Wakati hii kesi inaanza ya kuishtaki Urusi, nakumbuka Warusi asili na hawa wa humu JF kwa Mtongole walitukana sana na kusema Urusi haitotambua hii mahakama, sasa Urusi imekalishwa, imetuma wajumbe wa kwenda kujitetea.
Ikumbukwe Putin anaishi kama digidigi keshaogopa kuhudhuria vikao vyovyote...