Mwacheni RC Chamalila aje Dar. Huyu mate namfahamu yupo vizuri na anajiamini sana tu.
Jiji la Dar miaka flani liliwahi kuongozwa na Yusuf Makamba. Akaweza tu. Itakuwa Chalamila?
Acheni maneno yenu. Chalamila anafaa na nitapendekeza aje haraka aanze kazi. Tuliongozwa na Yusuf Makamba itakuwa...
Wakubwa Habari za muda huu?
Kwanini mtu akitoka Kufanya zinaa/ uasherati hawezi kusali muda Mfupi baadaye? Hata akijaribu kusali Ni Kama sauti haitoki au ni Kama vile yupo kwenye vacuum.
Mfano mzuri ni waimba kwaya kama wametoka kuzini, wakija kuongoza ibada, kunakuwa na uzito flani usio wa...
Habari wajukwaa, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama kichwChcha uzi kinavyoeleza hivi maana ya usemi huo hapo juu una maana gani? Na je, kuna uhusiano na maisha yetu ya Kila siku?
Nimekua nikiusikia watu wengi wakiutumia kwa mazoea pasina kujua maana maana halisi...
Salaam wana Jamvi,naomba kuelimishwa ju ya yanayoendelea kila mwaka kuhusu upotevu wa pesa za umma kwenye kila ripot ya CAG.
Kwa kumbukumbu nilizonazo sikumbuki kama kuna mtu amewahi chukuliwa hatua seriously na mamlaka husika.
Ninacho kumbuka ni malumbano yaliyoibuliwa na bunge dhidi ya...
Nimesoma bandiko la mtu humu ndani akitoa wito kwa mfungwa Ole Sabaya akagombee Ubunge Jimbo la Hai.
Nimweka sawa mtoa wito na wengine wanaofikiria hivyo kwamba Sabaya hakuachiwa huru, hapana. Sabaya amekutwa na hatia na amehurumiwa kwenda jela mwaka mmoja isipokuwa ni kifungo cha nje!
Sheria...
Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi.
Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu...
Inafamika kuwa Serikali inakusanya Kodi kutoka kwa wananchi, na inakopa kwa niaba ya wananchi wake, inafahamika pia kuwa serikali inapanga na kutekeleza mipango kwa kutumia fedha za wananchi. Je, wananchi hawezi kuishitaki serikali Yao kwa kupangiwa mipango mibaya iliyowatia hasara wananchi...
Katika dunia hii ukitaka kuishi vizuri acha vitu vifuatavyo.
Wizi
Utapeli
Wake za watu
Wanaume mwenye akili zako kabisa una date na mke wa mtu na una enjoy kabisa.
Me siwezi ata kuwa karibu na mke wa mtu wake wa marafiki zangu Sina ata ukaribu nao.
Kuna wanaume wengine ni vichaa kabisa,Wana...
Mwenye Macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi Sikiaa.
Wakati Vyombo vya Habari vikubwa hapa Nchini vikiwa mfukoni Kwa Msoga Gang na Kwa matukio ya kupangwa, lengo ikiwa ni kupambana na JPM.
Hata Yesu alisema 'Waacheni wapige kelele, maana Hata Hawa wakinyamaza basi Ile miamba na mawe...
Ilikuwa mwaka 2019 nikiwa nauza duka maeneo fulani hivi, alikuja mama mmoja akaweka Simu yake bondi nikampa 3000, ilikiwa Simu ya batani nikaichukua na kuitupia kwenye box nililokuwa natunzia mifuko ya kaki wala hata sikuichunguza kama ilikuwa inawaka au INA nini humor ndani.
Nilikaa nayo mwezi...
Enzi na enzi, Mungu huchukizwa mno na ushoga! Na timbwili la kuanguka kwa Taifa hili kubwa Duniani_ inaanzia hapa.
Mungu kuonyesha kwamba huchukizwa na upumbavu huo na havumilii kabisa kufuru hizo, aliwawasha moto Sodoma na Gomola.
Kitendo cha Marekani kuacha misingi yake na kujikabidhi kwa...
SHERIA YA MALEZI ISEME; KAMA MWANAMKE HAWEZI KULEA MTOTO AMPELEKE KWA BABA YAKE, HIYO NDIO MANTIKI NA SIO VINGINEVYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Unajua kuna Wakati mpaka unashangaa wanaotunga hizi sheria uwezo wao wa kufikiri ukoje nazungumzia hizi sheria za mahusiano hasa ya Mume na...
Mtoto wa maskini anasomea daftar gharama zaidi ya elfu mbili |2000 na mtoto wa tajiri shilling mia mbili.
Maskini ataendelea kuwa maskini
Na tajiri kuwa tajiri kwa sababu ya hali ya nchini. Elimu bure iko wapi au fumbo mfumbie mjinga!
bora ingebaki ada ya shule mara kila siku mwanafunzi...
MUHIMU: Ndugu wa karibu awe ni bibi (mama yako) au shangazi (dada yako) unaemwamini.
Kulazimisha mtoto aje kuishi kwako wakati unaishi na mwanamke mwengine ni kumuingiza mtoto huyo uliemleta kwenye tanuri la moto, hii ni nature ndivyo tulivyoumbwa.
Tena hali itakuwa mbaya sana mtoto uliemleta...
Wilaya ya Kilosa ni kiini cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji. Ma DC wengi na hata wakuu wa mikoa na viongozi wa Polisi mkoa na wilaya watakiri hili.
Uteuzi wa Shaka kwenda pale tena akiwa DC kwa mara ya kwanza utazamwe upya. Hii wilaya yahitaji DC mzoefu au mwenye uwezo mkubwa wa kutatua...
Jana nilifuatilia mjadala ulioanzishwa na JF kuhusu maoni ya sisi Wananchi wa kawaida kwenda kwa viongozi wetu hasa Wabunge, kwanza niwapaongeze sana kwa hicho walichokifanya na ninawashauri wakiendeleza kwa kuwa kero zipo nyingi.
Binafsi naamini wanasiasa ni watu wanaofuata upepo, kuna muda...
Mdude Chadema @mdudechadematz
Juu ni sehemu ya wanafunzi 484 wa shule ya msingi Butibu iliyopo Ushetu Kahama Shinyanga wakisoma chini ya mti kwa ukosefu wa madarasa. Chini ni moja ya magari yaliyonunuliwa kwa ajili ya wakuu wa mikoa nchi nzima.Gari moja thamani yake ni milion 500 sawa na idadi...
Tangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile
Mtangulizi wake alianzisha kampeni ya kupanda miti ya mapambo kwenye barabara zote na sehemu za njia panda (roundabouts) zilipambika kweli kweli. Lkn Amos Makalla amefika miti yote imekauka.
Amos Makalla aliazisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.