Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.
I am just getting shits out of my chest, so Kama ime andikwa vibaya vumilia tu.
hizi ni kumbukumbu mbali mbali za maisha yangu.
Mwaka jana nili pata ajali nikiwa safarini, Mimi na wenzangu watatu.
ajali hiyo ili sababisha maumivu makubwa kwa baadhi yetu, kuanzia dereva aliye pata shida ya...
Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani.
Ili swala nimekumbuka vikundi vya panya road hapa tanzania baada ya kuzibitiwa na mwisho wa siku vilikimbilia nchi...
Binafsi nimejaribu kukitafuta Kitambulisho changu cha NIDA, bila mafanikio yoyote, ofisi za Kata hakipo, ofisi za serekali za mitaa hakipo, japo nilihama eneo, nikaendelea labda nilijikomfuzi, wapi sikufanikiwa kukipata, Dar ni kubwa mihangaiko ni mingi, nawashauri nida pale ambapo mtu alipeleka...
Kutokana na mgao au ukosefu wa umeme mara kwa mara Kariakoo katika hizi siku za karibuni, kuna minon'gono inaendelea, je ni kweli? Au ni uzushi.
Wanasema eti umeme wote unapelekwa kwenye SGR, Na ndio maana si ajabu kwa kariakoo siku hizi kukaa mpaka masaa 18 bila umeme.
TANESCO
Habari zenu?
Niende kwenye mada!
Ni furaha kwangu pale ninapokutana na mwanaume mwenye mienendo ya kiume. Kwakweli inachukua muda kukutana na mwanaume haswa. Kwakweli wanaume wengi tumepoteza sifa sana. Yaani ni kama hatujui thamani yetu. Haya ni mambo matatu ambayo tunayafanya daily na...
1. Uchawa kama profession CHADEMA, ni marufuku!
2. Aanzishe vita dhidi ya ruzuku za vyama:
Vyama vyote viendeshwe na wanachama, si huu upigaji wa pesa za wananchi kwa jina lingine lolote!
"Pesa za ruzuku zielekezwe kwenye ajira mpya za vijana wanaohitimu masomo, itapendeza zaidi!"
3...
Wala siijui formula ya aina ipi ya mwanamke wa kuoa hata huyu nilite naye siijui kesho yetu hivyo nachoweka hapa ni theory tu lakini waweza kupata kitu.
Sikuoa rafiki yangu, nilikuwa na marafiki wengi wa kike hata wa muda mrefu tuliowahi kuwa kwenye uchumba lakini haikuwahi kunijia akilini kuoa...
Nimekodi bodaboda kutoka maeneo fulani ya jiji hili, lakini tulipokuwa safarini dereva wangu alitambua kuwa tairi moja la bodaboda limepungua upepo. Kwa hiyo, tulilazimika kujongea hadi kwa fundi ili kulitatua tatizo hilo. Tulipofika, kilichonivutia zaidi si fundi mwenyewe bali kijana mdogo...
Pata Mwanamke Sahihi
Sahau kuhusu slay queens na wanawake wenye sura na shape wasioweza kukuunga maono yako. Tafuta mwanamke atakayekuunga mkono kwenye maono yako na kukupa ahueni kwenye safari ya kusaka mafanikio. Mwanamke alie tayari kutimiza majukumu yake na yenu kwa pamoja, ni muhimu sana...
Mwanaharakati na mhariri wa kujitegemea, Maria Sarungi, amesema baada ya kuachiwa jana usiku na watekaji, walimtaka asiongee na mtu yeyote na asizungumze chochote kuhusu tukio hilo.
Maria amesema hayo leo, Jumatatu Januari 13, 2025, alipozungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi kuhusu...
1.Epuka kukubali kuguswa na mtu ,iwe begani au wapi pindi mpo kwenye stori na vema wakajua kuwa huwa hupendi.
2.Epuka kukumbatiana na mwanaume mwenzio pindi mnasalimiana,hata kama mmemisiana muda mrefu.
Labda kama ni Baba mzazi au mwanao,japo huwa sioni ulazima.
3.Epuka kuwa mwepesi wa kukopa...
MODERATORS: Tafadhali msiunganishe Uzi huu kwani una umuhimu,unatoa insights kadhaa za miaka mitatu nyuma na yajayo.
Kwa mustakabali mpana wa yanayojiri kwa Slaa,Mbowe,Lissu na CHADEMA kwa sasa,nakuomba ungana nami kwa dakika chache tutafakari na kuamua baada ya kusoma,kutazama na kusikiza...
Wakuu,
Mtaalan kumekuwa na story nyingi sana za watu kutekwa.Wengine wakiwa marafiki wengine ndugu na sisi wengine kusikia kutoka kwa vyombo vya habari kwamba yule au huyu katekwa au hajulikani alipo.
Katika pita pita zangu za Maisha hapa duniani niliwahi kufundishwa kanuni nyingi za kujilinda...
2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ)
Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa...
Wakuu kwema?
Leo mida ya asubuhi nimepokea simu kutoka kwa rafiki yangu/mdg wangu jinsia ya KE. Akanielezea mkasa ambao alitaka nimshauri. Nimeona sii vibaya nikishea hapa jukwaani huenda akapata mawazo mazuri zaidi.
Huyu rafiki yangu ni kama mdogo wangu maana kaka yake amewahi kufanya kazi...
Habari za kila mmoja humu, leo nawaletea mchingo mwingine huu hapa wa kwenda kutembelea paradiso ya maji moto ya chemka iliyopo wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro.
Hapa huoendwa kutembelewa na watu wengi zaidi hasa wanachuo hivyo tunakuletea fursa hii mezani ili uweze kutembelea paradiso ya maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.