Salamu kwa wote
Nakereka na tabia za mademu unamcheki ili aje ghetto mara pap jibu anaomba elfu 50 au laki, ukimchana kuwa baby nimeamka na nyegezi mdudu yuko juu naomba uje anakuunga na ombi la pesa , ajabu anakazia kutaka ombi lake la pesa lipite ila ukimuungia na ombi la kumwambia chap aje...
Mbunge wa zamani wa Arusha juu ya Makonda inafikirisha sana na kuogofya.
Nafikiri mh Lema anajiamini sana kupitiliza kwenye taifa linalo on ongozwa na ccm.
Naomba tumsikilize kwa makini alafu tujadili.
Ni wanawake wasiojitambua na wenye vipato duni ndiyo wanaolewa wakidhani kwa kufanya hivyo ndiyo maisha yao yatakuwa rahisi.
Hapa chini ni mifano michache ya wanawake wanaojitambua ambao wamekataa ndoa.:-
1. Salama Jabri.
2. Fatuma Karume.
3. Maria Sarungi.
4. Kajala.
5. Dinar Marios.
6...
Mara utasikia Hayati ameacha miradi mingi. Hiyo miradi ni ipi? Kila Rais aliyetawala nchi ya Tanzania kuna jambo muhimu alilofanya, hakuna Rais alieitawala nchii hii akamaliza muda wa uongozi bila kufanya lolote kulingana na sera ya chama.
Mambo ambayo walinda legacy ya Hayati hawataki...
Kuna hii Tanzania ambayo utaikuta kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo kikuu.
Na kuna Tanzania halisi ambayo viongozi hawataki ifundishwe mashuleni.
Tafakari haya matukio machache huenda utaiona hiyo Tanzania halisi.
1. Mama mmoja alifungwa miaka 22 kwa kosa la kukutwa na kg 1 ya nyama ya swala...
Wanakumbi.
Siku kumi zilizopita, kiongozi mkuu wa kila siku wa Israeli, Yedioth Ahronoth, alichapisha habari zilizopatikana kutoka kwa idara ya urekebishaji ya wizara ya ulinzi. Mkuu wa idara hiyo, Limor Luria, aliripotiwa kusema kuwa zaidi ya wanajeshi 2,000 wa IDF wameandikishwa kuwa walemavu...
Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada.
sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae...
Ni upande wa mume ndio wenye matatizo, ndugu zake kwa miaka takribani miwili hawampendi mke wa kaka yao, kwa makadirio ni kwamba kaka yao ana kazi nzuri na biashara zake, uchumi upo stable na mafanikio hayajifichi haya yanaonekana wazi kabisa, ni watu wa Mbeya huko (Mbeya ina makabila mengi)...
Liberals na policies zao za kufungua dunia. Immigration policies mbovu za mataifa haya kwa kudhani kupokea watafutao maisha bora, asylum na hifadhi kwamba wata adapt na misingi ya west kumbe walikuwa wanajidanganya.
Sasa leo mzungu ni wa kuzaa watoto wawili au mmoja na pengine kutozaa kabisa...
Katika jambo ambalo mimi binafsi linanishangaza ni namna ambavyo unaweza kuta mtu kama ndugu yako, rafiki yako, jirani yako, classmate wako, na mtu yeyote ambaye kidogo mnaukaribu anachukia wewe ukifanikiwa, au anakubania connection, au anakuchongea ufukuzwe kazi, au hataki upige hatua...
Kwanini watu wa Dar, huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani?
Lakini wa mikoani kila wakati wanafatilia ya Dar tu.
Maadimin wa JF Wapo Dar,
ITV, Wasafi, TBC n.k zipo Dar
Melo yupo Dar,
Vyuo vikuu Bora vipo Dar
Flying over za maana zipo Dar
Uswahilini kupo Dar
Pesa ipo Dar, umaskini upo Dar
Ndoa za kiafrika na za kiislam, vijana wengi wakifika miaka 22 wanaanza kuoa.
Kijana wa kikristo ana miaka 30, ana mtoto wa nje ya ndoa na yupo kwenye mahusiano na mwanamke anaemgharamia na pengine kuishi nae lakini hataki kuoa ??
Kwanini uzinzi umezoeleka sana kiasi hiki ??
Miaka 60 ya uhuru ni jambo gani ambalo ccm wanaweza kujivunia wamelifanya na ku accomplish angalau kwa asilimia 60%.
Wale maadui watatu waliotangazwa na Baba wa Taifa ujinga, maradhi na Umaskini vyote viko pale pale.
Umee bado ni kero licha ya kuwepo kwa vyanzo vingi vya uzalishaji.
Tuna...
Tanzania Settles $96million dispute with Canadian Firm under conditions
Dar es Salaam
Winshear Gold Corp. and Tanzania reached a conditional settlement in a longstanding mining license dispute.
Uncertainty remains as the finalization of the settlement agreement is not guaranteed.
Tanzania...
Hili ndilo kundi kubwa linaloibuka kwa kizazi hiki cha dot.com, kijana akishasoma na kuhitimu na bahati mbaya ajira ya fani yake ikachelewa kidogo huwa hajiongezi hata kidogo unfortunately linalofuata ni kukata tamaa na kuona serekali hii mbaya Sana labda lissu atakapokuwa rais nitapata ajira na...
Ni matumaini yangu nyote mko salama.
Nimeona nilisemee hili maana limeenda!
Hivi kiongozi unatoa wapi ujasiri wa kukataa kuwasikiliza waliokuweka madarakani?
Hivi unavaaga viatu vya wale unaokataa kuwasikiliza?
Hebu fikiria umedhurumiwa na kiongozi fulani, unakwenda kushitaki kwa mamlaka ya juu...
Kwema Wakuu!
Kuna Memba kauliza na kutaka kujua ni Kwa nini Vijana WA siku hizi wamepunguza kutongoza na wengi hawataki kuoa. Nikasema nichangie kidogo.
Vijana hawatongozi na hawataki kuoa Kwa sababu zifuatazo;
1. Supply ya papuchi Kwa sasa ni kubwa, automatically demand itakuwa ndogo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.