hayati dkt. magufuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abraham Lincolnn

    Kuna haja ya kumuomba Hayati Dkt. Magufuli msamaha; kama taifa kuna sehemu tumekosea sana

    Habari wakuu, Kuna baadhi ya watu maarufu na wasiokuwa maarufu kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakionyesha chuki za wazi dhidi ya awamu ya tano pamoja na viongozi wake. Mbaya zaidi walifika hatua ya kutaka kusahaulisha 'Legacy' na kazi kubwa sana iliyofanywa na awamu ya tano. Kwa siku kadhaa...
  2. Elitwege

    Mbowe: Hayati Rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu, hakuwa mvivu hata kidogo

    Kuna video inazunguka mitandaoni ikimuonyesha mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akikiri kuwa hayati rais Magufuli alikuwa na kipaji cha uthubutu wa hali ya juu na alifanya maamuzi magumu kwelikweli ambayo kwa kiongozi wa kawaida asingeweza. Mbowe amesema Magufuli hakuwa mvivu hata kidogo na...
  3. B

    Kuwalinganisha Marais kufanywe na watu walio nje ya mfumo tu

    Hii tabia ya kuanza kufanya uchambuzi wa kuwalinganisha viongozi wetu wakuu naona ingali bado inaendelea, binafsi nilimsikia Mhe. Rais mara kadhaa akikemea jambo hili lakini bado kuna watu tena wateule wa rais wanaendelea na hii tabia Uwaziri ni cheo cha heshima sana sasa inakuwaje mtu anaacha...
  4. K

    Wazalendo ni wachache, wazalendo hawadumu

    Nimemisi kusikia zile nyimbo za kizalendo na quote za kizalendo kwenye TBC Mfano kionjo flani tamu kinaimbwagwa hivi: "Nchi yanguuuh ni urithi wanguuuuh, zawadi ya pekeeeeeeehh, ntaitunzaeeeeeeeeh!" "Tuchape kazi , tukamenyeke tuijenge nchi yetu tuulinde Uhuru wetu" "Kila unaponunua kitu...
  5. S

    Ukurasa wa Hayati Magufuli umefungwa kama zilivyofungwa za wengine

    Kuna watu wasiojielewa wamejitokeza na kutaka ionekane Mheshimiwa Marehemu Rais Magufuli yupo hai, tuseme tu Mheshimiwa Magufuli amefariki na kuzikwa Rasmi, kwao Chato ni rais wa tatu kuzikwa wakwanza akiwa Karume, wapili Nyerere na Magufuli anaifanya idadi iwe ya watatu. Tusiwe wajinga kama...
  6. Kasanzu The Great

    CHADEMA mnayo nafasi ya kusimama tena kabla ya 2025, ila zingatieni haya...

    Kwa hali Kisiasa ilivyo, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinatakiwa kifanye Mambo yafuatayo ili kiweze KUSIMAMA na kurejesha ushawishi wake Kama ilivyokuwa kabla 2015. 1. Achaneni na Magufuli Ukifuatilia hotuba zako nyingi nikama Magufuli Yuko Madarakani. Agenda za mikutano yao imebeba...
  7. Idugunde

    Ni dhahiri na wazi kuwa hawapingani na CCM bali walikuwa Wanachuki na Hayati Dkt. Magufuli

    Wao kama wao sasa wameridhia CCM ikae madarakani na sasa wanaikubali impliedly. Kwa ni wazi kabisa wanaona CCM haina mbadala wa kuig'oa. Walimuona JPM kama kikwazo kwa siasa zao ndio maana wakawa hawamkubali. Maana kuna mambo yao ya ajabu ajabu aliyadhibiti. Kwa jinsi wanavyokenua na kufurahi...
  8. Nigrastratatract nerve

    Rais Samia na Hayati Magufuli si kitu kimoja; Tutampima kama atafikia viwango vya Dkt. Magufuli

    Kuna mambo Mwendazake alituachia inabidi tuyaenzi kwa manufaa ya Taifa letu. Kwa bahati mbaya Sana Siasa za ndani na nje ya CCM zinataka kutupofusha tusione mambo ya Msingi ambayo yanabeba maslahi makubwa Sana ya Taifa letu Tanzania. Mwaka 2018 Gazeti la Kenya la The East African liliripoti...
  9. The Sheriff

    Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi: Tujenge 'Monument' ya kumuenzi Hayati Dkt. Magufuli jijini Dodoma

    Leo Jumanne, tarehe 30 Machi, 2021, Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi ametoa mapendekezo ya kujenga monument ya kuenzi kazi iliyofanywa na rais Magufuli. Akichangia hoja Bungeni, Kunambi amesema: Kazi kubwa ambayo mimi naomba nishauri Bunge letu tukufu ni... amefanya...
  10. Komeo Lachuma

    Hayati Dkt. Magufuli tutamkumbuka kwa kupambana na ufisadi na tutamlilia mbeleni

    Moyo wangu umeanza kutahaharika. Kutokana na yale ninayoyaona. Mafisadi wote ndiyo wenye furaha kubwa ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania. Hili limenifikirisha sana. Why asilimia kubwa ya wanaoonesha Furaha ni wale waliohujumu uchumi wa Taifa hili? Ni sawa wapo pia maskini na wasio mafisadi...
Back
Top Bottom