Msemaji wa Serikali anabwabwaja tu.
Mara anasema madege ya warabu yanaleta watalii.
Mara tunasikia madege ya warabu yanaleta makontena.
Sasa mtalii anakuja na makontena ya nini?
Nchi inauzwa kwa waarabu.
Wafuasi wa vyama vikuu vya upinzani nchini CHADEMA na ACT Wazalendo Mkoani Lindi wameungana na wenzao wa CCM pamoja na wananchi katika mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anaendelea ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Wafuasi hawa wanajua ya...
Huu ni mfululizo wa kudanganyana na wanaotudanganya wanatuona sisi ni washamba, nimemsikiliza kiongozi mmoja akiendelea kutetea mabehewa duni yaliyoletwa.
Kiongozi huyo akifafanua huku akijiamini alisema kuwa mabehewa yanayosafiri yana vitanda na hoteli! Nikweli zipo treni zenye mabehewa yenye...
Haina ubishi kwamba huyu mnyamwezi ni mahili sana wa mipango ya kiuchumi. Anatambuliwa na nchi mbali mbali hapa duniani. Mafanikio ya kiuchumi na mipango mizuri ya nchi kama Rwanda yametokana na mchango wa nguli huyu waliyemkodi kwa mwaka mmoja nchini kwao. Hata Uganda walimtumia.
Watu kama...
Kuna mtu kanunua mafuta ya alizeti, akauliza 'expire date' akaambiwa hayana 'expire date'. Kwamba ni kama asali.
Je, kweli? Kwani baadhi ya 'package' za bidhaa hiyo haionesho mwisho wa matumizi. Na nyingine inaonesha lakini tayari imeshapita japo bado iko sokoni!
Naomba kwa anayejua anisaidie!
A. MAENDELEO (Kujenga kwao)
Mtu ana mafanikio makubwa huku mjini ana nyumba ya kisasa, gari nzuri, kipato cha uhakika, n.k lakini huko kwao hali ni mbaya, Nyumba imekaa kimasikini mpaka aibu, bati lina kutu,ndani vitanda vimechoka, jikoni sufuria ni za kale, n.k… Huu ni uungwana kweli ? kuna...
MAISHA HAYANA FORMULA LAKINI YANA SIRI NYINGI! ANGALIA HIZI 11, KAMA ZITAWEZA KUKUFAA
1. SIRI YA KWANZA
Tengeneza "connection" na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha Kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali upate...
Ni miaka 36 imepita tangu pale mvulana huyu azaliwe kwa furaha ya wazazi iliyoje kupata mtoto wa kiume wakifahamu wameleta mwana wa kuwaongezea ukoo na kuwafanya wajivunie kwa kupata wajukuu na huenda vitukuu na vilembwe, masikini pasina kufahamu kuwa mtoto huyo ana mapungufu makubwa ambayo kama...
Kifungu cha 148(5)(a) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura ya 20 kinasema;
Afisa polisi ambapo mtuhumiwa anashikiliwa au mahakama ambapo mtuhumiwa amepelekwa kusikiliza shauri lake, haitoruhusiwa kutoa dhamana kwa mtu ambaye ameshtakiwa kwa makosa YAFUATAYO;
1. Mauaji
2. Uhaini
3...
askari Polisi wa kituo cha kati cha Dar es Salaam (jina kapuni) amekutwa amejiua kwa kujinyonga katika nyumba ya kulala wageni.
Askari huyo kabla ya kujitoa roho aliacha jumbe mbali mbali mojawapo ni kudai kuwa "maisha hayana maana"
Askari huyo alijaribu kujizuia kujiua mara kadhaa lakini...
Rais Samia kuwa mgeni rasmi KiziMkazi 2021 Festival- MJI MPYA
__________________________________
Huu ni ushahidi mwingine wa Unyenyekevu Uliopitiliza wa Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT,
#KisiMkazi Festival, Ni kongamano la Vijjii viwili vinaungana kudumisha mila,desturi na tamaduni zao...
Uchunguzi wa kundi la kwanza la masanduku 9 kati ya 15 ya kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya na Mahakama ya Juu haukuweza kuonesha hitilafu zozote za wazi katika matokeo ya uchaguzi wa Urais.
Wakati wa kuchapisha, ni masanduku tisa pekee kati ya 15 ya kura yalikuwa yamefunguliwa, kuchunguzwa na...
Mwenye degree asiye na ajira kuna wakati huwa anaona bora angeishia form four na angefanya shughuli nyingine.
Na aliyeishia darasa la saba kutokana na hali ya maisha aliyonayo kuna wakati anaona alipaswa kufika chuo kikuu ili awe na maisha mazuri...HUO NDIYO UTAMU WA MAISHA.
Uzuri ni kwamba...
Ni ukweli usiosemwa!
Wazee wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni visima vya hekima na busara, kwamba tuwasikilize na kujifunza kwao. Kiuhalisia hawana mchango wowote kwenye dunia ya leo ya sayansi na teknolojia.
Malezi yao hujikita kwenye kile wanachokiita maadili na mila, na kwa wachache...
Salaam Wakuu,
Mimi huwa nasafiri Mara kwa mara. Hivyo nashuhudia vifo vingi ambavyo vinatokana na watu kutokufunga Mikanda ya kwenye kiti cha Basi(Seat belt).
Imenichukua miezi minne nikifuatilia mambo ya Barabarani, ikiwemo, Rushwa, alama za barabara potofu, Matuta, Miundombinu na Watengeneza...
CHUKUA HIZI 11, KAMA ZITAKUFAA
1. SIRI YA KWANZA
Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Sio rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake!
2. SIRI YA PILI
Usimwamini sana rafiki yako ,kwa...
Bado naendelea kusisitiza alichofanya Urusi kwa majirani zake ni kosa na anapaswa awajibishwe na kila mmoja kwa namna yake.
Sisi kama Taifa hatupaswi kukaa kishambaa na kuwaangalia tu hawa warusi. Nyerere aliwahi kuwasema Mara kibao tu walipojaribu kuwavamia majirani zao, aliwasema waizrael...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Toka mwaka jana nilianza kupata mashaka makubwa kuhusu haya matokeo yaliyosheheni division one za saba kiasi cha kutia shaka. Leo nimebahatika kupata sababu mbili za kuyapuuza haya matokeo ya kisiasa;
1. A kwa sasa inaanzia 75% badala ya 81%...
Miaka ya 1800 kulitokea kitu kinaitwa opium war. Hii ilikuwa ni vita kati ya Waingereza na Wachina. Ni kwamba waingereza walikuwa wanauza sana hii opium kwa wachina na kuingiza pesa nyingi sana.
Sasa Wachina wakaona watu wao wanakuwa mateja, wakapiga marufuku matumizi ya Opium. Waingereza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.