ACT wazalendo ina Wabunge wanne wa kuchaguliwa wakati Chadema na Cuf sana mbunge mmoja mmoja.
Kwa sasa Chadema inaongoza PAC na kule LAAC ina makamu Wote kutoka Covid 19.
Ina maana wabunge wa viti maalumu Chadema wana uwezo mkubwa kuliko vile vidume vya ACT wazalendo?!
CHONGOLO: BODABODA NA BAJAJI HAWAWEZI KUONDOLEWA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo Kwa upande wa zoezi linaloendelea la kuwapanga watu wa bajaji na bodaboda mkoa wa Dar es salaam kuwa watu hao, hawawezi kuondolewa katikati ya jiji hilo...
Hii hali huwa imekaaje kwa wakristo.
Unakuta
-Mke anakunyima game maksudi kabisa
- Mke hawezi tendo labda ni mgonjwa
-Mnaishi Dar ila mke anahamishiw kigoma.
....
Na hurusiwi ongeza mke.
hii hali dhambi ya uzinzi inaepukika?
Taifa letu lina mabalozi sehemu mbalimbali nje ya taifa letu. Karibu nchi zote tulizo na mahusiano nayo mazuri tumeweka balozi.
Ofisi ya ubalozi huwa ni sehemu ya taifa letu huko nje. Kwa sheria za kimataifa ofisi ya ubalozi huko China mfano ni sehemu ya eneo la Tanzania lililopo China...
Ni dhahiri kuwa NCCR, CUF, Chadema na wengine pia wapo wanahitaji katiba mpya sasa.
Katiba mpya itakuwa mustakabala wetu ulio bora zaidi kama nchi. Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kuupinga mchakato wake.
Tunaotaka mustakabala mpya tupo chini ya meza. Wasiotaka mustakabala mpya wako juu...
Bongo movie inakufa, sababu si quality (japo kweli quality ni chini) kama wengi wanavyodhani bali ni hawana namna ya kuuza movie zao. Ilianza kwa kuuza VHS za kina Majuto. Ikaja CD na DVD. Kipindi hiki walau walikuwa wanapata chochote. Ghafla watu wakaanza kupirate DVD na kuziweka kwenye flash...
Kwa Mungu kila kitu kinawezekana acha kujifanya unajua kila kitu.
Hivi Katiba imetoa maelezo gani kama ikitokea Mungu ameamua kuwachukua Rais wa JMT na makamu wake wote kwa pamoja kwa siku moja?
Tukio kama hili likitokea kikatiba hali inakuaje ndani ya nchi yetu?
Kama inawezekana familia moja...
Wanawake wengi wanatumia hili neno kama kinga ili kuwatisha wanaume kuwa hawana uwezo kurishisha mwanamke ili hali sio kweli.
Utakuta mwanamke akigombana na mpenzi wake anamtukana kwanza una kibamia
Unakuta wanawake wanajadili juu ya wanaume na kudai hawapendi vibamia lakini hata wakipata...
Kwa mfano... Rais atapo tua nchini tokea huko alikoenda na Royal Tour. Wananchi tunatarajia maswali haya toka kwa vyombo vya habari...
1. Je, Mh. Rais unafikiri safari hii (Royal Tour) uloifanya ina manufaa yeyote kwa Watanzania masikini!?
2. Je, Mh. Rais unafikiri hotuba yako imekidhi/imejibu...
Niko barabarani kwa mguu natoka mahali kwenda mjini kuna basi ya abiria imepita kwa speed sio nzuri sana eneo ambalo halitakiwi.
Sijajua hivi vibao vinavyoonyesha speed ya gari ya kutembea eneo husika vina maana gani kwa sisi madereva wa kiafrika.Sijajua alama za pundamilia za kuvuka watembea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.