Habari wana JF,
Hivi ni kweli utumishi wanataka cheti chenye majina matatu?
Na je sisi ambao vyeti vya taaluma vina Initial tu pale jina la kati kati inakuwaje?
Je, sisi wenye vyeti vya taaluma vyenye jina la kati kati Initial pekee inatakiwa tufanyaje?
Hello!
Huwa nacheka sana ninaposikia watu wakiswma kuwa wataiondoa CCM kwenye kura 2025. It's like a madness.
2015 mkashindwa
2020 mkashindwa
Hiyo 2025 mtawezaje?
Viongozi wa CCM wanaogopa kuondoka madarakani kwa sababu kuu 2.
1. Wanajua kuwa CCM ikiondoka madarakani na mirija yao...
Wakali kutoka Munich juzi juzi wamezindua all new BMW X3 generation ya nne, wakiwa wameredesign kuanzia muonekano wa nje na ndani na driving experience.
Pichani juu ni generations tatu zilizotangulia, ya kwanza ipo kushoto na ya pili kulia wakati ya tatu ndio iyo katikati.
Ikumbukwe BMW...
Katika kuperuzi huku na kule nimekutana na usahili wa huyu bingwa Kiboko ya Wachawi na mwandishi mmoja.
Anaulizwa mbona mabodigadi, wapiga picha na vinanda hawaanguki kama wale waumini anasema ni kwa sababu hawataki kuanguka, hata waumini wakitaka wanaweza kutoanguka. Ni jambo la hiyari ya mtu...
Iko hivi, wiki iliyopita baba Mkwe aliniomba nimkopeshe kiasi fulani cha pesa. Hela aliyoitaja ni ndefu kidogo, hivyo nikamwambia kwa muda ule sina ila ngoja tuone jumapili hii naweza kumsaidia kiasi gani.
Sasa leo wakati naenda kanisani alinipigia simu ila sikuisikia. Na kwa bahati mbaya simu...
Ndugu zangu Watanzania,
Naamini kama Lissu atatumia Akili ndogo sana ya kibinadamu atakuwa amejifunza mambo mengi sana kupitia michango hii ya kununua gari mpya la bei kali na la kifahari pasipo sababu za msingi.
Lissu atakuwa amejifunza kuwa watanzania siyo wajinga na mbumbumbu kama...
Mi hadi nachoka. Hawa jamaa bwana. Naikuta single cabin CIF $6,000 (mil 16) uko Beforward.
Hafu eti ushuru sasa wa TRA mil 28 unalipa. Karibia mara mbili ya bei ya kununua.
Gari ya kazi tunabaniana. Sasa ukigusa double cabin unakuta CIF kubwa na ushuru 30+
Wanakumbi.
MAMLAKA ZA ISRAEL WAVAMIA SHEREHE ZA KANISA HUKO YERUSALEMU
Matukio ya machafuko leo wakati wa sherehe za kila mwaka za Moto Mtakatifu.
Mamlaka iliwakamata maafisa wa usalama wa kanisa hilo wakati wa Jumapili ya Pasaka kwa Wakristo wa Orthodox...
Wakuu habari ya muda..mdogo wangu amehitimu ualimu miaka minne nyuma sasa punde baada ya kuhitimu huwa wanapewa mapema ACADEMIC CERTIFICATES kuliko vyeti vingine..kwa hiyo alifanikiwa kuipata mapema tuu sasa Kimbembe ikawa kupata TRANSCRIPT.
Pesa ilishalipwa katika control number husika na sms...
Najua Kuna nyuzi nyingi kuhusu kikokotoo kipya vs kile Cha zamani,
Lakini ili kuondoa utata naomba mods waache huu uzi,
Kwani hili swali likijibiwa utata wote utaisha..
Hili ni maalum kwa WALE WANAODHANI KIKOKOTOO KIPYA NI KIZURI,
SWALI:
mwalimu YASINI amestaafu akiwa na mshahara basic tsh...
Wapo kuhangaika na kauli ya spinning doctor makonda.
Wapo bize kutaka kuwafahamu hao mawaziri
Hawakumbuki chozi la mwanae sokoine alipo kuwa akisoma historia. Hawataki kujua limebeba ujumbe gani?
Kwa hili igizo la makonda limeondoa maana yote ya siku ya kumbukizi marehemu sokoine.
Na kwa...
Mtu mvivu, legevu, asiyejali muda na mwenye maneno mengi kuliko vitendo Mungu hampendi na shetani hampendi. Waliomstari wa mbele (frontliners) kwa Mungu na kwa Ibirisi huwezi kukuta mtu mvivu asiyejali na mzembemzembe.
Hakuna nabii wa uongo mvivu asiye risk taker. Wako smart, wanaamka mapema...
Habari ndo hiyo!
Hadhi ya Princess na Prince inatumika kirahisi sana kuita watoto wao, ila ile 'treatment' ya kifalme kwa baba wa watoto hao ni nadra au haipo.
Je, wanawake hawajui maana ya hadhi hiyo au ni mwendelezo ule ule wa ubaguzi tu?
Kuna kero kubwa sasa hivi Watu kutoka Halmashauri ya Wilaya Ilemela Jijini Mwanza wanapita kila ofisi wanataka kodi ya mabango na ukiomba control namba hawataki kutoa.
Tunamba Serikali iondoe hiyo kodi kwa sababu mteja anajitangazia biashara zake kupitia bango ili apate kodi ya TRA, jamanI sisi...
Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko.
Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20.
Mahindra tech?
Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme.
Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?
Habari za asubuhi!
Katiba ya Tanzania sio kikwazo cha maendeleo, katiba ya Tanzania sio kikwazo cha haki za binadamu. Yet, mapungufu madogo madogo yapo lakini si makubwa. Nchi zote duniani katiba zao zina mapungufu kulingana na muda. Hivyo nashauri marekebisho kufanyika kidogo kidogo kadri siku...
Solution ni moja tu, Kama Congo imewachoka wabanyamulenge ni heri wawape nchi yao lasivyo hakutakuwa na mwisho wa hizi vita huko Congo.
Ni tatizo lilioanza zamani sio siku hizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.