Naingia moja kwa moja.
Wanasema gift and curse ni vitu viendavyo sambamba. Hili tumeona kwa late Michael Jackson, Whitney Houston na wengineo.
Kwenye suala la uandishi wa mashairi mazuri mr Harmo amefikia viwango vya hatari sana. Nimetoka kuangalia video yake: MWENYEWE, ameachia masaa machache...
Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa. Hawezi mfikia Kisinda au Aziz Ki kwa mbio. Hawezi kabisa.
Mchezaji konokono wa nini sasa? Anatembea tu Uwanjani. TK Master anachomoka kinyama anakimbia kama risasi. Ndo mchezaji bora. Hata Aziz Ki naye ana mbio na nguvu si kama Chama. Konokono na...
Tundu Lissu amesema mali isipokombolewa baada ya kuzuiliwa, itapigwa mnada ili kufidia deni linalodaiwa. Kwa muda gani, inatagemea mkataba Serikali uliongia.
Tundu Lissu alikuwa anajibu swali la mdau aliuliza nini kitatokea kama Serikali itashindwa kulipa deni lililopelekea ndege kukamatwa...
Nchi imekwama, kila kitu kimekwama, si maji wala umeme, si mvua wala chakula, si biashara wala viwanda,
Kila unapogusa pa moto,
Alipoteuliwa huyu dada yetu jina kapuni kwenda kukaa Ikulu yetu kutokea hapo BBC nikajua walau mambo yatakuwa sawa, tutatembea ki Uwingereza wingereza!
Kipindi cha...
Haya mambo siyo fantasy, ni mambo yapo kabisa kuhalisia. Kila mwanadamu kapewa matamanio, wake kwa waume, haya matamanio yasipopunguzwa huwa si ajabu kuzuka mabalaa. Kwa hali hii kuna baadhi ya wanaume wasio na uwezo wameshakubali matokeo na kuwatafutia wake zao njia mbadala.
Mwanaume anajiona...
Leo ngoja niandike kitu kimoja watu wapate uelewa hasa MATAGA wanaosema mbona Tundu Lisu na Lema hawarudi. Nitaongelea zaid kwa Lema.
Katika maisha wanasema "golden chance never comes twice" katika kitu Lema amekipata cha maisha yake yote ni kupata ukimbizi wa kisiasa "asylum seeker" inchini...
Hii nakupa chukua..
Hamna uchafu unaokuja mahali pasafi hata siku moja. Ndiyo maana unakuta mtu kama roho yako imejaa Yesu, mtu hata akuendee kwa waganga hakupati, hii pia nakupa chukua.
Issue ya ku cheat pia naona imekaa kiroho zaidi. Mwanaume ukiwa unachepuka maana yake unakaribisha roho ya...
Sabato Njema Wakuu!
Mungu akikuona Watu watakuona, aliyeonwa na Mungu kamwe huwezi kumficha asionekane na watu.
Mungu akikukubali hakuna atakayekuzuia. Lakini haimaanishi vipanya na ndorobo havitatokea kukupigia kelele. Lakini siku zote kelel za panya hazimzuii Paka kulala usingizi.
Kijana...
Leo mtoto wangu wa darasa la nne kaniletea barua kutoka shuleni kwao kwamba eti yafaa zaidi awe anabaki huko huko shuleni boarding asiwe anarudi nyumbani. Nikiwa kama mzazi wake hii barua ilinipa hasira sana, hhizi shule za sikuhizi wametanguliza sana pesa kuliko watoto wetu, Kuna kipindi...
Ruto alimkiri na kumtumaini Mungu hadharani, matokeo yake mwulize Uhuru Kenyata na Raila Odinga.
Magufuli alimkiri pia Mungu mbele ya dunia yote kuwa Mungu atatuponya na corona wala hakuna haja ya chanjo na barakoa! Leo hii Watanzania tuko salama wakati dunia imepita kwenye hali ngumu sana...
Anaandika Robert Heriel.
Haijalishi atakuambia nini, haijalishi atakupa nini. Mwanaume hawezi kukupenda Kama anavyompenda mkewe.
Hilo wala sio siri, wanaume wote duniani tupo hivyo.
Asije akakudanganya mtu kuwa ati anakupenda kuliko mkewe huo ni uongo na amekuona hamnazo kichwa maji.
Ndio...
Yanga sc imemtambulisha kiungo wake wa zamani, Tuisila Kisinda kuwa amerudi kikosini kabla ya dirisha la usajili kufungwa 31/08/2022.
Mashabiki wengi wa Yanga wamefurahishwa na ujio wa Tuisila Kisinda. Jambo ambalo hawalijui ni Nani kampisha Tuisila kwasababu usajili wa wachezaji kutoka nje ya...
Simuelewi kabisa huyu kocha na falsafa zake za kuwaweka benchi wachezaji kama Nyoni, Kennedy Juma, John Bocco ...ha2a ni wachezaji ambao hawajacheza mchezo wowote mpaka sasa nilitaraji angewatumia ktk mechi izi za Sudan ila ajabu hakuna mabadiliko.
Ni wazi nimeona dalili za kocha huyu...
Jamani eeh, hivi hawa viongozi siku hizi wanatuonaje wananchi? Wanadhani kwamba tuko mambumbumbu kiasi hiko?
Iko hivi, siku zote muswada wa sheria hutungiwa nje ya bunge, kisha Bunge hutunga SHERIA MAMA, na baada ya hapo zinatungwa KANUNI na wizara husika.
Hivyo kwenye suala la tozo, Bunge...
Kama mnavyofahamu nafasi ya usemaji na nafasi nyingine zipo wazi .
Mchambuzi wa michezo ndugu Jemedari Said bin Kazumari ameomba nafasi hiyo huku akiwa ametimiza vigezo kadhaa vya awali Kama elimu na kuwa mwananchi (mwanachama wa Yanga tangu 2001).
Tumtakie Heri katika hili.
This man is pure evil, ni mtu corrupt, mbinafsi na self serving haijawahi kutokea, hana imani wala huruma na binadamu wengine, yuko tayari kufanya chochote na lolote kwa maslahi yake binafsi tu.
Ipo siku atalipwa tena hapa hapa Duniani, no one gets a way with anything in this life…
Nakumbuka Baba wa Taifa Mwal. Nyerere, miaka ya 70, Wabunge walitaka kujiongezea mishahara.
Akauliza “Nchi hii masikini, mnaotaka wawape mishahara mikubwa ni wananchi masikini, watatoa wapi hizo hela za kuwapa?”
Wakang’ang’ania. Akasema basi hili sikubaliani nalo. Twende kwa wananchi...
Haingii akilini kwa kila jambo Rais anasafiri ovyo ovyo tu kama vile yeye sio mkuu wa nchi.
Inaleta picha kuwa kumbe anapenda sana kupigiwa mizinga na kuwekewa parade za kijeshi na kuona ufahari.
Mkuu wa nchi ana heshima zake na sio kuwa kila event ashuhudie.
Ndio maana tuna Mabalozi na ofisi...
Ndivyo hali ilivyo, hata mama wa kambo akilea watoto ambao sio wake haoni taabu hata kuchukua nguo zao na kuzigawa, ila hawezi fanya hivyo kwa watoto wake.
Mwisho wa siku hata hii ngorongoro ikiingia rasmi mikononi mwa huyo mwekezaji, Zanzibar haiwezi kuathirika ila ni sisi bara ndio tunaisoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.