hatuna

The Håtuna games (Swedish: Håtunaleken) were a 1306 conflict between Birger, King of Sweden (1280–1321) and his two brothers, the dukes Eric Magnusson (ca. 1281-1318) and Valdemar Magnusson (c. 1282–1318).

View More On Wikipedia.org
  1. Mganguzi

    Ingekuwa Kenya kingeumana !! Sisi hatuna upinzani upo TU WA mitandaoni!

    Ingekuwa Kenya pasingekalika saa hii !! Ccm itatawala miaka 1000 mpaka kizazi Cha WAOGA kifutiliwe mbali ,wenzetu wamepiga hatua kubwa sana kisiasa ...sisi hata mlio wa gitaa tunakimbia hovyo kama kuku wa kisasa ! Ingekuwa Kenya muda huu raila angekuwa anaelekea ikulu na Mitaa yote imefungwa...
  2. Dr Matola PhD

    Asanteni sana mashujaa wetu Yanga, Wananchi hatuna cha kuwadai, cha msingi tumemkanda Mwarabu kwao

    Waarabu walicheza mbele ya mashabiki wao full house, viongozi wote wa CAF wakiwa uwanjani kushuhudia fainali Yanga imemkanda Mwarabu kwao na aggregate ni 2-2, Waarabu wananufaika na kanuni za mashindano, Ulaya hakuna upumbavu huu kwa level ya fainali. Sisi wananchi hatuna la kuwadai mashujaa...
  3. Teko Modise

    George Job aliwahi kusema hatuna timu ya kufika Fainali ya Michuano ya CAF

    Njooni mumpike kama sio kumkaanga
  4. GENTAMYCINE

    Hawa wanaopanda katika Daladala na Kutuomba Msaada wanatufanya Sisi Abiria hatuna Akili au?

    Kuna Mmoja kapanda Dala Dala nililopanda Jana Usiku la Buguruni - Mwenge aliniachi Maswali mengi sana. Kwanza ana Afya nzuri ambayo hata GENTAMYCINE ninayeombwa Msaada sina. Pili kuna muda akasema kuwa tayari ana Shilingi Milioni Saba na anataka tumchangie Shilingi Mia Tano, Elfu Moja zetu na...
  5. mwarabu feki

    FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350] Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika.. Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na...
  6. mahindi hayaoti mjini

    Hatuna bahati, tumekufa kiume, tumejitahidi

    Siku tukikubali kuachana na upuuzi huu na kuamua kucheza mpira kisayansi bila shaka tutafika zaidi ya tulipofika Vinginevyo tutasonga hatua moja mbele na kurudi tatu nyuma
  7. Chizi Maarifa

    Haji ameanza matusi yake ya reja reja kwetu Yanga. Anaona sisi hatuna akili?

    Anasemaje mwenzenu mimi nina akili? Maana yake yeye kutoka Simba ndo amekuja na akili? Mjinga sana huyu jamaa. Ametukuta Yanga asitupangie nini cha kusema na kufanya. Halafu anawaambia watu pembeni kuwa wenye akili Yanga wamekuwa watatu. Hizo habari tunazipata. Anafanya juhudi sana kuwa...
  8. Yes INDEED

    Wanaume tuliopo chuo, wenye sura mbaya na hatuna hela CHAPUTA ni mkombozi wetu

    😅😅💯
  9. DR HAYA LAND

    Kuhusu plea-bargaining inaonesha kuwa Tanzania hatuna Viongozi wanaojitambua

    Mtu anataifisha pesa kutoka kwa Mtu binafsi then huyo Mtu anakamatwa na anafanya plea-bargaining na serikali then analipa pesa kwa Serikali baada ya kukili kosa lake mahakamani kupitia ofisi ya (Dpp) na kuachiwa huru hii huku victim muhathirika wa kuibiwa pesa zake na Mali anatoka 0-0 Hivi kwa...
  10. B

    Ruto kajifunza Maridhiano the hard way, nasi hatuna budi

    Waswahili walisema kusikia kwa kenge ni tofauti sana na viumbe wengine wote: Hata sisi hatuna namma nyingine kama ni nia yetu ya dhati kusikika. Kwamba ni ripoti za CAG? Kwamba ni wahalifu sugu kuachiwa lakini si wanaoshikiliwa kisiasa? Bado tungependa tunayosema kucha kutwa yaweze...
  11. mdukuzi

    Recycling ya viongozi,Rais asilaimiwe idadi ya watanzania ni kubwa sawa na UK na S.Africa ila watanzania wengi hatuna uwezo kichwani

    Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais . Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK. Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao...
  12. ASIWAJU

    Watu weusi hawapaswi kuwa viongozi kwa sasa hadi pale watakapopata akili

    Kwa kuwa bado sisi watu weusi maarufu kama Waafrika hatuja pata akili ni vyema basi swala zima la uongozi tuachie wazungu na watu jamii za mashariki mwa asia ya mbali (wachina, wajapan, wakorea .........) Sisi kama watu weusi cha kufanya sasa kuanzisha mpango kabambe wa kukopa watu kutoka...
  13. Analogia Malenga

    Nape: Hatuna mpango wa kufungia VPN

    Waziri wa Mawasiliano, Nape Nnauye amesema amesikia uvumi ya kuwa serikali ina mpango wa kuzuia VPN, amesema suala hilo haliwezekani, wala serikali haina mpango huo Hata hivyo, amesema mtu akikutwa amefanya kosa la kimtandao huku akitumia VPN atahukumiwa kwa makosa hayo. Kwasasa hakuna sheria...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Kwanini hatuna Wizara ya mafuta na gesi kama mataifa mengine yenye gesi na mafuta

    Kwanini hatuna Wizara ya mafuta na gesi kama mataifa mengine yenye gesi na mafuta. Maoni yangu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Wizara ya Nishati Mimi nashauri tungeanzisha wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas). Wizara ya nishati igawanywe mara mbili kuwa wizara ya mafuta na...
  15. O

    Goba hatuna maji wiki ya tatu sasa

    Habari zenu wanaJF, Mtendaji mkuu wa DAWASA habari za jioni. Tuna muda wa wiki tatu sasa hatuna maji kabisa hapa Goba, mimi nakaa Goba mitaa ya kwa Morgan na week ya tatu hii hatuna maji! Kikawaida hua tunapataga kwa wiki mara moja lakini kwa kipindi cha hivi karibuni tunakaa hadi wiki 3 ndo...
  16. C

    Rais Samia umetusahau wana Shinyanga hatuna Mkuu wa Mkoa mpaka sasa

    Tangu Sophia Mjema ateuliwe kuwa Mwenezi wa CCM, mkoa hauna mkuu wa mkoa, badala yake RC Simiyu anakaimu. Hii ya Kukaimu muda mrefu inachelewesha mambo, mipango ya maendeleo na utekelezaj wake. Teua mama, majembe yako mengi tu mtaani hayana kazi.
  17. BigBro

    Hivi Tanzania na Africa hatuna uhusiano na Latin America?

    Huwa najiuliza marais wa Africa ikiwemo Tanzania hatuna uhusiano na nchi za Latin America?(America Kusini). Nakumbuka Jakaya Kikwete aliwahi tembelea Brazil lakini sio nchi kama Paraguay, Colombia, Argentina, Ecuador, Venezuela, Chile na nyinginezo. Na pia marais wa huko ni kama hawana time na...
  18. genius mvivu

    Daah watoto wa masikini tunaendelea kukamuliwa visenti vyetu kwenye usahili na maombi ya ajira ambazo hatuna uhakika wakupata

    Habari ndugu wana JF leo hii niko hapa kuilalamikia serikali na sekta zingine binafsi juu ya hela tunazokamuliwa watoto wa wakulima pindi tunapofanya maombi ya kazi na kufuatilia masuala ya usahili...mimi mwenyewe nikiwa muhanga wa kadhia hii nakumbuka mwaka juzi nikiwa mkoani yalitoka maombi ya...
  19. APPROXIMATELY

    Watanzania hatuna mipango kabisa...

    Habari zenu.... Kuna mambo yanafanyika tanzania tu,tena yanatia aibu sana.. Kesho wanafunzi wanafungua shule,ila wazazi wao wameshindwa kufanya maandalizi siku nyingi ya kujianda na shule,leo hii ndo wanashituka sasa,yani unakutana na wazazi wapo na watoto wao kariakoo kama wamechanganyikiwa...
  20. Ryzen

    Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

    Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuleta uzi hapa ni jinsi gani ndoa ni scam, ni jinsi gani ndoa iko pale kumnufaisha Mwanamke. Siku za karibuni kumezuka matukio kadhaa ya mauaji ya wanandoa, au wanandoa kujiua sababu kubwa ikiwa mifarakano ya ndani ya ndoa. Kwa Muktadha huo nazidi kushikilia ule...
Back
Top Bottom