hayana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    Vijana tafuteni pesa, mapenzi hayana umri ukiwa na pesa

    Mwanadada Regina Daniels(21) asherehekea mume wake huyo Ned Nwoko(61) kumtumia zawadi ya Xmas dola $50,000 ambazo ni zaidi ya milioni 115 za Kibongo. Mrembo huyo ambaye ni mwigizaji maarufu Nigeria ametupia screenshot ya hamisho la pesa hizo Wawili hao walifunga ndoa 2019 na wana mtoto mmoja...
  2. M

    Rais tupia Jicho malalamiko ya askari wako hayana afya kwa Nchi

    Niliandika asubuhi japo ujumbe haukuwa moja kwa moja kwako,,lakini uzalendo wangu umenituma kurudia tena kuandika,,,Mimi ni mwananchi ambae shughuli zangu hunifungamanisha sana na askari wa majeshi mbali mbali nafikiri toka kipindi cha Magufuli. Binafsi sipendezwi na maneno ambayo yana...
  3. S

    Sasa ni dhahiri ndani ya CCM kuna kundi la Rais Samia na la Hayati Magufuli

    Huu ndio ukweli ulio wazi ingawa CCM wenyewe hawawezi kukiri hadharani. Kuna hatari ya kundi la Mwendazake kutaka kumuhujuma Mama na mnyukano huu unalenga uchaguzi wa 2025. Hata hivyo, kundi la Mwendazake wajue tu kwa katiba hii mbovu, hakuna wataloweza na ninachowashauri waungane na wapinzani...
  4. Mparee2

    Tozo za visima hazina uhalisia - mtazamo wangu

    Nilikuwa nasoma jarida moja nikaona kuwa mtu akichimba kisima kwa ajili ya matumizi yake ya nyumbani anatakiwa kulipia kodi ya shs 8,300 kwa mwezi. Wakati huo huo matumizi ya kawaida ya nyumbani kwa maji ya Dawasco hulipia kati ya 4000 na 10,000 hivi. kwa namna nyingine ni kama vile watu...
  5. S

    Tatizo la umeme: Awamu ya tano haiwezi kukwepa lawama labda tu kama madai hayana ukweli

    By Zitto kupitia twitter: Mradi wa 300MW Mtwara ulisimama. Mradi wa 350MW Kilwa ulisimama. Mradi wa nyongeza Kinyerezi 185MW ulisimama. Mradi wa Kinyerezi 3 and 4 umesimama. Utapata wapi Umeme kulisha nyongeza ya shughuli za Uchumi baada kufungua Nchi? Miradi yote ya Umeme iliyokuwa kwenye...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Acha Kuzuga; Maisha hayana kisingizio.

    ACHA KUZUGA; MAISHA HAYANAGA KISINGIZIO. Anaandika, Robert Heriel. Yule Mtibeli. Maisha hayakuzugi, hayachezi na wewe, hayana mzaha, yapo halisi, ni tukio Linaloenda mubashara ambalo hakuna kuhaririwa, maisha hayanaga kisingizio, hayabahatishi na hayapo kibahati bahati, ingawaje wahusika ambao...
  7. KENZY

    Mapenzi hayana baunsa

    Mapenzi hayana baunsa Haya ni maisha tu! Naapa ila ipo siku tu.
  8. Mzee makoti

    Maendeleo hayana chama/Twende na Samia

    Wakuu bwana hawe nanyi: Kiukweli Rais Samia hangeruhusu mchakato wa katiba mpya ufanyike, kwa Hali tuliyopitia kipindi Cha Rais aliyepita, ilikuwa ni kutokana na madhaifu ya katiba iliyopo na Ngosha alitumia madhaifu ya katiba ya sasa kufanya baadhi ya mahamuzi kwa utashi wake, mengine...
  9. OLS

    Baadhi ya malipo Serikalini/Halmashauri hayana mantiki

    Kuna malipo ambayo sio kodi, matharani ni tozo, ushuru au ada na hakuna huduma ambayo mtu anaipata kutokana na malipo hayo zaidi ni kumuongezea mwananchi mzigo kwa kumuongezea gharama za maisha. Angalia mfano ufuatao Katika stendi za mabasi, mathalani Stendi ya Magufuli, unatakiwa kulipa Tsh...
  10. K

    Majina ya ukoo hayana wamiliki

    Nimeona clip moja ya Gwajima eti anamwita baba yake miaka 87 na kumlaghai aseme kwamba ana mwamrisha mkwe wake asitumie jina lao. Hakuna mtu binafsi ambaye anamiliki jina na koo yoote . Haya majina ya koo yalikuwepo miaka mingi sana na wengi hata hawajui yametokea wapi. Hakuna mtu ambaye ni...
  11. Zero Competition

    Makato ya kodi ya majengo kupitia LUKU hayana tofauti na 'service charge' ya kila mwezi

    Ile service charge iliyoondololewa kipindi kile na watu tukashangalia nadhani ndo hii imerudi tena in style. Mana kila mwezi watakua wanakata kwahiyo lazima uwawekee bajeti yao kila mwanzo wa mwezi kwahiyo binafsi naona ni kama ile service charge imerudi ila kwa style tofauti.
  12. T

    #COVID19 Tunaambiwa na Serikali tuchukue tahadhari ya Corona lakini matukio mengi ya chama na Serikali hayana hiyo tahadhari

    Nimemuona Katibu Mkuu wa CCM anaendelea na mikutano ya hadhara kule Songwe na anakusanya watu wengi tu huku viongozi wakituambia hali ya corona ni mbaya. Je, kuendeleza hii mikutano haiwezi kuwa kitisho kikubwa cha kusambaza hiyo corona? Ni kwanini CCM isiisitishe hii mikutano ili kuonesha...
  13. Informer

    Ripoti ya CAG: Mashirika ya Umma ambayo Hayana Uwezo wa Kulipa Madeni ya Muda Mfupi

  14. T

    Mapenzi hayana komando

    Kweli mapenzi hayana komando nimeamini. Yaani mtoto wa 2000, tena ni mchepuko tuu ananipiga kofi kisa nimemuacha sehemu kumuwahi kumpokea wife, kwani alikua safarini. Eti anasema simjali kwani hata kama ni wife si nitamkuta nyumbani tuu. Kweli mapenzi hayana komando mtoto wa 2000?
Back
Top Bottom