Kwanza kabisa,Niwape pole umma wa watanzania kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa waziri mkuu Mh Edward Ngoyai Lowasa
Pili,niwape Pole wanayanga wenzangu kwa kuondokewa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa timu yetu ya Yanga ndugu Imani Madega.
Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi, Ameen!.
Katika...
Sasa hivi wanajipitisha pitisha eti wanasikiliza kero.
Kero gani ambazo hujaziona na kuzifanyia kazi miaka mitano yoote ambazo utatatua kwa miezi michache iliyobaki.
Sijaona watu wanafiki kama hawa.
Eti wako madarakani miaka 60 ya Uhuru leo ndio wanajifanya hawajui kama Wanachi wana Maji...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo.
“Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana...
Muwe na alasiri njema!
====
Moshi/Arusha. Sukari inakwenda wapi? Ni swali linaloumiza wengi, huku wakazi wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wakitaka vyombo vya usalama kuchunguza biashara hiyo, wakisema licha ya bidhaa hiyo kuingizwa sokoni, bado bei imesimama kati ya Sh3,500 na Sh4,000...
Natoa pongezi nyingi kwa timu yetu ya Taifa kwa kazi kubwa waliyofanya. Natoa pongezi kwa wale wote waliofika Ivory Cost kuwapa joto. Natoa pongezi kwa kila mmoja wetu ambaye ni mzalendo anayekubali kwamba kuna kufunga na kufungwa lakini pia kuna droo
Vijana wetu na watoto wetu wameupiga mwingi...
Humu jamvini kimya ; unajua kwanini? Chadema wamecheza kama Pele katika angle zote
1. Viongozi wakuu wote wameshiriki akiwemo Lisu tuliyeambiwa ana ugomvi na Mbowe
2. Tuliambiwa watoto wao nao washiriki maandamo; Mbowe kuchukua watoto wote kuwapeleka front
3. Tuliambiwa maandamano ni...
Mnyonge katika nchi yoyote ile ni raia ambae ili apate haki zake lazima asaidiwe kwa nguvu ziada. Hapa nazungumzia haki za kupata huduma za jamii, haki za kisheria na hata tendo la ndoa.
Alipokuwepo hayati JPM raia wanyonge walimkubali sababu karata kubwa kwake ilikuwa ni kuhakikisha raia...
Umofya kwenu members!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kufuatia tukio la jana kwenye mechi kati simba na singida fountain Gate kuna huyu mchezaji wa timu ya singida fountain Gate Waziri ameonesha utovu wa nidhamu wa kupindukia kiasi cha kutaka kumzabua referee wa mchezo kisa kutokukubaliana...
Unajua haya Maisha usiruhusu kitu kikuzoeee kikikuzoea kina Jenga Makazi kina kua kama Part of your Life hata kama kulikua ni Temporary.
#Simba Jiangalieni hapo Mtaa wa 3 mnaweza msitoke.
Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi.
Rais debe tupu lazima Nchi yake itakubwa na yafuatayo;
....uongozi duni.
....huduma za jamii kulemaa.
....upungufu wa umeme.
....ufisadi kutamalaki.
....ubinafsishaji wa mashirika ya umma ki ufisadi...
Leo tumemaliza kuangalia pira la pipa na mfuniko pale kwa mkapa Sasa tunawakaribisha kesho kwa mkapa kuangalia pira burudani, pira lenye Kasi, mipango, na kiufundi!
Bila kusahau ni mechi zinazohusisha mabingwa wa nchi watupu, Medeama bingwa Ghana, Aly ahly bingwa Misri, Yanga bingwa Tanzania...
Raisi Putin aelezea umuhimu wa nchi kuwa huru na kutetea uhuru huo. Pia asema SMO itasita pale tu malengo ya Russia juu ya Ukraine yatapotimizwa ambayo ni kuondoa unazi denazification, uwezo wa kijeshi demilitarizing Ukraine na mwisho kuhakikisha Ukraine yabakia kuwa Neutral bila kujiunga EU na...
ndugu zangu hivi mnajua biashara ya nguo inalipa sana?
Ila siyo kirshisi kama usipokuwa mjanja, mjanja kivipi?
Nguo za wanawake na watoto zinatoka sana, zingatia location nzuri ya biashara yako, yaani pawe na muitiko mzuri wa watu.
Point nguo kali ambazo ni rahisi mtu kuvutika kwa haraka...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kama kuna watanzania ambao wanajiona wameyapatia maisha kuliko watanzania wote,basi ni hao wanaofuata bidhaa hapo China!.
Aisee,asikwambie mtu jamaa wanajiona wako matawi kinoma!.
Bidhaa zenyewe mnaleta feki na kama ni nguo basi ni midosho ya kufa...
Nimeamini kila eneo wana vitu vyao vinavyowapa raha na vibe la kufa mtu. Kama nyie Dar mnavibe na akina "Chino wanna man" basi huenda Shinyanga wanavibe na "Ngosha Bhudhagala".
Kutana na huyu DJ Missomisondo kutoka maeneo ya kusini ambaye kwa sasa anatrend sana huko kwenye social networks...
Hellow members,baada ya harakati za mchana leo nikasema ngoja niingie online kidogo na mimi nione uwezo wa AI katika kutupa picha ya vitu tunavoviwaza.
Basi nikaingia bing.com nikasearch AI image generator then nikaimbia maneno yafuatayo "Create an image of warehouse of the transportion...
Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 ambapo kwa mujibu wa Muongozo, Serikali za Mitaa zimeanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 145 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka madaraka kwa wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.