hayati dkt. magufuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwa kauli zinazotolewa dhidi ya Hayati Magufuli ni wazi kuna wenye wivu na aliyofanya kwa miaka 6 ya utawala wake

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Nimekuwa nikifuatilia kauli mbalimbali zinazotolewa na baadhi ya wanasiasa dhidi ya hayati Magufuli. Ni wazi kabisa kuna chuki kubwa dhibi yake. Na ukichunguza kwa undani zaidi utaona wanataka kupandikiza hiyo chuki hata kwa wananchi wa kawaida. Ukweli ni kwamba...
  2. Kijogoodi

    Hayati Dkt. Magufuli aliwahi kusema hata CCM kulikuwa na mafisadi wakubwa

    Kwa kauli alizozitoa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza jana kwenye kipindi cha Star TV Big Agenda bila shaka ni kweli kabisa ndani ya CCM kulikuwa na mafisadi ya kutisha na Magufuli aliyabananga vizuri na sasa yameanza kupata nafuu mbele ya rais Samia. Ikumbukwe baada tu ya kuingia madarakani...
  3. B

    Huenda ikachukua miaka 100 au isitokee kupata Rais kama Hayati Magufuli

    Watanzania tumepoteza bahati kubwa sana maishani, Hayati Magufuli alikuwa zawadi kwa Watanzania. Kama ilivyofanya Marekani miezi mitatu iliyopita, Julai 19 ni zamu ya Uingereza kulegeza mashariti ya kujikinga na COVID19 baada ya kugundua chanjo na barakoa hazina msaada wowote. Rais wetu...
  4. Econometrician

    Tumshukuru Hayati Dkt. Magufuli kwa kutuondolea vyama vya siasa visivyo na maana

    Kapitia ukatili wake JPM, angalau ametuondolea mlundikano wa vyama vya siasa ambavyo vilikuwa havina maana. Leo hii hatuna tena CUF, UNDP, NCCR-Mageuzi & ACT kwa Tanzania bara. Kweli kila jambo lina faida na hasara hamna baya la moja kwa moja, uvumlivu wenu WANACHADEMA leo umekuwa matunda kwa...
  5. M

    CHADEMA haya mnayoyafanya ndio yalipelekea tukaletewa Hayati Magufuli

    Amani iwe nanyi nyote. Naomba niwakumbushe udugu wangu chadema, awamu ya nne mlipiga sana kelele kuwa kuna ufisadi, nchi haikuwa na Rais tunahitaji Rais Dikteta naomba niseme ukweli niliungana na CHADEMA, na katika uchaguzi niliisaidia kweli kweli kwa mapenzi ya kutoka moyoni Mungu si Athumani...
  6. Babe la mji

    Hivi ingekuwaje 2015 kama tusingempata Hayati Magufuli kwa nchi ilipokuwa imefikia?

    Nawasalimu ndugu zangu, natumai hamjambo wote. Ndugu zangu sote tunakumbuka ni wapi nchi yetu ilipokuwa imefkia kwa ufupi ilikuwa inaenda shimoni kwa maana kila kitu kiliharibika na alihitajika kiongozi mwenye kaliba ya JPM kuitoa nchi Mahali ilipokuwa. Nani hakumbuki hata viongozi wa upinzani...
  7. Lituye

    Hayati Magufuli hapa alisema ukweli, tatizo sisi ni wajinga

    Nikikumbukaga kauli za Magufuli hasa ile ya kusema nchi hii imechezewa sana huwa napata hudhuni sana kwa nini watanzania wengi ni wajinga hawana upeo wa kuchanganua mambo. Magufuli akatuonesha wazi wazi kuwa nchi hii inachezewa kwa yeye kwenda kujijengea uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini...
  8. seedfarm

    Rais Samia Suluhu umeanza kuwa Dikteta mapema kuliko hayati John Pombe Magufuli

    Kauli ya Rais Samia kuminya uhuru wa Raia na vyama vyao vya siasa kwa kutozingatia katiba na sheria ameingia kwenye rekodi mpya kama Rais Mwanamke wa kwanza Africa kuwa Dikteta. Siku ya 101 madarakani, Rais Samia Suluhu tayari ameanza kulewa sifa na mapambio. Ameamua kuendelea kuminya uhuru wa...
  9. Ncha Kali

    Mabango ya kampeni za uchaguzi 2020 yenye picha ya Hayati Magufuli yaondolewe mara moja

    Uchaguzi ulikwisha. Na kwa bahati mbaya sana Mungu alimpenda zaidi tuliyempenda, hivyo sio vema kuendelea kuona sura yake ikipiga kampeni kwa picha zile za unyenyekevu. Kwa Dar es Salaam hili lilifanyika punde tu parapanda ilipolia, sijui ni kwamba hawakumhitaji tena au zile nguzo zilipangiwa...
  10. The Palm Tree

    Video: Si rahisi "dictatorship regime" yoyote kuruhusu watu kama hawa waishi katika nchi wanazoongoza

    Hii ilikuwa katika bunge la pili la Utawala wa Mwendazake mwaka 2017 (mwaka mmoja na nusu hivi baada ya Magufuli kuingia madarakani). Miezi michache baadaye mbele akapigwa risasi kadhaa ili afe. Hakufa. Ukiitazama na kusikiliza madini kama haya toka kwa aliyekuwa mbunge wa jimbo la Singida...
  11. Elitwege

