★ Aelekeza kuanzishwa Kliniki ya Upimaji wa Mashamba
★ Awasisitiza wawekezaji kuendeleza maeneo yao kuepuka migogoro
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amesema kipaumbele cha Wizara kwa sasa ni kuongeza kasi ya utoaji wa hati za miliki za ardhi ili...
Wakuu habari za leo,
Wakati wananchi wengi wakilalamikia upotevu wa maeneo ya wazi, hali inaonekana kuwa mbaya zaidi Moshi mjini. Ofisi za ardhi na ofisi ya Mkurugenzi wa manispaa ya Moshi mjini zinatajwa kuwa kiini cha rushwa inayohatarisha haki za wananchi.
Kuna taarifa na malalamiko mazito...
Zaidi ya wananchi 300 wa Kijiji cha Ikungugazi kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wamekabidhiwa Hati za Ardhi za Kimila. Wananchi hao wameeleza kuwa hati hizo ni urithi kwa watoto wao, na kwamba zitaongeza thamani ya ardhi, kupunguza migogoro ya ardhi, na kuwawezesha kuwa na...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amekabidhi Hati za Haki Miliki za Kimila kwa wananchi 700 wilayani Ikungi mkoani Singida ambapo amewataka kuzitunza Hati hizo ili ziendelee kuwa msaada kwa kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.
Akizungumza wakati wa zoezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.