Kansela ajaye wa Ujerumani Friedrich MerzPicha: Volker Hartmann/AFP
Wakati hayo yakiripotiwa, Kansela ajaye wa Ujerumani Friedrich Merz amemwalika Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuitembelea Ujerumani.
Merz amesema atatafuta njia ila kuhakikisha kuwa kiongozi huyo wa Israel...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala ya Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Thailand nchini Tanzania mwenye makazi yake nchini Kenya, Mhe. H.E. Morakot Janemathukorn, Katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar...
Mahakama ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa umoja wa makundi ya waasi nchini humo ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23), Corneille Nangaa.
Shirika la Habari la AP limeripoti leo Februari 7, 2025, kuwa mahakama ya kijeshi nchini humo...
Nauza kiwanja changu, Namba 30
kipo jirani na hospitali ya wilaya, eneo la Lulanzi ,kata ya Picha ya ndege, Manispaa ya Kibaha.
Hospitali kilometa moja kulia na shule ya pyramid English medium ,mita 800 kushoto. Kilomita 3 toka barabara ya Morogoro to Dar es Salaam.Pia kilomita 3 toka...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kwamba barua rasmi ya maandamano hivi karibuni itatumwa kwa Tume ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa. Uamuzi huu unafuatia taarifa zilizochukuliwa kuwa hazikubaliki na rais wa Tume ya AU, Moussa Faki Mahamat, ambaye hivi karibuni...
Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu
Kwa kuanza, unaweza kuwekeza kuanzia TZS 500,000 kwenye Samia Infrastructure Bond kwa muda wa miaka 5. Hii ni fursa maalum ya kufadhili miradi ya ujenzi wa miundombinu nchini, hususan...
Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive.
Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo.
Kama wale wanaojiita wakristo wanavyoamini, hata muislam nae pia anaimani yake juu ya Kristo kwa...
WAZIRI KOMBO APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thatib Kombo amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bi. Susan Namondo katika Ofisi Ndogo...
Katika ulimwengu wetu uliojaa maajabu, kila nchi ina kitu ambacho inaongoza au inajulikana nacho duniani. Wakati mwingine, ni jambo la kufurahisha, la kushangaza, au hata la kusikitisha. Katika uzi huu tutagusia kiufupi sifa ya kila nchi kama ifuatavyo;
Afghanistan hadi Angola
Afghanistan...
TANZANIA - SOMALI ZA ZASAINI HATI NNE ZA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Somalia zimesaini hati nne za makubaliano ya ushirikiano katika mkutano uliofanyika jijini Mogadishu leo tarehe 19 Disemba, 2024 chini ya uenyekiti wa Waziri wa...
Habari wakuu nauza kiwanja chenye hati ( SURVEYED PLOT) MBWENI MPIJI (Block No 09,Plot 139)
UKUBWA WA KIWANJA SQM 820
KUNA BANDA KUBWA LA VYUMBA VINNE LENYE WAPANGAJI
BEI: 110M
MAWASILIANO:0621973591
Kwa video na picha zaidi nichek Whatsap.
Nb: Kiwanja hakina udalali nauza mwenyewe ila dalali...
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel
Incoming Senate
majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis
Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
Wakuu salam,
Kesi ya watuhumiwa wa kesi ya Yombo imeanza kuunguruma Jumatattu baada ya watuhumiwa hao kufikishwa mahakamani. Kimtaani mtaani tunajua kilichowapeleka pale ni kumlawiti na kumbaka binti yule.
Mpaka sasa sijakutana na hati ya mashtaka ya watuhumiwa hao, na hata katika kuuliza kwa...
Watanzania tuko zaidi ya ml 60
Wa makabila,Imani na itikadi tofauti
Tunaunganishwa kwa pamoja na utaifa wetu unaotambulishwa katika katiba ya JMT.Kuna dhana ya wanasiasa kutaka kudhani kuwa wao pekee Yao ndo Wana uhalali na uwezo wa kuamua hatima yetu kama watu na kama Taifa
Wanasiasa Watambue...
Habari.
Miaka michache iliyopita nilipata mkasa wa kuungua nyumba niliyokuwa naishi na moja ya vitu vilivyoungua ni hati ya kiwanja. Je kuna uwezekano wa kuomba nyingine idara ya ardhi? Kwa sasa nimebaki na photocopy tu. Naomba kama kuna mwenye uelewa au aliyewahi kupatwa na mkasa kama wangu...
Mchambuzi wa Jeshi la Marekani, Korbein Schultz amekiri mashtaka ya kula njama ya kuuza siri za kijeshi kwa China, ikielezwa alilipwa Dola 42,000 (Tsh. Milioni 113.3) ambapo hukumu yake inatarajiwa kutolewa Januari 2025.
Schultz ambaye alikuwa na kibali cha usalama ili kupata taarifa za siri za...
Ukifungua kesi ya ardhi ambayo kiwanja kimesajiliwa au kina hati, unatakiwa kumshtaki pia na Msajili wa hati (Registrar of titles). Kushindwa kumuunganisha au kumshtaki Msajili kwenye kesi ambayo ardhi ina hati ni kumnyima haki ya kusikilizwa. Na hukumu yoyote itakayotolewa kwenye hiyo kesi bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.