Mheshimiwa Philipo Mpango tunaishukuru Serikali kwamba hatimaye barabara ya kutoka Chanika imefika zingiziwa. Yaani imeishia getini kwako mheshimiwa. Tulikuwa tunaomba angalau basi utusaidie isogezwe ili ipitilize kidogo ifike angalau hapo Homboza center ambapo daladala za kuelekea Kariakoo...
Mfano.. zikiwekwa hapo Bilioni 5 Tundu lissu afutwe uanachama kuna atakaekataa?
Tundu lissu amekuwa sehemu ya Tishio kwa Hoja zake na misimamo yake
Amekuwa Mkweli, amekuwa sehemu ya kusimamia anachokiamini
Pesa zinazoitwa za mama Abdulah zikimwaga ufipa kama zilizo habari za ndani za...
Rafiki yangu mpendwa,
Kwenye harakati za kujenga utajiri na uhuru wa kifedha, huwa ni rahisi sana kujisahau kuyaishi maisha.
Ni mpaka pale mtu anapofikia lengo alilokuwa nalo ndiyo anagundua hapati furaha aliyotegemea angeipata.
Tatizo siyo kwamba utajiri na uhuru a kifedha hauleti furaha...
Habar za muda huu
Asalem aleykum,
Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber.
Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi.
Naomba...
Nimemsikia Rais Mama Samia anasema kila mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake akiwambia kikao na Mawaziri wake, sijuwi amemaanisha nini kwamba mawaziri sasa wataanza kugawana rasilimali na mapato?
Embu tujielekeze hapa kidogo wale watu wenye taaluma fasihi, Mama kila siku anatoa kamsemo...
"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro wapeleke Msomera Handeni, 547Km kutoka ngorongoro."
"Huyu rais Mzanzibari siyo Mtanganyika...
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto!
Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama. Christina Shusho hatakuwa wa kwanza kuingia mtego huo. Kila la heri mwimbaji wa nyimbo za Injili, ambaye sasa...
Kumekuwepo na nukta ambazo zimekwamisha makubaliano ya kusitisha vita kwa muda mrefu kati ya Israel na Hamas.
Israel imeshikilia haitaki kuona Hamas ikiendelea kuitawala Gaza na la plli ni kupata mateka wote wanaoendelea kushikiliwa na Hamas.
Kulikuwa na baadha ya nukta pia viongozi wa Hamas...
Benchikha alipokuja tu Simba, niliwahi kuja na nyuzi mbili nikitoa tahadhari kuwa mafanikio yake yanaweza kuwa duni kutokana na hali aliyoikuta Simba. Kwanza niliongelea suala la quality ya wachezaji aliopewa aende nao vitani. Pili nikaja kuongelea athari za kurithishwa migogoro kati ya...
Movies za Idris Elba
Bastille Day
Sean Briar
Finding Dory
Fluke
Voice role
100 Streets
Max
Star Trek Beyond
Krall / Balthazar Edison
2017
The Dark Tower
Roland Deschain
Molly's Game
Charlie Jaffey
The Mountain Between Us
Ben Bass
Thor: Ragnarok
Heimdall
2018...
Salaam,Shalom!!
Akizungumza Leo ibadani, Mchungaji Mbarikiwa amepigia mstari kuwa, kilichomsukuma Christina Shusho kumwacha mumewe Kwa kisingizio Cha huduma, ni umalaya tu na hakuna kingine.
Itakumbukwa, Msanii huyo, hivi karibuni ameendelea kutetea uamuzi wake huo Kwa kuhusishwa kifo Cha...
Shalom,
Kwenye injini ya gari ubora wa Piston ndio injini yenyewe.
Maisha ni ladha, raha na utamu nao utamu ni pamoja na kuusikilizia. Sasa Mkataa kuoa kama kuna namna ya kupindua mtazamo basi oa mwanamke mwenye Piston zote 4 (4S) wa umri wa miaka 22-25 juu ya hapo wanaobaki wote ni mabibi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa kuwa Mwamba Mwenyewe Makonda amekuwa akipata vyeo na nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya serikali na...
Kwanza nakupa pongezi kwa kuendelea kudumisha amani katika nchi yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Kifupi kutokana na upole wako katika kuongoza nchi, wahuni wana take advantage ya kukutukana kama alivyoripoti Rc wa Arusha ndugu Paul Makonda.
Ukita kuangalia mawaziri wanaotuhumiwa...
Najua kwa hakika kabisa kwamba, kupanda hadhi kwa maeneo, mfano mji kuwa manispaa na manispaa kuwa Jiji Kuna vigezo vyake.
Mfano , idadi ya watu, Pato la eneo husika, na sababu nyingine nyingi za kisiasa ambazo sijui kwa hakika zinaingiaje kwenye kupandisha eneo hadhi.
Sababu zao zinaweza kuwa...
Serikali badala ya kupoteza maji kufungulia na hatimaye kuharibu mashmba na miji huko Rufiji basi wangewapa Dawasco hiyo kazi wafunge mtambo wa maji kuleta Dar huku maji ya ziada tunafyonza tunatumia Dar huku!
Hii akili mpaka tuwaambie sisi wanaJF? au mmerogwa jamani?
Kwa wale ambao Dar ni kwao nadhani watakuwa wanapajua migomigo me napasikiaga tu katika nyimbo za wasanii ila sijawahi kupajua naishia kuhisi labda ni maeneo ya Magomeni.
Na sehemu nyingine nataman kuijua maarufu kama lango la jiji ipo njia gani hiyo Lango la Jiji?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.