Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝
Imekuwa kawaida sasa kwa watu waliofanikiwa kiuchumi kubaki na siri zao namna walivyo ukimbia ukata, kila Tajiri utakaye muuliza kuhusu mafanikio yake lazima atakuambia:
• Nilianza kuuza karanga za kupima.
• Nilianza kushona viatu...
Niaje waungwana
Hapo chini naorodhesha nchi ambazo si Marekani wala Israel itaweza kuthubutu kuingiza pua yake kuzivamia kijeshi kwa namna yoyote ile. Hii ni kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi, kiintelejensia, kiteknolojia ni kiuwezo zilizo nazo nchi hizo katika kulikalisha chini na...
Inashangaza sana. Sijajua ni njaa, stress, hulka, muwasho wa ngozi, mikono au nini.
Watu ni wagomvi balaaaaaah... Yaani anaweza hata kununua ugomvi wa mtu akaingilia akauchukua yeye. Sijui shida ni nini.... Sisi wengine ndo tumekuwa punching bags zao.
Sababu ya upole huu unakuta umekaa tu mtu...
Na kama Mwenyekiti wa ccm akizuiwa kuteua Wasimamizi wa Uchaguzi , hizi porojo za ccm kuchapisha fomu moja ya mgombea wa urais zitazimika mithili ya Mshumaa jangwani .
Watapaswa kuachia fomu hata mia moja ili apatikane miongoni mwao mwenye uwezo wa kupambana majukwaani na kushawishi wananchi...
Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema;
“Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku...
Hii ni Taarifa ninayoielekeza kwa CHADEMA, chama Pekee cha Upinzani Nchini Tanzania, kwamba 2020 kwenye ule ulioitwa Uchaguzi waandishi wengi wa habari wa vyombo vinavyoitwa binafsi, waligombea ubunge kupitia CCM , Huku wakiendelea kutumikia vyombo hivyo na wakiendelea kutangaza habari za...
Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.
====
Pauline...
Zitto Kabwe amesema kuwa
''Katika marekebisho ya sheria za uchaguzi Serikali imebakiza wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi kitu ambacho nadhani si sahihi kwa sababu wakurugenzi wengi wa halmashauri ni makada wa CCM hawawezi kutenda haki, kwahiyo hili ni eneo ambalo...
Kuna kitu huwa kinanishangaza sana katika karne hii ya 21 kila nikisikia kuwa wachezaji wa timu fulani (hususani Yanga na Simba) wamepigwa faini kwa kosa la kuingia uwanjani pasipo kupita kwenye geti rasmi la wachezaji (kuruka ukuta) na wakaingia uwanjani (pitch) na vyumbani.
Maswali...
Mambo yanazidi kuchukua sura mpya ambayo haikutarajiwa katika vita vinavyoendelea Gaza.
Kwanza general mtaafu wa jeshi la IDF aliyepewa kazi kuongoza kikosi cha wastaafu wenzake,Yair Golan amesema vikosi vya IDF visije vikajaribu kuwafuata wapiganaji wa Hamas kwenye mashimo yao. Huo ni mtego...
Mbunge Kachauka anasema anaona Wakurugenzi wanatumbukizwa kwenye bwawa lenye mamba kwasababu kuna mhasibu, mkaguzi wa ndani, afisa masuuli kwenye halmashauri ambao wana uzoefu mkubwa kuliko yeye.
Kumpeleka mtu aliyekuwa mwalimu akagombea ubunge na kupelekwa pale kama Mkurugenzi je salama yake...
Hii nimeona leo mitaa ya Bunju!
Bodaboda kwa sasa jijini Dar ni donda lisilo na dawa.
Hata akiiona hali hii IGP Wambura atatamani arudi kozi ya utrafiki CCP, Moshi
Hii Nchi ni dhahiri sasa kwamba Wananchi wake wamechoka kuwaza , nadhani hali hii inatokana na dhiki zinazowakabili raia ikiwa ni pamoja na umasikini wa kutupwa pamoja na mgawo kabambe wa umeme .
Yaani kila mtu ambaye siyo Mtoto wa kiongozi akiteuliwa kushika wadhifa wowote anaonekana ni...
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!
Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.
Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na...
Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu.
Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao
Hivi ni...
Kwa sheria za sasa timu zinazoingia CAF mabingwa haziwezi kudondokea CAF Shirikisho, Ukitoka umetoka!
Na kama ilivyozoeleka katika ligi kuu yetu nafasi ya kwanza na ya pili huwa ni Simba na Yanga, Hizo timu moja kwa moja zinaenda CAF mabingwa.
Huko CAF mabingwa tusijizime data, Hio ligi ina...
SG wa zamani wa CCM, CS wa zamani ambaye ni Mbunge wa Bunge la Tanzania kwa sasa ndugu Bashiru Oktoba 2018 alisema "Madalali wa mali za umma kamwe hawawezi kupendezwa na hoja za kutaka uwazi kwenye masuala yahusuyo MASLAHI MAPANA kwa TAIFA."
NB: Isomeke madalali wa mali za umma hapo juu.
Usilazimishe watetee uovu.
----
MNEC SALIM ASAS ATAKA VIJANA KUVUNJA UKIMYA KUJIBU HOJA ZA WAPOTOSHAJI
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas ameushangaa ukimya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Iringa katika kutetea viongozi na mipango mbalimbali ya maendeleo inayofanywa...
Wakati maumivu ya kuondoka kwa "Profesa" Nabi bado hayajapoa, kumekuwa na uvumi kuwa kuna uwezekano baadhi ya wachezaji akiwemo Fiston Mayele kujiunga naye huko alipokwenda.
Ukweli ni kuwa Mayele pamoja na Aziz Ki ni baadhi ya wachezaji aliokuwa anawavumilia tu kutokana na kuwa ni vipenzi vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.