Kama namna fulani ya kuwajibu Wachina, Marekani kwenda kupitisha vyombo hayo maeneo ya bahari karibu na Taiwan na kufanya yao ikiwemo mazoezi ya kutunisha misuli....
A senior US official said Friday the US was set to conduct "freedom of navigation" operations in the Taiwan Strait during the...
Watu wa Soka,
Salamu kutoka Singida Big Stars.
Ratiba ya Ligi Kuu imeshatoka na mechi yetu ya kwanza tumepangiwa kucheza uwanja wa nyumbani na Wajelajela Tanzania Prisons siku ya Jumanne Agosti 16, 2022.
Nafahamu kwamba Mashabiki wetu, watanzania na watu kutoka mataifa mbalimbali siku hizi...
Hatimaye Ukraine na Urusi walifikia makubaliano ya kuruhusu ngano ya ukraine kusafirishwa kwa kutumia bandari ya Odessa. Ukraine walivyoona hivyo, wakaamua kupeleka kwenye bandari hiyo meli iliyokuwa na mitambo ya kurushia makombora ya HIMARS yaliyotoka Marekani. Walifikiri kuwa bandari ya...
Hakuna kitu kinaitwa "Unyonyaji" kwenye dunia ya mabepari. Umepewa mkataba, unapewa muda ukausoma na kutafakari, ukaona unafaa, ukatia saini. Hakuna la ziada hapo.
Nitaamini Wasafi ni wanyonyaji siku akitokea mtu akatae mkataba wao mwanzoni kabisa kabla ya kupata umaarufu.
Kama unaona ni...
Marekani imesusia mafuta ya urusi bado urusi inapeta! Nchi za magharibi zimeiwekea urusi vikwazo vya kiuchumi zaidi ya 6,000 lakini ndo sasa inapata pesa zaidi! Marekani inaumiza kichwa kuwaza waifanyieje Urusi ili kuikomoa kiuchumi?
Marekani imekuja na wazo lisilotekelezeka!! Inasema itaweka...
adriz, mwanausangi, Frank Wanjiru, Sky Eclat, KISIWAGA, Daudi Mchambuzi, cocastic na Bila bila kumbe nyie na 'Ujiniasi' Wenu wote mnaishi huko Uswahilini Bongo na ndiyo maana mwisho Wenu wa kuwepo ( kuchati ) hapa Jamiiforums ni Saa 12 za Jioni tu?
Sasa ngoja nitafute Marafiki zangu wapya...
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu...
Wakati sahihi ni sasa maana ukisema unatafuta maisha mazuri kwanza ndo ukawasaidie vizuri ukumbuke time yao inakatika.
Hivo utazipata lakini wao hawatafaidi maana watakuwa wameshakwenda kwa muumba hivo ni vema ukaanza sasa hivi hata kama ni kidogo.
Wape hakuna wakati mwingine zaidi ya huu wa sasa.
Hili neno kama ntakuwa nimekosea kuliandika pia nipo tayari kurekebishwa naomba kufahamu maana yake halisi na linatumika mazingira yapi?
Nimejaribu kugoogle sijapata na kamusi pia hakuna.
Ahsanteni,Asbh Njema.
Kuna jambo watu hawajaligundua, ni kwamba CCM inawaweka pembeni baadhi ya watu kisayansi sana
Njia ziko mbili na zimefanya kazi, ya Tatu ya Mheshimiwa wa soko lake Dodoma ndo iliniacha hoi,
1. Ana uchu sana na Urais huyu kijana mpe majukumu yanayogusa moja kwa moja Wananchi watamuondoa wenyewe...
Za mchana huu wadau hapo ulipo. na sisi mwenyeji wa hapa mwanza Kisesa kuna moto umetokea mda sio mrefu kwenye nyumba fulani karibu na hospitali ya kisesa ila jeshi la zima moto linafanya kazi kwa welendi mkubwa nawapongeza sana.
Turudi kwenye mada.... sio utafiti ila kwa wadada wengi ambao...
Kila Siku tu unashauriwa na Watu 'Maalum' kuwa pale ukiwa unaenda Mahakamani ikitokea Umep;angua Kesi fulani basi 'Body Language' yako isiwe ni ya Kuonyesha kama Ujeuri na Ujivuni kwani ndilo ambalo linakugharimu ila kwa Upopoma (Upumbavu) wako na Kiburi chako unajifanya Gangwe.
Halafu acha...
Wakuu msaada kuna hela nilikuwa nimetunza kwa ajili ya kununua kiwanja lakini baada ya kufanya tathmini ya kina nikaona nitakuwa nimwfanya kitu Cha kitoto hasa ikizingatiwa hapa duniani tunapita tu, sisi hapa duniani ni wasafiri.
Msaada nataka kujua Gharama ya kukodi boti hapo mjini kwa ajili...
Hiki chuo cha excellent kwanza hata usipo-apply unashangaa umetumiwa meseji kwamba umechaguliwa hapo wakati hata ku-apply huku apply.
Hiki chuo ukiingia kusoma hakuna kuhama ukiomba uhamisho kwanza wanakukatalia kisha wanakufutia usajili kwamba hawakutambui hivyo unaanza upya kabisa...
HAPO ZAMANI ZA KALE: HISTORIA YA MWALIMU THOMAS SAUDTZ PLANTAN NA CLEMENT MOHAMED MTAMILA
Ulikuwa ukiingia nyumbani kwa Mwalimu Thomas Plantan Mtaa wa Masasi kitu kimoja ambacho kitakushangaza ni "trophy," vichwa vya wanyama vilivyotundikwa katika ukumbi mzima wa nyumba yake.
Nyumba ya Thomas...
Haiingii Akilini nililishuhudia likibomolewa mwaka 2014 cha Kushangaza hadi leo mwaka 2022 lipo vile vile na kama Mwenye Jengo kaamua Kulisusia au Mamlaka nayo imeamua Kulisusia.
Tafadhali Mamlaka husika ama mumwambie mwenye Jengo alijenge upya au kama sasa lipo chini ya Mamlaka basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.