haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Ninyi wahubiri miujiza fanyeni haya niwaamini

    Kila siku kualika watu waje kwenye makutaniko yenu ili wapate miujiza ya uponyaji. Slogan zenu za WAGONJWA WATAOMBEWA nataka muonyeshe kama kweli huyo Yesu Kristo anatenda kazi pamoja na ninyi basi: 1. Fufueni wafu 2. Waponyeni amputees ( watu waliokatwa miguu au mikono). Msilete hadithi za...
  2. Father of All

    Yesu hakuwa na Kanisa wala pesa, hakuacha hata hao wakristo. Je, hawa wanapata wapi haya wanayofanya?

    Kwa waliosoma na kuelewa habari za Yesu watakubaliana nami yafuatayo: Mosi, alikuwa maskini au lofa wa kawaida mwana wa seremala ambaye kama angerudi leo na kukuta wanaomhubiri na utajiri wao haramu, angezimia mbali na kuwakaripia hata kuwachapa. Pili, hakuwahi kuwa na wala kuingia kanisani...
  3. Nehemia Kilave

    Haya makundi Manne yakimuunga mkono Tundu lissu , mapema uchaguzi 2025 anaingia Ikulu

    Nadhani kwa hali ilvyo sasa mabadiliko hayakwepeki , Tundu lissu kaonesha nia na uthubutu kwa Nchi yetu . Kuna haja ya kumuunga mkono kwa mawazo , nguvu ya umma na pesa pale itakapo hitajika. Haya makundi manne kama yataunganisha nguvu ni wazi uchaguzi 2025 ikulu panaingilika popote pale...
  4. Petro E. Mselewa

    Uchaguzi wa CHADEMA: Yakitokea haya itakuwaje? Mpasuko hauepukiki

    Si vibaya, mwanzo mwanzoni, kuweka wazi kuwa mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa ndani na nje ya Tanzania. Lakini, ni mfuatiliaji mkubwa wa siasa za dunia nzima, nikianza na za kwetu hapa Tanzania. Pia, ni mfuasi wa hoja na mkosoaji wa maigizo na vihoja vya kisiasa. Chama cha...
  5. kipara kipya

    Rais Samia na jicho la mwewe miezi mitatu nyuma alisema huko ndani kwao Chadema kunawaka moto haya sasa tunayashudia!

    Miezi mitatu na ushee pale Raisi Samia alipokuwa akitoa hotuba ,kati ya maneno aliyosema ni kuhusu wanasiasa haswa lissu kuropoka sana kuhusu CCM na Serikali . Alisema huko ndani Chadema kunawaka moto wengi walichukulia labda ni kauli za vijembe vya kawaida katika siasa kumbe Raisi Samia ana...
  6. Genius Man

    kuifanya ndoa yako kuwa bora zaidi na imara hebu zingatia haya machache

    uzi huu nikwaajili ya watu wote yani wale waliopo kwenye ndoa na hata wale ambao bado hawajaingia kwenye ndoa hebu zingatieni vitu hivi ili kuifanya ndoa yako kuwa bora na yenye furaha zaidi, ndoa yenye amani, upendo, uvumilivu, kujali, kusaidiana, kusikilizana, kuelewana n.k kulingana na...
  7. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Pamoja na kwamba ningekuwa Rais wa Nchi hii ningefanya mengi lakini haya kwa uchache wake ningewafanyia wananchi ili wafaidi matunda ya Nchi yao.

    Wakuu sina ndoto ya kuja kuwa Rais hata kwa dk1 sina.Msije mkaniteka bure Nikamuacha mke wangu akiwa bado mbichi kabisa. Mara zote huwa nafikri kama ningepata nafasi ya kuwa rais wa nchi hii basi ningefanya mengi sana makubwa kwenye hili Taifa mengi sita yesema nitasema machache tu tena...
  8. Trainee

    Ni kwanini maneno haya yanafichwa kwa nyota baadhi ya herufi zake?

    Sote au wengi tunajua kwamba kuna mfumo unatumika kuficha maneno ambayo ni matusi mara nyingi kwa kugeuza herufi zote au baadhi ya herufi za tusi hilo kuwa nyota. Mfano mzuri ni kwenye subtitles za video mbali mbali au hata kwenye mitandao mfano humu Jamiiforums utaona kwa mfano neno KAMA...
  9. Rozela

    Hachafuliki: Tunampenda Rais Dikteta na Kichaa Aliyefanya haya

    1. Alikuta marais wenye akili wameua shirika la ndege, yeye akalifufua na kununua ndege 11 tena kwa cash. Huyu ni kichaa mzuri. 2. Alikuta wenye akili wameshindwa kuja na suluhu ya kudumu ya tatizo la umeme. Kichaa huyu akajenga Bwawa la Mwl Nyerere. 3. Alikuta maelfu ya watumishi hewa na...
  10. T

