Nawaambia walokole na watu wote mnaopata Sana mikosi
Hakuna kitu kinarudisha nyuma Kama uzinzi .
Dhambi ya uzinzi inaondoa kibali na unabaki kuwa mtu wa kawaida ambaye hauna impact yoyote.
Beatrice Mwaipaja -uzinzi ndo umekufikisha hapo na sio huyo shetani wala mapepo .
Kupata kibali cha...
Habari ya wakati huu wakuu kuna jambo linanitatiza hapa hii Hp 24 inch nataka kuuziwa 130k na hii lenovo 22 inch nauziwa 180k mimi na ubahili wangu nataka kupita na hii Hp ya 130k ila nahofu why inch 24 inauzwa bei kitonga alafu inch 22 inauzwa bei juu je tofauti ni hiyo frameless au kuna...
Hivi hakuna nchi/Taifa la kuiambia Israel iache inachokifanya hapo Mashariki ya kati?
Mbona kama inafanya jinsi inavyojisikia bila ya kuzuiwa? Mataifa yanayoitwa makubwa ya kiarabu kama vile Misri, Uturuki na Irani msimamo wao ni upi?
Russia na Marekani mbona wako kimya tu?
Habari! Karibu kwenye jukwaa la jamii yetu! Leo tungependa kujadili safari ya kutembelea Chemka Hot Springs. Kwa kufanya hivyo, wageni watajipatia fursa nyingi muhimu. Kwanza kabisa, kutembelea Chemka ni njia nzuri ya kupumzika na kujiondoa mbali na msongamano wa maisha ya kila siku. Pia, wageni...
Yanga kabakiza mechi 4.
Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani.
Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini.
Anatakiwa kupata sare mechi 1.
Akiwa na point 10 anaenda robo fainali.
Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo.
Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
Wakuu,
Mnakumbuka kuna uzi niliweka kuwa baadhi ya waliomteka Bonge wanajulikana stendi ya Magufuli na wala siyo siri?
Huyo Benk ni anajulikana vizuri hapo almaarufu kama Tall, baada ya tukio la bonge hakuonekana tena hapo Magufuli, na yule kaka mfupi kwenye video ni mdogo wa Benk!
Hapo...
Hili jengo limechoka sana na nashangaa serikali imekaa kimya kwasababu tumetoka kupata majanga wiki iliyopita nilitegemea Ili jengo lingebomolewa maana limechoka.
Ndugu zangu siku ya Leo nikiwa katika pita pita zangu nimelishuhudia likidondosha mchanga na Lina nyufa kwenye baadhi ya Kuta...
Salaam,Shalom!!
Imeandikwa ( mithali 16:1), maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, Bali....
Pana mtumishi mmoja pia aliwahi kuimba kuwa, Ibada huanzia nyumbani.
Sasa TOBA, msamaha, utakatifu wa mwili NAFSI na Roho, ni vitu vinavyotakiwa kuanzia nyumbani.
Kuoga, kusafisha mwili ni muhimu ila muda...
Asili ya muingiliano wa mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke kila upande una jukumu lake. Mwanaume ni provider na protector, mwanamke ni reciever na helper, na huu ndio ulikua msingi wa kumuweka mwanamke kando kwenye masuala magumu na muhimu.
Bahati mbaya hapo karne za katikati kuna baadhi...
Ni kweli tupo kwenye majonzi kama Taifa hivyo yatupasa kushikamana na kuondoa tofauti zetu na kuwa kitu kimoja katika kipindi hiki kigumu kama Taifa.
Nimesikia kauli ya mheshimiwa Rais kuwa serikali itabeba gharama zote za matibabu kwa waliojeruhiwa na kwamba baada ya zoezi la uokoaji...
Sasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine?
Madaktari wenye akili waliishia kwa akina Ulimboka. Nenda page 21, schedule 6.
Kama mvivu kusoma...
Uongozi wa chama hiki ambacho wengi wanadai wanakiamini kila mtu mbabe, hapo ndio watanzania wajue aina ya watu wanaotaka kupewa uongozi wa nchi, Tundu Lissu ni makamu wa mwenyekiti chadema, ukisema hakukuwa na makubaliano ya nusu mkate wakati Lissu kiuongozi anafuata baada ya Mbowe utakuwa ni...
Wakristo na Waislamu waliomiliki watumwa kabla biashara ya utumwa haijakomeshwa walikuwa watu wema wa dini zao au waovu watakaochomwa moto?
Kwa nini inaonekana watu wa hizi dini kubwa mbili walikuwa wanachukulia utumwa kama jambo la kawaida tu hapo zamani? Hawakuwa na utashi(conscience)??
Jamaa mmoja hivi anapinga sana uwepo wa Mungu,
Mishipa inamsimama kudai Mungu hayupo, na anatoa hoja za kifedhuli kweli kweli,
Sasa leo ushahidi wa mazingira umeonesha kwamba jamaa ni mkiristo tena ana hasira Kweli kweli kutajwa vibaya wakristo,huyu tumuweke kundi gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.