Wabunge 19 wasio na chama na Wabunge 18 waliopita bila kupingwa.
Ibara ya 66; Kutakuwa na aina zifuatazo za wabunge,
1. Wabunge wa kuchaguliwa majimboni.
2. Wabunge wanawake wa viti maalumu.
3. Wabunge wa kuteuliwa na rais.
Hao wasio na vyama na waliopita bila kupingwa wameandikwa kwenye...