    Ukweli mchungu. Haya ni maisha yangu

    Majina yangu ni Johannes Ignatius Rwebangira, mzaliwa wa kijiji cha Bisheke, Kata ya Mubunda, Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera. Baba na Mama yangu wote wakiwa wazawa wa kijiji hiki pia, hivyo hapa ni nyumbani. Mwaka 1994, nikiwa na umri wa miaka miwili (2), ndipo safari ya hadithi ya maisha yangu...
  11. ESCORT 1

    Haya ni baadhi ya mambo mengine yaliyomo kwenye kitabu cha Erick Kabendera

    Erick Kabendera ndio habari ya mjini kwasasa! Kwenye kitabu chake hiki kipya, licha ya kuzungumzia masuala ya mauaji ya Ben Saanane yaliyofanywa na Hayati Magufuli, pia amejadili mambo mengine yanayomuhusu Magufuli kama ifuatavyo; 👉🏽 Kuna tuhuma kwamba hayati alikuwa anawapa changamoto sana...
  12. Lexus SUV

    Soon tu aliyezaliwa 2002 hatokuwa mtoto tena

    HERI YA MWAKA MPYA 2025 aseeeeee siku zinaenda kasi sana. naona kizazi cha 90 nacho kishatoka kwenye enzi za utoto... na enzi za ujana zinaelekea kuisha kwa kizazi hichi chetu cha 90 sooon tuu hivi vidogo vyetu vya 1998,1999 ,2000,2001,2002 na hata 2003. navyo vitasema FINALY CHILDHOOD...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Dira ya vijana 2025; mambo haya matatu

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 2025 Twende pamoja na mambo haya matatu; 1. Afya 2. PESA 3. FAMILIA 1. AFYA a) Kula chakula Chenye lishe bora kwa kuzingatia Umri wako. b) kunywa Maji ya kutosha kulingana na jinsia, umri na uzito wako. c) Angalau kwa siku lala Masaa nane. d) Kama hufanyi...
  14. Setfree

    Ukifanya Mambo Haya 50 Utafanikiwa Sana Mwaka Huu

    Hakuna mtu asiyependa kufanikiwa kikazi, kielimu, kibiashara, kiafya, katika ndoa nk. Mwaka unapoanza watu wengi huwa wanajiwekea mipango na mikakati ili wapate mafanikio. Hapa nakuorodheshea mambo 50 yatakayokuwezesha kuona amani, baraka na mafanikio ukiyafanya. Mwishoni nitakueleza kwanini...
  15. H

    Haya yote ni maisha

    Thanks God for another day. https://youtu.be/WZ1ldzuo8A0?si=ZSDv31kG-I8bAe04
  16. ngara23

    Zingatia mambo 10 haya Kwa mkeo

    1. Mkeo si mkamilifu, msamehe 2.mkeo ndo UTI wa mgongo wako, usiuvunje 3.Mkeo ni timu, mthamini 4.mkeo ni kito adimu, mtunze 5.Mkeo ni rafiki yako, muweke karibu yako 6 mkeo ni furaha yako, mnawirishe 7.mkeo anatakiwa kuwa Bora, mchsngamkie, 8 mkeo ni sehemu ya mwili wako, msitawishe 9 Mkeo sio...
  17. Thinker96

    Tutiririke vitu vya msingi kuvijua unaposimamia ujenzi kama mmiliki, haya mafundi tuambieni ukweli 1 2 3

    Habarini wakuu, Kuna vitu ambavyo mafundi tunaomba watuambie katika kusimamia ujenzi tuvijue ili tupate nyumba kulingana na gharama iliyotumika kwa kuanzia:- 1-Mgawanyo wa hatua za Ujenzi kwa mgawanyo mkubwa na mgawanyo mdogo. Mfano Mgawanyo mkubwa ni Boma-Kuezeka-Kuhitimisha. Ila mgawanyo...
  18. R

    Ukiacha ya juzi haya aliyoyakoroga kwa kuropoka hovyo, Lisu is smart! The smartest Tanzanian Ever

    Huo ndio ukweli, ukweli usiopingika. Tatizo ni kuwa Mgema akisifiwa, Tembo hulitia maji!
  19. B

    Akiwashangaa Mbowe na wafuasi wake, Anaandika Wakili Jebra Kambole: "Kwani nani Hayataki Haya?

    Ukweli mchungu: Labda tusaidiane kufahamu, hivi kweli ni nani hataki haya? Pia soma: Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025
  20. K

    Shida ni nini kwenye haya maisha? take its so serious.

    Inakuwaje kijana unapambana Kwa Hali na Mali kiakili na kimwili Ila mafanikio yanakuwa bado shida? MTU huywi pombe na wala hutumii kilevi chochote Sio MTU wa wanawake uko na mahusiano yako strong Sio MTU wa peer pressure na wala huna circle kubwa ya marafiki wajinga wajinga Unaamini katika...
Back
Top Bottom