Miaka kadhaa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wamekuwa wakiulizia naoa lini lakini nikawa hata siwaelewi.
Sasa kuna binti mmoja, miaka 25, mzuri, anajitambua na mpambanaji nimekutana naye na moyo umemridhia kwa dhati.
Hatimaye sasa wazo la kuoa limekuja na niko tayari kuchukua binti huyu mzuri.