Jana Yanga haikustahili kuishia hatua ya robo, ile goli ni halali kabisa na ushahidi wa video ni huu hapa. Mpira ulivuka mstari wa goal line kwa zaidi ya asilimia 100 kisha uka rebound tena.
Kumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana.
Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu.
Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao...
Sina utani wala hapa sijaja kucheza chama kimenituma na moto ni ulele tu.
Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, mbunge, mganga mkuu, afsa ardhi, RPC).
Mbunge jimboni kwako vipi miradi mbona haikamiliki.
Mganga mkuu jengo la mama na mtoto litaisha lini.
Afsa Ardhi kesi ya huyu mama umewahi...
HAPO ZAMANI ZA KALE
''Hadithi, hadithi.''
Msimuliaji atanadi kama vile anauza kitu.
Wasikilizaji wataitika ''Hadithi njoo, utamu kolea.''
Msimuliaji atajibu, '' Hapo zamani za kale...''
Simulizi itaanza.
Sijui nianzeje na sijui niseme kitu gani.
Kilichonisukuma kuweka picha hizo mbili ni...
Kila kinachofanywa na serikali yetu pendwa ni utekelezaji yakinifu wa ilani ya chama kilichopo madarakani.
Wananchi ndiyo wanaoiweka serikali madarakani kwa kuchagua chama kitakachoiendesha. Lakini haki hiyo imepokwa kikatiba kwa sababu Katiba ya sasa inaelezea uwezo na utaratibu wa wananchi...
Najuaga hakunaga vya bure. Nimekuwa nikipokea sms za kupokea vifurushi bure.
Una Dakika 20(Voda) na SMS 100 mpaka 2024-04-08 07:05:35 kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki. Kujua salio Piga *149*60#. Vigezo kuzingatiwa
nimajiuliza sana kwa ile kanuni ya HAKUNA CHA BURE HAPA DUNIANI yasije...
Wakati tunashangaa wabunge kupata mshahara mkubwa.
Mnabidi kujua pia mbunge anahesabika Kama diwani katika Eneo lake mfano katika municipal yake anayotokea.
Hivyo Asali imeshafika kwa waheshimiwa madiwani kwahiyo Mbunge ananufaika pia na marupu rupu ya udiwani.
Mei 29, 2018, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, aliteuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu cha chama hicho akichukua nafasi ya Abdulrahman Kinana ambaye aliomba kujiuzulu.
Baada ya uteuzi huo, Dkt. Bashiru alitoa kauli kuwa nafasi hiyo ni ya kwanza na ya mwisho kwake na hatakubali kuteuliwa katika nafasi...
Mimi najua mtu ukiashapata pesa huwezi kushaurika wala kukubaliana na wenzako uliowapita, hili ni kwa asilimia kubwa ya matajiri wanaozidi kuongoza gurudumu.
Kisa kilicho nileta hapa kuna jamaa alisikia tetesi ile nyumba inauzwa muda wowote ila kutojulikana siku, yeye akachukua maamuzi ya...
Kwa vijana wa sasa mnamjua Kheri James kwamba hanaga mbambamba.
Kokote atakako elekeza mpira ndio litahesabika goli hata kama ni mashariki mwa uwanja sehemu isiyo na milingoti ya magoli yenyewe. Na litakuwa sio goal popote atakapoelekeza Peter Msigwa hata kama ni golini na nyavu zikachanika au...
Habari za Jioni wana Jamio Forums.
Kama mnavyojua sisi ni Wana familia. Licha ya kuwa tunasaidiana sana ktk mawazo, stori na Habari mbali mbali na wiwa pia kuomba msaada niweze kupata sehemu nzuri iliyochangamka niweke jiko langu la Kuuza Chips, Kuku, Mishkaki n.k.
Pia kwa kufanya hivyo...
Kwa moto ambao Azam walipelekewa na Coastal Union, Simba akicheza kifadha kama anavyochezaga naona akiangusha alama nyingine hapo kesho.
Na hii ndio itakuwa rasmi "BYE BYE BABA JANE" katika mbio za ubingwa
Nilishasema kuwa watafichwa Watu wote juu ya yanayoendelea ila siyo Malaika mpendwa mimi wa Mwenyezi Mungu GENTAMYCINE, ila nikisema hivi huwa mnaniona kama vile hamnazo (nimedata) Kunakotukuka.
Kama kuna Kosa kubwa na la Kiufundi ambalo CCM na hasa Rais Samia (Mwenyekiti CCM Taifa) alilifanya...
Challenge.
Binafsi ungepata nafasi ya kuchagua uzaliwe wapi na race gani ?
- Je, unge chagua kuzaliwa katika hiyo race uliyopo ?
- Je, ungechagua kuzaliwa katika hilo eneo ulilopo( nchi & bara ) ?
Binafsi hapana kwa maswali yote. Wewe je ? Na sababu zako zingekuwa ni zipi ?
China ni nchi inayoendelea kufanya ugunduzi mkubwa wa vitu vya kale kupitia wanaakiolojia wake. Kutoka ustaarabu uliopotea, jeshi la terracotta hadi tambi za kale zaidi duniani, vyote hivi vinapatikana kwenye maeneo mbalimbali ya akiolojia hapa China.
Ikiwepo Guanghan takriban kilomita 40...
Habari wanajukwaa Langu Pendwa hapa Jf Jukwaa la Sports.
Ni siku takribani 3 saiv zimepita toka Team Bora kwa sasa Young Africans alimaarufu kama Yanga imbamize Mwarabu goli 4 pale kwa Mkapa na kujihakikishia kusonga hatua inayofuata.
Baada ya Ushindi ule tumeshuhudia Utani Mwingi sana sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.