hatuna

The Håtuna games (Swedish: Håtunaleken) were a 1306 conflict between Birger, King of Sweden (1280–1321) and his two brothers, the dukes Eric Magnusson (ca. 1281-1318) and Valdemar Magnusson (c. 1282–1318).

View More On Wikipedia.org
  1. Lady Whistledown

    Wizara ya Afya: Hatuna mgojwa wa Monkeypox nchini

    Kutokana na taarifa za kuenea kwa ugonjwa unaosababishwa na #MonkeyPoxVirus, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa hadi sasa hakuna kisa kilichorekodiwa cha mgonjwa wa virusi hivyo nchini. - Aidha Wizara imesema inaendelea kuchukua hatua stahiki kukabiliana na ugonjwa huo kama...
  2. E

    Ongezeko la mishahara: Sekta binafsi hatuna Serikali?

    Watnzania wamepiga kelele kuhusu kupanda kwa gharama za maisha na kilichotokea ni serikali kutangaza nyongeza kwa watumishi wa umma tu. Ina maana sisi watumishi wa sekita binafsi hatuna serikali ya kututetea katika hali kama hizi za kupanda kwa gharama za maisha? Kwa muda mrefu tumekuwa...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Kama Waingereza na Wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama Wazanzibar

    Kama waingereza na wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama wazanzibar.
  4. S

    Watanzania tuna utamaduni gani,mpaka hatuna uwezo wa kujitetea?

    Naandika nikiwa na hasira sana juu ya jinsi mimi na watanzania wenzangu tunavyoishi katika mazingira yetu ya kila siku. Unakuta mtu naporwa simu, au naonewa lakini watu pembeni wamekaa tu hawashughuliki kumsaidia. Raia wote wanaacha jukumu la kujilinda liwe la polisi tu kana kwamba wao...
  5. E

    Bonyokwa Dar - Mwenyekiti wetu wa mtaa hataki kuanzisha ulinzi shirikishi wananchi hatuna lu kumfanya

    Tumepiga kelele weee kwa kutizama yanayotukia mitaa mingine ya dar, tukimsihi mwenyekiti kuanzisha ulinzi shirikishi mtaani kwa wasio na mda wa kulinda kuchangia na wasiopenda kuchangia kupangiwa zamu za kulinda wenyewe wala mwenyekiti hana habari. Tunaomba viongozi watusaidie kinga ni bora...
  6. Cannabis

    Shaffih Dauda: Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli

    Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli. Unaweza kufanya vizuri sana kwenye makundi lakini ubingwa hauna fluke hata siku moja, Champion...
  7. Expensive life

    Tunajidanganya. Tanzania hatuna ligi Bora

    Ukitaka kujua tanzania tuna ligi ya hovyo angalia huu msinamo kuanzia timu ya tatu kwenye msinamo hadi ya mwisho zimepishana point kumi na moja tu. Kama Simba anandoto za kuwa bingwa licha ya gepu la point alizoachwa na yanga basi hata mbeya kwanza anaweza kumaliza msimu akiwa nafasi ya tatu...
  8. Expensive life

    Nani alikuwa mkali wa kuimba hapa?

    Kati ya hawa malegend nani alikuwa mkali wa sauti tamu? Celine Dion Whitney Houston ( Rip) Mariah Carey Mimi naondoka na Celine Dion huyu mwana mama alikuwa ni shida, moja kati ya nyimbo zake kali ninazozipenda. Love doesn't ask why A new day has come Tiririka hapa ni nani ulikuwa...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Wazazi acheni kulaumu wake zetu, Sisi hatuna Pesa za kuwapa wala hatujalogwa

    Assalamu alyekum! Sina maneno mengi leo si mnajua ni weekend. Nijikite kwenye mada. Wazazi nataka kuwaambia kuwa mnawaonea wake zetu(ambao mi wakamwana wenu) Kwa kuwatuhumu wametuloga, wametufumbata, wametuweka kiganjani Kama online business kisa tunashindwa kuwahudumia na kuwatumia pesa huko...
  10. kmbwembwe

    Kama hakuna chochote kiserikali kumkumbuka Magufuli na sisi hatuna habari na mwaka mmoja wa Rais Samia

    Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais. Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa. Magufuli ametufunza na kutuongoza kwa mengi yenye uzalendo mkubwa. Ajabu hata wale vigogo waliyoimba kumsifia kama ndege...
  11. KENZY

    Kuhusu Mungu na chanzo cha Ulimwengu, kuna mahali hatuna taarifa kamili/sahihi?

