hati za ardhi tabora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Tabora wapongeza kliniki ya ardhi kidijiti, wapata hati miliki kwa muda mfupi

    TABORA Wananchi mkoani Tabora wameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuwasogezea huduma za ardhi karibu kupitia Kliniki ya Ardhi Kidijiti, hatua iliyowawezesha kupata Hati Miliki kwa muda mfupi. Wakizungumza baada ya kupokea Hati zao, wananchi hao...
Back
Top Bottom