Mlifanya jambo kama hilo kwa Spika wa bunge kwa sasa naomba msijaribu kwa makamu wa rais mtaleta maafa. Kwanini awe Samia pekee anayegombana na wandani wake. Kuanzia kwa Kasimu Majaliwa, VP aliyeamua kupumzika Mpango na sasa huyu Emmanueli Nchimbi? Tafute namna ya kuondoa tofauti zenu bila...
awamu
awamu ya sita
ccm
hatarihatarikwausalama
kisiasa
kiuongozi
kuanzia
majaliwa
mgogoro
migogoro
mkubwa
nafasi
nchimbi
nchini
ndugai
taifa
usalamausalama wa taifa
Kuna jambo limekuwa likinikera sana, na nimeona leo niweke hapa jamvini ili tujadiliane, na ikiwezekana mamlaka husika (TCRA) na watoa huduma waangalie upya kanuni hizi.
Inatokea umepata dharura au umeweka laini yako pembeni kwa miezi 6 hadi mwaka mmoja bila kuitumia. Unakuja kushtuka baadaye...
Tumeshuhudia yaliyotokea nchini, kilichotokea pale siyo uchaguzi ni uchafuzi. Ni kikundi cha watu wachache kikilindwa na vyombo vya ulinzi kikafanya mapinduzi dhidi ya Jamhuri. kwa kujitwalia madaraka bila ridhaa ya wananchi. Idadi ya walipiga kura ni feki, idadi ya kura zilizotangazwa ni feki...
Narudia tena hakuna hatari kubwa kiusalama Kama watu kuzibwa midomo.
Hakuna hatari kubwa Sana kwenye usalama wa Taifa Kama watu kukosa platform na kuanza kuwasiliana kwa code.
Mlianza na Twitter, mkaja kupunguza uwezo wa kufanya kazi kwa Facebook na Instagram na tiktok.
Sasa mnaifungia jamii...
Barabara ya Muambe Kengeja, Wilaya ya Mkoani, Pemba imekuwa kero, katikati ya njia kuna drainage za kupitishia maji ambazo wamezitengeneza kwa zege, nondo zimeshang’oka na zimetokeza juu.
Ikitokea umepita kwa mwendo wa haraka unaweza kujeruhiwa na nondo zilizopo hapo.
Tunaomba Mamlaka...