A
Anonymous
Guest
Kuna viwanja vilivyouzwa takribani miaka minne iliyopita na Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni katika eneo la Pembamnazi–Tugwi Songani. Hata hivyo, hadi sasa wananchi bado hawajapatiwa hati zao za umiliki.
Kila wanapofuatilia ofisini, hawapati majibu ya kueleweka kuhusu ucheleweshaji huo, jambo linalowasababishia wasiwasi na kukosa uhakika wa mali zao.
Kila wanapofuatilia ofisini, hawapati majibu ya kueleweka kuhusu ucheleweshaji huo, jambo linalowasababishia wasiwasi na kukosa uhakika wa mali zao.