Ewe Mpenzi wa Soka na mfuatiliaji wa Timu kubwa Pinzani za Tanzania yaani Simba SC na Young Africans habari hizi zikufikie popopte ulipo.
Timu ya Simba iliyopo kwenye maandalizi ya msimu ujao itakipiga na El-Qanah ya Misri ikiwa ni mechi yake ya kwanza ya kirafiki katika mandalizi ya Msimu...
Nashindwa kujua kwanini serikali haikuwapeleka hawa wasanii wawili huko Korea wakati mchango wao kwenye maigizo ya vichekesho upo wazi. Anyway mimi nataka nije dar kesho kutwa sasa natamani kweli nikutane na bambo nimnunulie bia najua kwa sasa maskani zao nahisi ni tabata bima au magengeni ila...
90% ya watanzania wote ni ccm.
ukichekiki mwenendo wa ccm watu wengi wanataka vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa kwa kura.
CCM kuna watu wengi sana ambao wanakosa teuzi ila wanavumilia tu.kwa machungu
makada wote wa ccm wazee kwa vijana shabaha yao ni teuzi ili watafune keki ya nchi tatizo...
Wanabodi,
Watanzania wote waliosoma enzi za mkoloni mpaka tunapata uhuru, tumekuwa na elimu ya aina 3. Shule za serikali, Government Schools, Shule za Mission, na elimu ya madras kwa ndugu zetu Waislamu.
Shule za serikali zilikuwa chache na zilichukua wanafunzi wachache tena vichwa kweli...
Kabla ya mdahalo wa urais wa leo Donald Trump alikuwa ameamuacha Joe Biden kwenye kura za maoni. Lakini mdahalo wa huu umefunga kabisa maneno. Ni wazi kuwa Trump sasa njia ya ikulu ni nyeupe kabisa. Biden alikuwa na hoja nzuri na aliandaliwa vyema ila afya yake na uelewa wake sababu ya uzee...
Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu, vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale?
Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh!
Huyu mchezaji huwa anadhihakiwa sana na mashabiki kwamba kachoka na anaichomesha timu kwenye mechi muhimu! Sasa...
Kwa jicho la kuona mbali ni wakati sahihi wa bwana Mpina aondoke CCM.
Ni wazi mfumo wa Serikali ya sasa umemkataa kwa sababu moja tu nayo ni wenzake wanapiga ilhali yeye hafanyi hivyo.
Suluhu na salama kwake ni aondoke bila kuchelea hapo CCM.
Hizi simu za Market Place ni basi tu. Baada ya makubaliano akaniambia nikachukue huo mzigo kwa bei che ya 60k. Nimefika, ile kutest kila kitu kiko poa
Niko home nikasema wacha niibusti, nashangaa inafika 64% inaacha kupeleka chaji. Nikatumia hivyo hivyo, ile inafika 30%, chaji inashuka kwa...
Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo.
Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya mbingu. Nafikiri sote tunamfahamu vyema Mheshimiwa David Kafulila,tunafahamu uzalendo wake kwa Taifa letu,uchapa kazi wake, upendo wake kwa Wananchi. Tunafahamu vyema na kwa undani uwezo wake wa kujenga hoja...
Maisha ya ajira yanafanana na ndoa , kwenye ndoa kila siku watu watu wanatamani kuingia huko mpaka kwenda kwa waganga ila wanasahau kitu kimoja ambacho ni kujiandaa kuishi ndani ya ndoa hiyo na kwenye ajira kila siku watu hutafuta kazi ila wanasahau kuwa kuna siku wataishi bila hiyo kazi...
Kwema wakuu,
Lazima tukumbushane kuwa ukimpenda mtoto wa watu ambae umekutanae ukubwani lazima uwekeze moyo na pesa zako kwa kiasi sio unaweka moyo wote na pesa zote siku mambo yakiwa tofauti lazima ujikute umepigwa na kitu kizito ndo pale unasikia mauaji n.k,
Kwa wakamaria hawa hawanashida...
Habari za Leo tena, karibu katika jamvi la story of change, jukwaa linaloibua mawazo mapya. Leo katika Uzi wangu huu, nataka wadau wote kutoka katika sector zote, tusaidie wadau na wanazuoni wanaotafuta titles za kufanyia research ambazo bado hazijawahi kufanyiwa kazi kabisa, naomba tuwe...
Wajf imani ikatawale popote mlipo.
Andiko langu litakua fupi
Chama kikuu cha upinzani Tanzania (Chadema) mpaka sasa kinatoa mchakamcha ambao sio wa kawaida kwa chama tawala CCM kwa speed ya hypersonic kiasi kwamba wafuasi na Viongozi wa chama cha ccm wanashindwa wapi pa kushika na wenda...
Shalom,
Huu sijui niite ni dharau, maringo, ubaharia au ujinga wa kitoto.
Ubaharia wa kidwanzi ndio huu kuna siku nikichukua namba ya demu mmoja hapa jijini Dodoma, nikambeep Fair kabisa.
Kesho yake nikampigia daah aliwasha sana moto akaniumbua sana wewe nani acha kushoboka hovyo na maneno...
Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 . Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Ijumaa, Mei 17 2024 eneo la Sindeni, Handeni jirani na kona ya...
Vyama vya kisiasa na wanasia, hasa katika nyakati za uchaguzi huibua na kuibuka na catchphrases, slogan au kauli mbiu za kusisimua wanainchi, kuwatambulisha au kuelezea hisia, uelekeo au shauku za uongozi wao na vyama vyao, endapo watapewa ridhaa kuongoza na wanainchi.
vyama na wanasiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.