwa amani sana...
Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Ernest Khisombi Septemba 12, 2022amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili kwa tuhuma za kujipatia mkopo wa gari binafsi wenye thamani ya Shilingi 196,570,931.00 kinyume na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa...
Mada inajieleza.
Usije kusema sijakutonya.
Ukiona makalio yametazamana na camera sijakuambia muachane ila nimekuambia tu kuwa wewe pia uko kwenye foleni.
Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu.
Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki.
Sijui hata kama anawashauri huyu.
Kwa miaka kadhaa iliyopita watumishi wengi wa serikali na mashirika yasiyo ya kiserikali, waliibia sana serikali.
Hii ilitokana na kukosa udhibiti wa miaya ya rushwa, kukosa uadilifu na kuruhusu matumizi yasiyo ya lazima.
Kiongozi wa nchi aliyetangulia kabla ya huyu aliyepo sasa, alijitahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.