hatuna

The Håtuna games (Swedish: Håtunaleken) were a 1306 conflict between Birger, King of Sweden (1280–1321) and his two brothers, the dukes Eric Magnusson (ca. 1281-1318) and Valdemar Magnusson (c. 1282–1318).

View More On Wikipedia.org
  1. Je, sisi Waafrika hatuna akili?

    Heri ya siku ya Uhuru Watanganyika wote. Habari za saa wanachama wote natumai ni njema, moja kwa moja niende kwenye dhumuni la mada hii. Mada hii inazungumzia Muafrika na akili , kama ambavyo kichwa cha mada kiulizavyo. Je, waafrika hatuna akili ?kweli au sikweli jibu langu kama mleta mada ni...
  2. N

    Tanzania hatuna sababu ya kulalamika njaa

    Rais Samia Suluhu anaendelea kututoa hofu watanzania katika suala zima la njaa alisema kuwa watanzania hatuna sababu yoyote ya kulia njaa. "Nataka niwahimize tulime kwa sababu miaka ijayo Dunia inaona hatari ya njaa, Tanzania hatuna sababu ya kulia njaa na ndiyo maana tunaweka miundombinu ya...
  3. Simba hatuna timu ya kushindana na Yanga msimu huu

    Nawashauri Simba wenzagu, kwenye dirisha dogo tusajili wachezaji watakaotusaidia zaidi katika kombe CAF club championship, NBC kwa vyovyote we can't compete with Yanga labda Azam Confederation. Mnakaribishwa kuchangia hoja.
  4. Wauza mahindi: Hatuna mahindi tena Tanzania, yaliyopo yanatoka Zambia na Malawi

    Akizungumza na Azam Tv M/Kiti wa wafanyabiashara wa mazao ya chakula amedai Tanzania haina tena uwezo wa kujilisha na chakula chote hivi sasa kinatoka Nchi jirani ya Zambia na Malawi. Ikumbukwe mapema leo akiwa kwenye ziara na Samia huko Kondoa Mkoani Dodoma Waziri mwenye dhamana ya chakula...
  5. Suala la maji wanyonge hatuna pa kusemea

    Hata nguvu ya kusalimia sina. Mji mzima kila mtu analalamika maji hakuna. Hatuogi, hatufui, hatupiki....maji yamekuwa kama madini.....mtaani hayapatikani, na watu wa magari wanaosambaza hawauzi tank moja la lita 1000 ni kuanzia lita 3000 tena kwa 120000 hizo lita 3000. Hivi kweli sisi...
  6. M

    Chadema: Kama Taifa hatuna uwezo wa kukabiliana na majanga

  7. Wana Yanga hatuna haja ya kogopa Club African, walishawahi kupigwa nane bila na TP Mazembe

    Nashangaa watu wanapotutisha hawa Waarabu koko ni wepesi tu kama tukijipanga vizuri hawatoki.
  8. Kwanini Tanzania hatuna misimamo ya wazi UN

    Kura ya kuilaani Urusi kwa kitendo chake cha kuyaongezea majimbo ya Donesk, Luhansk, Kherson na Zaporizhia kwenye ramani ya nchi yao imepigwa kwenye Umoja wa Mataifa, huku Tanzania ikiamua kutochagua kulaani wala kupinga Urusi kulaaniwa. Hii si mara ya kwanza kwa Tanzania kutochukua upande...
  9. R

    Kwanini hatuna teknolojia?

    Habari wakuu. Kuna huu usemi wa siku nyingi ambao huwa unanikera. Kwa mfano hatuwezi kutengeneza simu za mkononi, computer, ndege za abiria au za kijeshi, roketi na kadhalika kisa, hatuna teknolojia. Hao wanaotengeneza hivi vitu hiyo teknolojia waliipata wapi? Kwa maono yangu teknolojia ni...
  10. Wazungu wana VAR wanakosea, sisi hatuna tunafungia waamuzi wetu

    Nani ameturoga? Kumfungia mwamuzi bila kudhibitisha pasipo kuacha mashaka kuwa mwanafuzi amekosea kwa makusudi na siyo kwa bahati mbaya ni kuonyesha namna tunavyodharaulika duniani. Ni nani ana ushahidi kuwa waamuzi wetu wamekosea kwa kudhamiria? Hata sisi watazamaji tunategemea fursa ya...
  11. WanaCHADEMA wengi hatupendi namna Mbowe alivyolamba asali ila hatuna namna maana hatuna maamuzi

    Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu, ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora. Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia wanalia juu ya kupanda bei nafaka na vyakula vikuu vinavyohitajika hapa nchini. Mbowe amecollude na...
  12. B

    Tunayo ya kujifunza kwa Raila, baba wa demokrasia Kenya

    Kenya ni taifa katika mazingira halisi tuliyomo sisi. Hata hivyo taifa hili limepiga hatua kubwa sana kidemokrasia zenye kustahili kupigiwa mfano. Hizi tantarira za eti kuwa IEBC ni sawa tu na NEC yetu, kwamba ya Kenya tuwaachie wakenya wenyewe, nk nk, zote ni kelele za vyura tu. Nia na...
  13. B

    Simba hatuna kocha wa makipa kocha wa viungo kwa sasa

    SIMBA walivyo kaa kimya hatuna kocha wa Viungo, Kocha wa MAkipa je kwa hali hii tutatoboa mwezi oktba kweli tuna game hatari zinakuja mwezi wa KUMI. Me nawashauri VIONGOZI ZRANE kocha aliyeondokaga arudishwe hata kama yupo timu ya taifa ya maurtania si wavunje mktaba hukoooo
  14. Hii imekaaje, Mimi na kaka yangu hatuna ukaribu wa hata kujuliana hali lakini kwenye matatizo tunasaidiana sana kuliko marafiki tuliozoeana sana.

    nina kaka yangu alienizidi miaka 8, kiukweli hatujazoeana sana nadhani hii imesababishwa sana kwa yeye kunionea utotoni maana nimekula sana vipigo vyake, hii hali ilinifanya nimchukie na ikapelekea mpaka mawasiliano yetu kuharibika hadi sasa maisha ya ukubwani... nipo karibu na dada yangu. Yani...
  15. L

    Hayati Baba Wa Taifa amewahi kusema kuwa Hatuna mjomba wa kuja kutujengea nchi yetu

    Ndugu zangu napenda niwaambie kuwa Tanzania itajengwa na sisi wenyewe watanzania, Hatuna mtu atakuja kutujengea nchi yetu, Katika kufikia ndoto ya Tanzania tuitakayo na kuwa Kama ulaya Ni lazima tufahamu kuwa Kuna kipindi Cha mpito. Lazima tupitie maumivu Kama walivyo pitia mataifa ya ulaya...
  16. M

    Sababu 7 kwanini Yanga hatuna raha

    1. Mayele kukosa kiatu cha ufungaji bora 2. Sakho kushinda tuzo ya goli la kideo la CAF 3. Jezi zenye makaburi na daraja la Mfugale 4. Mkataba wa M-Bet kuwa mnono kuliko wa SportPesa 5. Manara kufungiwa 6. Senzo kumkimbia Morisson 7. Kocha Nabi kugoma kusaini mkataba mpya 8 .kufungwa na...
  17. K

    Je, ni kwanini hatuna majaji wengi wanawake?

    Ukienda Law School Tanzania kwenye vyuo kuna wanawake wengi wanafanya vizuri sana. Lakini hata ukienda kwenye kampuni nyingi kubwa kuna corporate lawyers wazuri sana wanawake. Kuna majaji wengi wanaume tumeona maamuzi yao yanabatiliwa na mahakama ya rufaa. Hivyo tuna majaji wengine ambao sio...
  18. I

    Sisi tusio na ajira tuko radhi mtuajiri hata kwa laki moja kwa mwezi

    Nawashangaa Sana hii mifanyakazi ilivyo mibinafsi. Sisi wengine hawatufikirii kabisa inajifikilia yenyewe. Mama achana nao kwanza walipata prevelege ya kuajiriwa tu na siyo lazima tuko wengi tusio na ajira na tuko tayari hata kujitolea. Toa hiyo mifanyakazi inayotaka milion. Sisi hata laki...
  19. Asee Wazee wenzangu tunaofikisha umri wa miaka 40+ mwaka huu na hatuna any direction njooni hapa tu jadiliane

    Kama uzi unavyojieleza njooni tujadili changamoto na njia za kuweza kujikwamua na hii hali, Hali ni mbaya saana Uzi tayari.
  20. CCM: Hatujawahi kumtumia Mbatia amshawishi Selasini na Komu kujiunga nasi wala hatuna ushirikiano na NCCR Mageuzi

    "Chama cha Mapinduzi (CCM) kinakanusha vikali madai yaliyotolewa na mwanasiasa Joseph Selasini yanayodai CCM kimewahi kumtumia James Francis Mbatia au kuwa na ushirikiano na NCCR-MAGEUZI” Shaka Hamdu Shaka Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…