Naibu Waziri Ardhi: Msiweke Lamination kwenye hati zenu za Ardhi.

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya (@mmuyakaspar ), ametoa wito kwa Wananchi nchini kuacha kuweka Lamination kwenye hati za umiliki wa Ardhi, akieleza kuwa kitendo hicho kinaweza kuleta changamoto katika uhakiki na matumizi ya nyaraka hizo.

Mhe. Mmuya ametoa rai hiyo Julai 21, 2026, alipokuwa akizungumza na Wananchi waliojitokeza katika Kliniki ya Ardhi iliyofanyika katika Ofisi ya Kata ya Peramiho B, Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma.

Akitoa elimu kwa wananchi, Mhe. Mmuya amesisitiza kuwa hati ya umiliki wa Ardhi ni nyaraka muhimu ya kisheria inayopaswa kuhifadhiwa kwa uangalifu bila kuwekwa Lamination, ili kulinda ubora wake na kuepusha changamoto zinazoweza kujitokeza wakati wa kuhakiki au kufanya marekebisho ya taarifa zilizomo kwenye hati.
 
Hili swala hata pale wizara ya ardhi ukiwa unakabidhiwa hata wanasisitiza sana usiweke lamination
 
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya (@mmuyakaspar ), ametoa wito kwa Wananchi nchini kuacha kuweka Lamination kwenye hati za umiliki wa Ardhi, akieleza kuwa kitendo hicho kinaweza kuleta changamoto katika uhakiki na matumizi ya nyaraka hizo.

Mhe. Mmuya ametoa rai hiyo Julai 21, 2026, alipokuwa akizungumza na Wananchi waliojitokeza katika Kliniki ya Ardhi iliyofanyika katika Ofisi ya Kata ya Peramiho B, Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma.

Akitoa elimu kwa wananchi, Mhe. Mmuya amesisitiza kuwa hati ya umiliki wa Ardhi ni nyaraka muhimu ya kisheria inayopaswa kuhifadhiwa kwa uangalifu bila kuwekwa Lamination, ili kulinda ubora wake na kuepusha changamoto zinazoweza kujitokeza wakati wa kuhakiki au kufanya marekebisho ya taarifa zilizomo kwenye hati.
Bado hajatoa sababu ni kwa vipi Lamination inaharibu hati ya ardhi.

Hivi hawa mawaziri wanaokotwa wapi? Huyu ni kiazi mbatata tu sawa na Bashite anayetuletea akina Drogba na Rio.
Lamination ya hati siyo suala la kusumbua kama ambavyo migogoro ya ardhi inavyoleta changamoto
 
hawana kazi hawa wapuuzi sassa hicho na chenyewe ni kitu cha kwenda kuongelea? wakati wanatoa hayo maati yao feki si wanawaambia? yaani kukosa kazi ni kitu kibaya sana ndio maana wako kama wamepoteana hivi mama yao anasema hili kile kizee kisokwe mtu kinasema vile yaani tafrani.mara kile kijamaa kilikua chadema kinasema hakitishiki na ahakama yaani vurumai, walichokitaka ndio wanakipata sasa.
 
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya (@mmuyakaspar ), ametoa wito kwa Wananchi nchini kuacha kuweka Lamination kwenye hati za umiliki wa Ardhi, akieleza kuwa kitendo hicho kinaweza kuleta changamoto katika uhakiki na matumizi ya nyaraka hizo.

Mhe. Mmuya ametoa rai hiyo Julai 21, 2026, alipokuwa akizungumza na Wananchi waliojitokeza katika Kliniki ya Ardhi iliyofanyika katika Ofisi ya Kata ya Peramiho B, Wilaya ya Songea, mkoani Ruvuma.

Akitoa elimu kwa wananchi, Mhe. Mmuya amesisitiza kuwa hati ya umiliki wa Ardhi ni nyaraka muhimu ya kisheria inayopaswa kuhifadhiwa kwa uangalifu bila kuwekwa Lamination, ili kulinda ubora wake na kuepusha changamoto zinazoweza kujitokeza wakati wa kuhakiki au kufanya marekebisho ya taarifa zilizomo kwenye hati.
Huyu waziri mbona anatuchanya sasa!! Si walisema hati zitakuwa za kie

Huyu Waziri anatuchanganya sasa!! Si walisema hati zitakuwa ni za kielektoroniki..
Na kama hati ni ya kielekitoriniki na uhakiki wake ni wa kielekitoroniki.
Sasa hilo karatasi kuwekea Lamination lina athari gani na electrictonic .
Au Waziri hajui mpango wa wizara yake anakuja na mambo ya kizamani!
 
Back
Top Bottom