Kitengo cha kudhibiti fedha haramu Nchini Tanzania kimeelemewa na miamala iliyotiliwa
mashaka ambayo inatakiwa kufanyiwa uchunguzi.
Hayo yamebainishwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Omary Kigua, Juni 7, 2022 Bungeni Jijini Dodoma akiwasilisha taarifa ya kamati...