    Mungu wa Israel, Mungu Allah, Mungu wa wabudha, Miungu ya kale pale misri, Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo hai. Ukweli mchungu ni huu,pamoja na ufahamu wetu wote tulionao lakini bado hatufahamu kuhusu Mungu ama chanzo cha ulimwengu...
  12. S

    Watanzania hatuna uzalendo wa kiwango hiki, bali naamini watu wana masilahi binafsi huko Ngorongoro na ipo siku ukweli utajulikana

    Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma...
  13. John Haramba

    Simba hatuna mashabiki wa kulialia, hao wapo huko..

    “Simba sasa hivi hatuna mashabiki lialia Kwa sababu simba hatuliilii lakini tuna mashabiki wa kufurahia, Lialia timu nyingine hizo zenye maisha magumu,” kauli ya Ahmed Ally, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba.
  14. GENTAMYCINE

    Sisi ambao hatutekwi na Wahubiri Waongo wa Miujiza ndiyo hatuna Akili au waliotekwa nao ndiyo hawana kabisa Akili?

    Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako. Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe...
  15. B

    Siasa za chuki: Tanzania tunakwama wapi?

    Vumbi la Ndugai lingali kutulia. La Polepole ndiyo hivyo tena. Kwanini tu wazito mno kuzika tofauti zetu? Kwanini wenzetu hawa, hawana uadui wa kudumu? Kwamba mipira inazagaa golini kwa adui, kipa hayupo: "Kwa ego tu hatutaki kuisukumia wavuni tuondoke na point 3 muhimu kwa sababu tu adui...
  16. GENTAMYCINE

    Shiboub amekuja tu Kutalii Mapinduzi Cup ila Simba SC hatuna mpango wa Kumsajili..Kasema Boss Try Again

    Ningewashangaa sana Simba SC kama kweli wangemsajili Shiboub kwani ameshaishiwa Uwezo na wapo Wachezaji wa Kumzidi Kikosini kwa sasa. "Hii Michuano ya Mapinduzi Cup ni kama tu Bonanza na kwa Uhusiano wetu mzuri na Shiboub alituomba tu Simba SC aje Kutalii na Kuwasalimia Wachezaji wenzake...
  17. moyo wenye aman i

    Tanzania hatuna waamzi wa mchezo wa mpira?

    Wakati nasoma orodha kamili ya marefa watakaochezesha AFCON kuna marefa kutoka uganda kenya rwanda na burundi ila cha ajabu hakuna refa aliechaguliwa kutoka tanzania hii ni aibu aisee
  18. Deja vu27

    Mwanamke akiingia peponi, wanaume wote hatuna dhambi

    Nimejaribu kuwaza sana mpaka nimefikia kusema hivyo bhasi nina uthibitisho kuhusiana nahili Mwanamke vs mwaume Tuanze na MAUMBILE Mwanamke Kaumbwa na viungo vyote lakini hajaridhika, kapewa kope anaona hazitoshi kaamua kuongeza za kwake za bandia aonekane mzuri, kapewa nywele asilia na za...
  19. Superbug

    Wanaume wengi hatuna Ukimwi

    Ni jambo la kumshukuru Mungu kutuumba tulivyo maumbile yetu yanafanya tusipate maambukizi ya Ukimwi kirahisi. Tofauti na mwanamke ukimkojolea tu shahawa anao.
  20. Mwamuzi wa Tanzania

    Tanzania hatuna Comedians bali tuna waropokaji tu. Comedians wa Kitanzania humwelewi kama hujui lugha anayotumia jukwaani

    Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data kumtazama mchekeshaji wa Kibongo. Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji. Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani. 1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu. 2. Wanadhani mpaka leo mavazi...
Back
Top Bottom