Kiwanja kinauzwa chanika Nguvu kazi kipo mita 900 toka barabara ya ram.kuna umeme .barabara ipo mpaka kwenye kiwanja .Ni eneo Endelevu,Tambarare.ujenzi ni rahis sana mchaka unapata hapo hapo kwenye kiwanja .ukumbwa miguu 38 kwa 20.bei maelewano.cmu 0713 95 92 90 ,0685 65 55 35
Mhe Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, nyumba, maendeleo na makazi tunaomba kujua hatma ya kupewa HATI kwa wananchi walionunua viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni mwaka jana. Wizara husika imeweka zuio la kutoa hati kwa wananchi waliokwisha maliza kununua...
WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI
Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma.
Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe moja ya vyanzo vya kujiongezea vipato badala ya...
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amemtaka kiongozi wa ardhi kumpatia haki babu wa miaka 81 ndani ya dakika tano kwani hati hiyo ameifuatilia kwa muda mrefu sana.
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema katika mwaka wa Fedha 2023/24, Serikali ilisaini Mikataba na Hati za Makubaliano 78 baina ya Tanzania na nchi 23
Nchi hizo ni Algeria, Indonesia, Falme za Kiarabu, Zambia, India, Noway, Urusi, Uganda, Cuba, Hungary, Malawi, Korea...
Wazo hili linahusu matumizi ya teknolojia ya blockchain katika usimamizi wa ardhi na hati za umiliki ili kuongeza uwazi, usalama, na ufanisi katika sekta ya ardhi nchini Tanzania.
Blockchain ni teknolojia ya kuhifadhi taarifa katika mfumo wa kidijitali ambao ni salama na haubadiliki. Kila...
Kutoka Kwa Zitto Kabwe,
Zitto kasema Kwa uwazi kua hati ya Muungano ya mwaka 1964 inatambua serikali ya Zanzibar, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano.
Sasa Kwa nini CCM imekua inafanya uongo miaka yote hii? Na wana maslahi gani na uongo wao huo wanaojifanya?
Ili muungano ueleweke...
Jamani Asanteni,
Ila nilichojifunza ni kwamba tukipewa ofisi, tufanye kazi na kuwajibika.
Yani mtu unaweza kuharibu sifa ya ofisi yako sababu ya kuchukulia vitu poa.
Yule Mama anasema Maboss wa NMB walikuwa hawana taarifa , jambo limefika kwao limeisha fasta na amepewa hati yake kirahisi...
Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana.
Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote, AJABU NMB SENGEREMA hawataki kumpa hati yake. Mbona kama nanusa mchezo mchafu? Inakuwaje benki kubwa...
1. Vita Gaza vinapaswa kukoma. "Enough is enough!"
2. Hilo ni lililotakwa la dunia, kutokea UN huko; mataifa: moja moja; mashirika ya kimataifa, mashirika ya misaada ya kiutu, nk.
3. Kuna azimio UNSC kutaka vita hivi kusimamishwa kabisa sasa na mateka wote kuachiliwa.
4. Raia, wahanga wa vita...
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo...
bara
hatihati ya kusafiria
hoja
issa
kichwani
kuingia
kurejesha
kusafiria
kutumia
mbunge
muda
muungano
utaratibu
watanzania
watanzania bara
wazanzibari
zanzibar
Waziri wa Ardhi anapojiona yeye ni zaidi ya mahakama siyo utumishi mzuri. Jukumu la wizara yake nikutoa haki ya umiliki wa ardhi. Yeye siyo mahakama kwamba anaweza akahukumu kuita watu majina ya ajabu ajabu.
Tunafahamu kwamba yeye ana chuki binafsi na baadhi ya watu. Ukitaka kufahamu ana chuki...
Kiwanja kinauzwa Kigamboni karibu na Hamidu City. Kiwanja kina hati, kimezungushiwa fensi na kina ukubwa wa Square Metres 4000 (Eka moja). Umeme na maji vipo. Bei Milioni 250, maongezi yapo.
Ni inbox au Mawasiliano ya moja kwa moja Whatsapp/Msg 0775880218. Hakuna dalali...
Wakuu, Nina kapesa kangu kama million 6 hivi kamekaa benki muda mrefu naona wanakakatakata tu huko benki, Sasa nataka nikatoe benki walau nikawekeze UTT AMIS au Kwenye hati fungani za serikali.
Naombeni ushauri wapi ni Bora kati ya sehemu hizo mbili? kwa maana ya wanaotoa faidi kubwa zaidi ya...
Kama watu wanafuja kodi na tozo zetu kiasi hiki na hawachukuliwi hatua, kuna haja ya wananchi kuendelea kulipa kodi kwa uaminifu??
Nadhani kila mfanyabiashara atafute mbinu ya kukwepa kulipa kodi.
Habari. Naomba kujua garama na utaratibu wa kutangaza kwenye gazeti kupotea hati ya ardhi.
1. Muda inayotakiwa kutangaza.
2. Garama na gazeti gani kutangaza.
3. Mawasiliano yao
===
Hatimaye NMB wamesaini makubaliano ya miaka mitatu (3) ya ushirikiano na Kampuni ya Zao la Mwani Zanzibar (ZASCO) ikiwa ni hatua ya kuendeleza sekta ya kilimo cha mwani na kuleta maendeleo yenye tija kwa wakulima katika pwani ya Bahari ya Hindi (Tanzania Bara na Visiwani).
Katika maeneo...
habari wakuu,naomba msaada kwa mwenye kujua wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba isiyo na hati.Kwa yoyote mwenye ufahamu tujuzane wakuu.Sijaajiriwa so plz lieleweke hilo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.