Nimesikia baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa.
Hivyo basi ili...
Kwenye ulimwengu wa wa roho
Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo
Watakaotazama hiyo mechi watatazama marudio
Simba watapata goli dakika ya 19, Kwa mkwaju wa penalt, lakini...
Leo nilikuwa naaga jirani yangu mmoja pale Kawe. Kijana alikuwa mpambanaji sana sana. Mwisho akaenda kupata mbili tatu La Rocka bar Kawe
Kufika akaja Kijana mwingine wakanza pishana maneno. Kijana akakasirika akaenda kuchukua kisu akampa ya moyo
Bra bye-bye
Rip soldier
Bar please tujitahidi...
Ukiona kwenye maisha hupati changamoto jua huna faida au huna athari katika jamii.
Leo CHADEMA mumeishika serikali ya CCM pabaya, mumekaribia ukingoni kuitoa madarakani, mumevishika nyeti vyombo vya dola hasa polisi, leo kila kona mumewabana.
Kwahyo ombi langu msilegeze kazeni hapo hapo...
Ndugu zangu watanzania,
Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Maneno huumba. kwa kuwa mwakani ni Mwaka wa uchaguzi ,na kwa kuwa kuna wabunge wengine walishatangaza kustaafu siasa na kwa kuwa kuna wabunge wengine kutokana na Umri wanaweza kustaafu ubunge na kwa kuwa wengine kutokana na sababu...
Ni kwa yale maeneo ambayo huwa mmezoea kupata mvua mara mbili kwa mwaka mikoa ya pwani ya mashariki, pwani ya kusini, kaskazini na kanda ya ziwa hali ipoje TMA majuzi walitabiri mwaka huu zitanyesha chini ya wastani zitaanza kwq kususua.vipi zimeshaanza week la mwisho la august?kwa ujumla kupoje...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika uchaguzi wa hapo Mwakani ni vyema tukaendelea kukumbushana na kuelezana ukweli tu kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan jasiri muongoza njia, simba wa nyika,nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge hana Mbadala...
Watanzania wakati mwingine ni kama watu ambao hawajui nini hasa wanachotaka.Wakati wa utawqla wa Rais Kikwete,maneno yalikuwa mengi sana.,mlegevu,hashuguliki na masuala ya msingi ya nchi,nchi imeoza.
Akaja Rais Magufuli,yeye alikuwa strick sana,alikuwa hapendi bla bla au majadiliano sana.Alikuwa...
Kwanza natamani kujua mwana FA alimaanisha ndege gani? Ndege kiumbe au ndege usafiri?
Kama ni ndege kiumbe basi tujue tu kwamba wapo aina za ndege ambao ni waharibifu na wana madhara kwa viumbe wengine.
Hivyo ni wazi kabisa mbwa mkali yoyote atambwekea tu ndege huyo. Mbwa hawezi kunyamaza...
KAHABA ni mtu ambaye anafanya ukahaba.
UKAHABA ni kitendo cha mtu kufanya ngono ili apate malipo.
Wapenzi watapendana tu bila sababu yoyote , wapenzi watapeana pesa na vitu vingine.
Wapenzi hawapo kama kiatu na rami, maana kiatu mara zote ndio kinaliwa. Wapenzi watakutana mahali popote, wakiamua...
Salama wakuu..
Kwanza awali ya yote pitia video hapo juu ambayo ina 563kb hata MB bado haijafika hivo wacha uwoga wa kufungua video..
Kipindi sina uwelewa wa mambo ya fizikia hilo jambo hapo juu la jamaa kuchukua hatua ya kuruka kutoka kwenye ndege mpaka chini ya maji nilijua ni simple sana...
Nimekuja kuelewa kuwa tunamuabudu Mungu kwa misingi ilioandaliwa na wanadamu wenzetu.
Tunamuenzi Mungu kwa nguzo zilizotengenezwa na wadamu wenzetu.
Tunamtukuza Mungu kwa masharti ya wanadamu wenzetu.
Yaani ni kama kabla ya kumfikia Mungu inabidi kwanza tutukuze misingi na nguzo za hawa...
Jamii sasa imekumbwa na kupungufu uwezo wa kufanya mapenzi.
Labda vizazi vyetu havina nguvu wala uwezo huwenda kutokana na sababu mbali mbali.
Mfano moja wanawake wawili Kati ya kumi ndo huweza kufika kilele (Mshindo)
Wanawake wengi wanafanya mapenzi na hawafiki kileleni.
Wanaume wengi...
Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa.
Mpaka sasa, Bakhresa sidhani kama amewahi kunywa:
👉🏾 Azam Energy
👉🏾 Azam cola
👉🏾 Azam Embe
👉🏾Azam Malta
Bakhressa hajawahi ku motivate vijana wa Kitanzania kupitia media...
TFF Huwa mnataza mpira mkubwa wapi
Yaani kwenye league yetu hakuna kiungo mkabaji mwenye sifa zote kama Aucho
Sawa mmemnyina tuzo hata kwenye majina ya walioshindania tuzo hayumo.
Aucho ni mkabaji, anataka pasi elekezi, ana energy
Bado mnamchukulua poa.
Me naamini mna matatizo binafsi nje ya...
Tatizo litakuwa ni nini hapa..? Hivi sasa jamii na hichi kizazi kwa ujumla mambo yamebadilika sana, haswa kwenye suala la mahusiano na haya mahusiano ndio msingi wa uchumba,ndoa mpaka kujenga familia na familia zilizo bora ndio huenda kutengeneza jamii zilizo bora.
Sasa hv mwanamke hata umtoe...
Niaje waungwana
Wakuu najua wanaJF wengi wa hili jukwaa la "International forum" watashangazwa na msimamo wangu huu, kwa vile wengi wamezoea kuniona mimi nasimamia ukweli, napinga dhuluma na uonevu na kutetea haki ya watu kujitawala kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
Pamoja na kwamba mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.