Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Makubaliano hayo ni mwendelezo wa ushirikiano uliopo baina ya wizara...
Malawi Na Tanzania Za Saini Hati Ya Makubaliano
Malawi kutumia mkongo wa intaneti unaopita chini ya ardhi kuunganisha Tanzania na Malawi hatimaye dunia unaokatisha chini ya bahari ya Hindi. Mkongo huo wa ardhini Tanzania unamilikiwa na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano(NICTBB) wa Tanzania...
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malawi, Agnes Kayola amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Malawi, Lazarus Chakwera, tarehe 04 Julai 2023 Ikulu Jijini Lilongwe Malawi.
Julai 1, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu alimteua Balozi...
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malawi, Agnes Kayola amewasilisha Nakala ya Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Malawi, Nancy Tembo Jijini Lilongwe Malawi.
Tarehe 01 Julai, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu alimteua Balozi...
Hawa watu wakishakaa huko Ikulu wanaambizana hakuna mtu ana hati miliki ya hii nchi, ndiyo wanaona inawapa uhalali wa kuingia katika mikataba yoyote wanayotaka. Kwa maana kwamba hakuna mtu yeyote anayeweza kuwaita wezi, kwa vile hawajaiba kitu cha mtu yoyote.
Lakini ukitazama maandiko ya...
NDEFU KIDOGO
Habari zenu wakuu , nadhani wote tunalikumbuka vizuri lile zoezi la urasimishaji liloanza chini ya raisi wa awamu ya tano marehemu jpm . Ukiachilia mbali changamoto zake , moja ya mambo ambayo mimi kama raia nilifurahia ni jinsi ambavyo wananchi tuliweza kujua hatua kwa hatua juu...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa.
Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu
limeleta taharuki na sintofahamu kubwa kwenye mitandao ya kijamii hadi...
Tafadhali Sana ninaomba msaada wa Haraka Mimi nimesomea Mambo ya IT na Nina Diploma yake lkn nimeona Tangazo la nafasi za Kazi likiwa linahitaji Mtu anayejua Hati mkato na Shorthands anayechapa maneno 100 Kwa dkk Sasa Mimi naweza Sana Kuchapa ingawa sijui typing speed ya Hati mkato. N
isaidieni...
Akielezea hali ya mazingira yalivyo katika Juma Idris Chombo ambaye ni Makamu Mwenyekiti Soko la Mabibo Dar es Salaam anaelezea:
Makusanyo ya Tozo tunayokusanya hapa ni shilingi miamia, tunakusanya kwa ajili ya huduma tu kama vile usafi na ulinzi, kwa kiwango hicho hatuwezi kujenga soko la...
Kimsingi, huyu mchungaji, waziwazi, anaandika na kuchochea chuki huko YouTube. Anaporomosha matusi na hakuna anayechukua hatua. Ofisi ya msajili wa taasisi za dini nadhani kwa Sasa inatakiwa iamke usingizini kabla taifa halijapata janga.
Hatukatai kwamba ana Uhuru wa kuabudu, lakini kufurumusha...
Serikali mko na la kujibu kwa Mwenyezi Mungu. Ardhi tumeikuta ila mnaimiliki wakati kuna Watanzania hawana hata heka moja, nyie mnamiliki kama mliiumba wenyewe.
Halafu tabia za kupangiana matumizi sio haki kabisa kwa upande wa huduma za mitandao ya simu.
Dodoma kuna shida ya upatikanaji wa hati miliki za ardhi. Mtu anakuwa amemaliza kulipia kiwanja na kufuata hatua zote zinahitajika lakini linapofika suala la kupewa hati ni mtihani.
Wapo wananchi ambao wamemaliza kulipia viwanja vyao kwa takribani miaka minne sasa, lakini hadi sasa hawajapatiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.