    Sahihi ya Hayati Magufuli yageuka kivutio cha utalii kwenye Mahandaki ya SGR

    Imeelezwa na Wasimamizi wa Ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha kuanzia Morogoro kwenda Makutupora kuwa saini iliyowekwa na hayati rais Magufuli alipotembelea ujenzi wa mahandaki ya reli hiyo mnamo tarehe 29/06/2020 imegeuka kuwa kivutio cha utalii! Maelfu ya watu hufika kila siku kwenye...
  12. GENTAMYCINE

    Rais Samia siyo kila Kitu cha Hayati Rais Dkt. Magufuli ni cha Kuigaiga tu, tulia nawe tengeneza 'Leadership Style' yako tafadhali

    Yaani Mtangulizi wako Hayati Rais Dkt. Magufuli alianzisha tabia ya Kuvizia Wasanii wenye Majina makubwa nchini wakiwa 'on the Stage' wakitumbuiza na Kuwapigia Simu Kuwapongeza nawe Jana umeamua upite mule mule kwa Kumpigia Msanii wa Kike Nandy akiwa anatumbuiza Mkoani Dodoma na Kumpongeza pia...
  13. Omusolopogasi

    Mashujaa wa kweli Tanzania hawakumuogopa Hayati Dkt. Magufuli

    Wanajamvi, Kuna watu wanastahili nishani. Kukosa uoga kwao hakuelezeki. Wakati Mwendazake anafungwa watu, kuharibu biashara zao, kuwapakazia makosa yasiyokuwa na dhamana, na wengine kuuawa, hawa jamaa hawakunyaza kimya. Kilikuwa kipindi kigumu cha kuogopesha sana. Watu hawakuwa huru kuongelea...
  14. M

    Miradi ya kimkakati Chato inaendeleaje?

    Napenda kuulizia ile miradi mikubwa iliyopangwa au kujengwa wilayani chato vipi inaendeleaje au ndiyo imeondoka na Mwendazake? Watendaji wake kwa unafiki mkubwa na upendeleo walipigia sana chapuo miradi hii ikiwemo uwanja mkubwa wa michezo, hoteli kubwa ya hadhi ya nyota tano. Wanachato...
  15. Shujaa Mwendazake

    Dkt. Kigwangalla: Serikali haimsaliti Rais aliyepita kuhusu Nyungu

    "Huwezi kusema serikali nzima inamsaliti Rais wetu aliyetangulia mbele ya haki. Mwaka jana wakati tunatumia ‘nyungu’ kulikuwa hakuna taarifa za chanjo, kulikuwa hakuna hata mmoja wetu aliyejua dawa za kutibu UVIKO-19, kirusi kilikuwa kipya na taarifa zake hatukuwa tunazijua vizuri" Mh. Hamis...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Hayati Magufuli alikuwa na uelewa mdogo wa masuala ya dini, asilaumiwe

    HAYATTI MAGUFULI ALIKUWA NA UELEWA MDOGO WA MASUALA YA DINI, ASILAUMIWE. Na, Robert Heriel. Leo kijiweni kuna mada Moto ilikuwa ikiendelea inayohusu masuala ya UVAAJI WA BARAKOA, baadhi ya wachangiaji wa mada walimtumia zaidi Hayati Magufuli katika kutetea hoja zao kuwa hakuna ulazima wa kuvaa...
  17. P

    CCM ikiendelea kupuuza misingi ya uongozi ya Hayati Dkt. Magufuli, ni dhahiri watakosa kura 2025

    Nawaonya CCM kwa mara ya kwanza kwamba, kupuuza na kutupilia mbali mtindo wa kuendesha nchi kwa alivyokuja nao hayati JPM, 2025 lazima iwagharimu Ninao uhakika juu ya hili, endapo CCM Kitaendelea kupuuza yote mema, na misimamo thabiti ya namna alivyokuwa nayo kiongozi wa awamu iliyopita hayati...
  18. S

    Charles Kimei awatoa hofu Wanavunjo utekelezaji wa ahadi ya hayati Magufuli ya Vunjo kupewa Halmashauri ya Wilaya

    Na Mwandishi Wetu, Moshi. Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameendelea kufuatilia kwa karibu ahadi zake binafsi, ahadi za hayati Rais Magufuli pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 kwa karibu ili kuhakikisha wanakidhi matarajio na matumaini makubwa ya...
  19. THE BIG SHOW

    Magufuli hayupo kipi kinawafanya CHADEMA kuliachia hewani suala la Wabunge 19 wa Viti Maalum?

    Friends and Enemies, Greetings! Hatuwezi endelea kuishi katika kivuli cha lawama kwa mwendazake hasa katika mambo ambayo yeye aliyafanya huku akiamini kwamba huenda alikuwa anaijenga Tanzania ya ndoto yake. Binadam tumeumbwa kusahau, ila kama nchi tutakuwa tunafanya makosa sana kusahau japo...
  20. Shujaa Mwendazake

    Dkt. Mwigulu, inakuwaje mnatuambia Miradi ya Hayati Dkt. Magufuli inaendeshwa kwa mikopo mikubwa na migumu kuhimilika?

    “Hatujaweka kodi kwenye laini za simu kama ambavyo baadhi ya wananchi wamekuwa wakichanganya, hata kule Bungeni wanachanganya wanasema sasa kila siku itakuwa inakatwa shilingi 10 mpaka 200 kwa hiyo kama ni 200 kwa siku 30 ni shilingi 6000, halafu hata kama hukuweka fedha, siku ukiweka inakatwa...
Back
Top Bottom