Iko hivi, wiki iliyopita baba Mkwe aliniomba nimkopeshe kiasi fulani cha pesa. Hela aliyoitaja ni ndefu kidogo, hivyo nikamwambia kwa muda ule sina ila ngoja tuone jumapili hii naweza kumsaidia kiasi gani.
Sasa leo wakati naenda kanisani alinipigia simu ila sikuisikia. Na kwa bahati mbaya simu...