Leah Masunga alivyokabidhiwa hati yake, siku moja tu baada ya agizo la Waziri Mkuu.

📍Simiyu
Safi kabisa ! point 3 za bure za mezani!, baada ya yule mtu wetu kupopolewa na kupigwa chini, sasa 2030 twende na huyu, atatusaidia sana!, tatizo litabaki moja tuu, kwa vile kila ni zamu yetu, wa upande wetu, huyo mtu wetu ni lazima atake upande wetu ule, je huyu si wa upande wetu ule, wale jamaa wa upande ule watakubali?.
Kuhusu uwezo wa mtu huyu kushika ofisi ile, mimi niliishasema siku nyingi tangu kitambo Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

Pia nimemfananisha na Mwalimu Nyerere PNA: Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba ni Mkweli Kama Nyerere, Namuunga Mkono Kauli ya Vibaraka Wapumbavu, Tusiishie Kuwasema Tuu, Je Tuwataje Tuwajue Au?

P
 
Mfumo unakwama sana sasa wangapi tutapata nafasi ya kumwona PM ndio mpaka matatizo yatatuliwe ?
 
Safi kabisa ! point 3 za bure za mezani!, baada ya yule mtu wetu kupopolewa na kupigwa chini, sasa 2030 twende na huyu, atatusaidia sana!, tatizo litabaki moja tuu, kwa vile kila ni zamu yetu, wa upande wetu, huyo mtu wetu ni lazima atake upande wetu ule, je huyu si wa upande wetu ule, wale jamaa wa upande ule watakubali?.
Kuhusu uwezo wa mtu huyu kushika ofisi ile, mimi niliishasema siku nyingi tangu kitambo Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

Pia nimemfananisha na Mwalimu Nyerere PNA: Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba ni Mkweli Kama Nyerere, Namuunga Mkono Kauli ya Vibaraka Wapumbavu, Tusiishie Kuwasema Tuu, Je Tuwataje Tuwajue Au?

P
Ndiyo, mmeanza kumfanyia kampeni! 😄
 
Back
Top Bottom